Trump aonya kuwa Iran itashambuliwa kwa nguvu iwapo mkataba hautopatikana
Rais wa Marekani Donald Trump amesema vita nchini Iran, huenda vikakamilika kwa upatikanaji wa mkataba, lakini anaonya kuwa, vita vipya vitaanza iwapo mkataba huo hautapatikana. Imechapishwa: 06/05/2026 – 17:32Imehaririwa: 06/05/2026…
Nchi ya Falme za Kiarabu yakanusha madai kuhusu shambulio nchini Sudan
Nchi ya Falme za Kiarabu imekanusha madai ya Sudan kuwa, ndege zake zisizokuwa na rubani zilishambulia uwanja wa ndege wa Khartoum, siku ya Jumatatu. Imechapishwa: 06/05/2026 – 17:25 Dakika 1…
Mzee aliyetelekezwa akataa kuoga, asema anasumbuliwa na laana ya marehemu babake
Mzee mwenye umri wa miaka 72 anaishi kwa kutelekezwa, akidai laana kutoka kwa marehemu babake inasababisha akatae kutunzwa, chakula na hata kuoga.
Rhino Rangers, Bandari zatinga Championship
WAKATI Kajuna FC na Kahama Madini zikipanda First League, Rhino Rangers na Bandari zimefuzu kucheza Ligi ya Championship kwa msimu ujao baada ya kufikisha pointi ambazo haziwezi kufikiwa na wapinzani.
Mwanafunzi IFM aliyeuawa aagwa, kuzikwa kesho Moshi
Mchungaji huyo amesema aliyaandaa mahubiri kwa mara ya kwanza na kuyachana kutokana na kusikia...
Tanzanite Queens yaiwinda Cameroon
TANZANITE Queens imeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Cameroon, huku Kocha Mkuu, Bakari Shime, akiamini timu hiyo bado ina nafasi kubwa ya kupindua matokeo…
Watu watatu wafariki dunia baada ya kuambukizwa virusi hatari vya Hanta
Nchi ya Cape Verde na Hispania, zimekataa kupokea meli ya kitalii, MV Hondius kutoka Uholanzi, iliyo na watu 140, wakiwemo abiria 80 kutoka mataifa 15, ambao baadhi yao wameambukiwa virusi…
Maandalizi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza 2028 yaanza sasa
Hatua hiyo inatokana na uwepo wa wanafunzi wa darasa la tano na sita watakaohitimu kwa pamoja...
Geological firm discovers presence of substantial mineral resources in Rukwa region
RUKWA: THE Rukwa Regional Commissioner, Makongoro Nyerere, has announced that a study conducted by 3rd Geological Brigade of Sichuan has confirmed the presence of substantial mineral resources in the region.…
Zanzibar officials study specialized hospital model at Muhimbili
DAR ES SALAAM: OFFICIALS from the Zanzibar Revolutionary Government’s special security departments have toured the Muhimbili National Hospital to study the establishment of a specialized referral hospital for their units.…
Viporo miradi ya maji vyawaibua wabunge
Wabunge wameibua hoja ya miradi viporo katika Wizara ya Maji wakitaja kutopeleka fedha...
Simulizi ya bodaboda kuuawa Handeni, msako waanza
Kijana mmoja anayejishughulisha na bodaboda, Muhando Chambo, ameuawa kwa kuchinjwa na watu...
Wanandoa waliotalikiana 2010 wapanga kuoana tena baada ya miaka 11, wasimulia hadithi yao ya mapenzi
Brian na Daphine walishiriki safari yao kutoka kwa talaka hadi upendo uliofufuliwa, wakionyesha mapambano yao na kutoaminiana, msamaha, na tumaini la maisha bora.
Tunduma braces for Tanzania-Zambia ministerial meeting on the border trade
TUNDUMA: PREPARATIONS for the Joint Trade Committee (JTC) Ministerial Meeting between Tanzania and Zambia have been finalized following the conclusion of a Joint Permanent Secretaries’ meeting held on May 6,…
Dodoma moves to improve schools infrastructure for increasing number of students
DODOMA: THE Dodoma District Commissioner, Jabir Shekimweri, has assured the Minister of State in the Prime Minister’s Office for Regional Administration and Local Government (PMO-RALG), Professor Riziki Shemdoe, that his…
Hemed ataja hatua za kudhibiti mfumko wa bei akiwasilisha makadirio ya bajeti
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Sh135.676 bilioni...
Wazawa waungana kunufaika na huduma migodini
Watoaji wa huduma na bidhaa katika migodi ya madini nchini wameanza kuungana ili kuwa na sauti...
Majaliwa ataka elimu ya hisa isiishie vyumbani
Majaliwa amezitaja mamlaka hizo kuwa ni pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya...
Haya hapa mapendekezo ya HakiElimu kwenye bajeti ya elimu 2026/2027
Wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 (Toleo la...
Mtunza stoo kortini akidaiwa kumuibia mwajiri wake Sh88 milioni
Mtunza stoo wa Kampuni ya Emperial Road Haulage Limited, Saqlain Jalali (28) amefikishwa katika...
Muhimbili yafanikisha mtoto wa kwanza kwa njia ya upandikizaji
Kwa mara ya kwanza, Muhimbili ilianza upandikizaji wa vijusi kwenye tumbo la mama Mei mwaka 2025.
Serikali: Hatutaki malalamiko ya kukosa kupandishwa vyeo
Serikali imesema haitarajii kupokea malalamiko ya watumishi wa umma waliokosa kupandishwa vyeo...
Bookmakers invest in promotions for users during major tournaments
From general betting bonuses to enhanced odds on major tournaments, there are many ways...
Gaucho asema hana faida yoyote ya kifedha kutokana na kuwa katika bodi ya Mama Lucy Hospital
Calvince Okoth, almaarufu "Gaucho," ametetea jukumu lake katika bodi ya Mama Lucy Hospital, akikataa madai ya maslahi binafsi huku kukiwa na ukosoaji wa kisomo chake
Asian football leagues to consider for betting at bookmakers such as 1xBet
From continental leagues to national championships: explore football leagues in Asia to bet on...
Familia ya Eldoret inamtafuta mwanao aliyehamia Australia na kuoa mwanamke Mzungu
Familia moja Eldoret Kenya inatafuta usaidizi wa kumtafuta jamaa yao aliyepotea, Michael Kiplimo, aliyesikika mara ya mwisho mnamo 2019 anayeaminika kuishi Australia
Vazi la Karan Johar latumia saa 5600 kukamilika
Kwa mujibu wa Karan wakati akifanya mahojiano na Vogue alieleza kuwa vazi hilo halikukamilika...
Walimu, wafanyabiashara kunufaika hisa stahiki MCB
DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu Mstaafu, Kassimu Majaliwa amezindua mpango wa uuzaji wa hisa stahiki wa Mwalimu Commercial Bank (MCB), ukilenga kuongeza mtaji, uwekezaji na kuimarisha utoaji wa mikopo nafuu…
TANAPA, FZS through KfW financial support donate training equipment to Ngorongoro VETA centre
The Frankfurt Zoological Society (FZS) in collaboration with the Tanzania National Parks (TANAPA) have handed-over modern equipment worth 85m/- to the Ngorongoro Vocational Development Training Centre (NVDTC) for the introduction…
Dr Samia breaks the ice on the appointment of Dr Munisi as Deputy Minister in the Prime Minister’s Office
DODOMA: President Samia Suluhu Hassan has stated that the appointment of Dr Eveline Munisi as Deputy Minister in the Prime Minister’s Office (Labour, Employment and Industrial Relations) was based on…
Dr Samia warns sworn-in leaders against self-glorification as leadership is trust
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has issued a stern warning to newly sworn-in leaders, stressing that leadership positions are a trust and not an opportunity for self-glorification or superiority. Speaking…
Rais Mali Kanali Goita ajiteua Waziri wa Ulinzi
Rais wa mpito wa Mali, Kanali Assimi Goita amejiteua kuwa Waziri wa Ulinzi wa taifa hilo, huku...
25 Tanzanian instructors head to Finland to learn modern skills in mining
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Education, Science and Technology is stepping up efforts to boost a skilled workforce in the mining sector through advanced technical training. Minister for Education,…
Baraza la Usalama lakutana kwa faragha kufuatia mashambulizi dhidi ya UAE
Kadri mgogoro katika Mlango wa Bahari wa Hormuz unavyoendelea, Umoja wa Mataifa unasisitiza tena dhamira yake ya kuunga mkono juhudi za kusaka amani, ameeleza leo Jumatano Msemaji wa Umoja wa…
Abiria mwingine athibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Hanta
Imethibitishwa kuwa abiria mwingine aliyekuwa kwenye meli ya kitalii iliyohusishwa na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Hanta au Hantavirus ameambukizwa ugonjwa huo, ugonjwa ambao tayari umeua watu watatu waliokuwa…
Watoto zaidi ya 20 waachiliwa kutoka kituo cha mafunzo ya kijeshi Sudan Kusini: UNMISS
Zaidi ya wavulana 20 walio chini ya umri wa miaka 18 wameachiliwa kutoka kituo cha mafunzo ya kijeshi mjini Pariang kufuatia operesheni ya uhakiki iliyoongozwa na Ujumbe wa Umoja wa…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu yasaini Mkataba wa Nchi Mwenyeji na Somalia
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, pamoja na Waziri wa Familia na Maendeleo ya Haki za Binadamu wa Somalia, Khadiija Mohamed Al-Makhzoumi, hii leo…
Virusi vya Hanta
Virusi vya Hanta ni kundi la virusi vinavyobebwa na panya na vinaweza kusababisha magonjwa makali kwa binadamu. Maambukizi hutokea mara nyingi kwa kumgusa panya aliyeambukizwa au mkojo, kinyesi au mate…
UNICEF yaongoza kampeni kukomesha adhabu ya viboko shuleni nchini Tanzania
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko huadhimishwa Aprili 30 ya kila mwaka, na mwaka huu katika maadhimisho ya siku hiyo wiki iliyopita, shirika la Umoja wa Mataifa la…
Serikali ya Tanzania inajali usawa na haki kwa watu wote kupata huduma kwa usawa – Hamisi Masanja Malebo
Siku tano zilizopita Jukwaa la Kudumu la Umoja wa Mataifa kuhusu Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) limefunga pazia hapa katika makao ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani…
Oparesheni ya Marekani dhidi ya Iran yasitishwa kwa ombi la Pakistan, Je Iran kuishambulia UAE kumeiweka Pakistan katika njia panda
Wakati jeshi la Marekani lililenga kulenga boti za Iran, wa Falme za Kiarabu ilitangaza kufanikiwa kudungua makombora na ndege zisizo na rubani katika maeneo mbalimbali, ikiwemo kiwanda cha mafuta cha…
Met Gala 2026 showcases a rare tanzanite necklace worth 15m US dollars
NEW YORK: TANZANIA has taken centre stage in the global luxury gemstone market after Indian billionaire Sudha Reddy showcased a rare tanzanite necklace valued at over 15m US dollars (about…
Tanzania envisions change in vocational skills after return of 150 teachers trained in India
DODOMA: THE Minister of State, Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (TAMISEMI) Prof Riziki Shemdoe and the Minister of Education, Science and Technology Prof Adolf Mkenda have received…
Wanu tables Education draft budget for 2026/27
DODOMA: Deputy Minister for Education, Science and Technology, Ms Wanu Hafidhi Ameir, has tabled the draft budget estimates for the 2026/27 financial year, paving the way for the Minister, Professor…
Wanne mbaroni mauaji ya mawanafunzi wa IFM
DAR ES SALAAM; Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya James Rogers Temba mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha…
Sababu Gani Zinaifanya UAE Ishupalie Vita Dhidi ya Iran?
Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE au Imarati umechukua msimamo wa waziwazi wa kushupalia vita hususan dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Vidokezo Muhimu na Ujuzi 10 Unaohitajika Kufanikiwa katika Ufugaji wa Mbuzi
Mtaalamu wa Nakuru afichua ujuzi 10 muhimu wa ufugaji wa mbuzi, kuanzia lishe, afya hadi masoko ili kusaidia wakulima kuongeza faida na kuepuka hasara.
Siri ya upasuaji usioacha kovu kubwa
Kwa zaidi ya miaka sita, Raymond Yunus (38) aliishi na maumivu makali ya kiungulia. Kila...