Senegal: Serikali yaidhinisha sheria mpya ya kupambana na ushoga
Nchini Senegal, Rais Bassirou Diomaye Faye ametia saini sheria mpya inayopambana na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Imechapishwa: 01/04/2026 – 05:33Imehaririwa: 01/04/2026 –…
Leopard ya DR Congo yafuzu kushiriki kombe la dunia
Timu ya taifa ya mchezo wa soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imefuzu kwenye fainali ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 52. Imechapishwa: 01/04/2026…
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Klabu za Manchester zampigania kiungo wa Nottingham Forest Elliot Anderson
Manchester City wanaongoza Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumnasa Elliot Anderson, Mashetani Wekundu wapata uungwaji mkono katika harakati zao za kumnasa Sandro Tonali, huku Liverpool wakimtaka Francisco Conceicao kuchukua nafasi…
DR Congo yavunja mwiko wa miaka 52 Kombe la Dunia, Italia bado nuksi
Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica...
DR Congo yavunja mwiko wa miaka 52 ikifuzu Kombe la Dunia, Italia yaendeleza nuksi
Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica...
Digital identity drives Tanzania’s future growth, security
DAR ES SALAAM: IN an increasingly fast-paced and technology-driven world, personal identification has evolved from a basic administrative requirement into a fundamental necessity. It now plays a central role in…
#MzizimaDerby Prince Dube alimwaga chozi baada ya kuifunga Simba bonge la goli
#MzizimaDerby Prince Dube alimwaga chozi baada ya kuifunga Simba bonge la goli .... Je, unaijua hiyooo...!!!??? Itazame hii, ilikuwa Oktoba 27, 2022. Basi ndio ujue uzito wa Dabi ya Mzizima.…
Mbio za Akili Alumni Marathon zitafanyika Aprili 06 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders Club Dar es salaam
Mbio za Akili Alumni Marathon zitafanyika Aprili 06 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders Club Dar es salaam. Maandalizi ya mbio hizo yameendelea kupamba moto ambapo washiriki mbalimbali wamejitokeza eneo…
YANGA SC | Beki wa Yanga, Ibrahim Hamad Abdulla kuhusu afya yake anasema kwa sasa anaendelea, na kiungo Pacome Zouzoua anawatuli…
YANGA SC | Beki wa Yanga, Ibrahim Hamad Abdulla kuhusu afya yake anasema kwa sasa anaendelea, na kiungo Pacome Zouzoua anawatuliza mashabiki kuhusu mwenendo wa timu yao msimu akisema kinachotokea…
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetumia Sh25 bilioni kujenga Kituo cha Kupoza Umeme 1x20MVA, 220/33kv pamoja…
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetumia Sh25 bilioni kujenga Kituo cha Kupoza Umeme 1x20MVA, 220/33kv pamoja na njia za kusambaza Umeme katika Wilaya ya Kilombero. kukamilika kwa ujenzi…
YAS yasogeza huduma SGR Dodoma
Wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani pamoja na wasafiri wa treni ya umeme (SGR) wanatarajiwa...
Baba wa Homa Bay Aanika Ujumbe Mzito Aliotumiwa na Mwalimu wa Shule ya Msingi, Atafuta Usaidizi
Collins Ochieng' Omollo anakabiliwa na masikitiko kuhusu elimu ya watoto wake huku karo anayodaiwa ikimletea huzuni, akifichua majukumu mazito aliyonayo kwa watoto.
Wakala app yazinduliwa kuongeza ubunifu
Katika kuongeza ubunifu katika biashara kampumi ya mawasiliano Mixx by Yas imezindua Wakala...
EUBG yaadhimisha miaka 10, ikiimarisha biashara Tanzania
Umoja wa Wafanyabiashara kutoka Ulaya nchini Tanzania umeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa...
DCEA yateketeza kilogramu 68 za mirungi Same
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imeteketeza...
Mtatiro atoa siku nne utatuzi tozo kwa wachimbaji Shinyanga
Malalamiko ya wachimbaji wadogo wa madini katika mgodi wa Mwakitolyo yamechochea hatua za...
BoT yashtuka uuzaji akiba ya dhahabu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesitisha kwa muda mpango wake wa kuuza akiba ya dhahabu kufuatia...
Askofu Bagonza atoa wito kurejea kwenye ukweli
Katika ujumbe wake wa Pasaka mwaka 2026, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Tanzania awards 188.4m/- grant to nine Arts groups
DAR ES SALAAM: NINE Tanzanian Art groups have been awarded a total of 188.4m/- under the Feel Free Grant 2026, a major initiative aimed at strengthening the country’s fast-growing creative…
Ajali ya basi yaua sita, manusura wasimulia ilivyokuwa
Ajali za barabarani zimeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya watu sita kufariki dunia na...
Health Minister commends quality digital service at E.M Hospital
DAR ES SALAAM: THE Deputy Minister for Health, Dr Florence Samizi, has urged Tanzanians to invest in health infrastructure to bring medical services closer to the people. The Deputy Minister…
Viongozi wamuaga Lukuvi kwa heshima
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali, siasa na wananchi wamejitokeza kumzika aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi, katika kijiji cha Idodi, mkoani…
Viongozi: Lukuvi hakuwa mtu wa maneno bali vitendo
Viongozi mbalimbali wamemtaja aliyekuwa Mbunge wa Ismani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
Saa 5 za presha mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia
Ifikapo saa 8:00 usiku, kesho Jumatano, Aprili Mosi, 2026, idadi ya timu 48 zitakazoshiriki...
George Ruto: Pesa ambazo mwanawe rais huvuna kwa siku kutoka kwa matatu zake 4
George Ruto anamiliki kundi la magari manne ya kifahari ya usafiri wa umma (PSV), na hupata mapato makubwa ya kila mwezi kutokana na mbinu yake ya kimkakati
Samia Ubora Kliniki: TBS yafikia wananchi na kuinua ubora wa bidhaa ndani ya siku 100 za Rais Samia madarakani
Programu ya Samia Ubora Kliniki ni mpango maalum wa Serikali ulioanzishwa ndani ya siku 100 za...
Kwala Dry Port performance impresses TANTRADE officials
KIBAHA: A group of 50 staff from the Tanzania Trade Development Authority (TANTRADE), led by Deputy Director General Freddy Liundi, visited Kwala Dry Port to observe and learn about various…
Singida, Azam ni bato ya nafasi NBC PL
PALE Uwanja wa Airtel, Singida, kuna patashika ya ubora ambapo wenyeji, Singida Black Stars, wataikaribisha Azam FC katika mchezo utakaobeba vita ya ubora wa wachezaji na ufundi wa makocha wa…
Lukuvi Atakumbukwa kwa Mengi
WAZIRI Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba, amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Isimani,William Lukuvi, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika utumishi wa umma. The post Lukuvi…
Bwege azikiwa Kilwa, viongozi walivyomzungumzia
Baadhi ya viongozi na wanasiasa wamemzungua aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara,...
Walioacha masomo wapata fursa mpya
AGIZO la mwaka 2021 la Rais, Samia Suluhu Hassan, la kuruhusu wanafunzi waliokatisha masomo, wakiwemo waliopata ujauzito, kurejea na kuendelea na elimu, limeanza kuzaa matunda. The post Walioacha masomo wapata…
Unyanyapaa wakwamisha ndoto za wasichana wanaorejea shuleni
Licha ya Serikali kuruhusu wanafunzi walioacha shule kutokana na ujauzito au changamoto...
Mshery ampa kiburi Pedro
YANGA ilianza mazoezi juzi kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, na kocha Pedro Goncalves wala hana presha ya kumkosa kipa namba moja Djigui Diarra, huku akiridhishwa na…
Tanzania’s gemstone business faces highly competitive markets
ARUSHA: TANZANIA has seen the rise in gemstone market competition driven by technological advances and expertise from countries experienced in mineral value addition, including India, Thailand, and China. This was…
Mfumo wa NEST ulivyookoa fedha taasisi za umma
Juhudi za Tanzania kuhamisha ununuzi wa umma kidijitali zimeanza kuonyesha matokeo baada ya...
‘Lumumba’ kuikosa DR Congo dhidi ya Jamaica kisa viza
Shabiki maarufu wa DR Congo, Michel Kuka Mboladinga ‘Lumumba’ hatoonekana uwanjani baadaye...
Tanzania intensifies efforts to combat ‘UVIDA’ antimicrobial resistance
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has intensified efforts to combat antimicrobial resistance (AMR), locally known as UVIDA, by urging ministries and institutions to accelerate the implementation of a joint…
Banks near gender parity milestone
DAR ES SALAAM: NEARLY half of Tanzania’s licensed banks have reached the critical benchmark of 33 per cent female representation in boardrooms and senior management, signalling a structural shift in…
health stakeholders meets UDOM to develop guidelines for the POCUS system
DODOMA: THE Ministry of Health, in collaboration with the University of Dodoma, has convened health sector stakeholders to develop national guidelines for the use of Point-of-Care Ultrasound (POCUS), in a…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi “kama Uingereza’ ambazo haziwezi kupata mafuta ya ndege kwa sababu ya vikwazo vilivyo…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi "kama Uingereza' ambazo haziwezi kupata mafuta ya ndege kwa sababu ya vikwazo vilivyowekwa kuhusiana na Mlango Bahari wa Hormuz zinapaswa "kuwa na ujasiri…
Wananchi Mwanza wapewa elimu kujilinda kifedha
Katika juhudi za kuimarisha ulinzi wa kifedha na uwezo wa wananchi kukabiliana na changamoto...
Dr Samia to grace a charity event to help 100 children with kidney transplants
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to be the guest of honor at a charity event to help 100 children with sickle cell disease receive bone marrow and kidney…
Kalonzo Musyoka atangaza kusitisha ziara ya upinzani Komboa Kenya kwa siku 2
Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka alisitisha ziara ya Komboa Kenya kwa mshikamano na wafanyabiashara wa Gikomba walioathiriwa na ubomoaji na pia kuheshimu Pasaka.
Tanzania seeks Turkish investments in the infrastructure, energy, agriculture sectors
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has invited Turkish investors to invest in strategic sectors including infrastructure, energy, and agriculture as part of efforts to accelerate economic development and strengthen…
Wote wakiwa katika ubora wao unaanza na nani?
Wote wakiwa katika ubora wao unaanza na nani? (Feed generated with FetchRSS)
See the reinvention of Tanzania’s new-age content creators
DAR ES SALAAM: IN an industry often celebrated for glamour, fast fame and viral success, the quieter realities behind the camera tell a very different story one defined by uncertainty,…