Serikali yaongeza kasi elimu, afya na ajira
SERIKALI imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kuimarisha sekta za elimu, afya na ajira kwa lengo la kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini. The post Serikali yaongeza kasi elimu, afya na…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli k…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu…
Dk Mwigulu atoa sababu kukatikatika kwa umeme
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kukatikakatika umeme kunakojitokeza ghafla hivi sasa...
Waliotoka Baraza la Wawakilishi wataja bandari na Katiba
Mambo hayo ni bandari, usafiri wa pamoja na uundwaji wa mfuko wa pamoja wa fedha ili kuondoa...
Marekani kuangazia upya uhusiano wake na NATO
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Marco Rubio amesema Washington italazimika kuangazia upya uhusiano wake na muungano wa NATO baada ya vita vyake dhidi ya Iran kumalizika. Imechapishwa: 01/04/2026…
Washambuliaji 10 bora wa pembeni duniani kwa sasa
Hii ni orodha ya wachezaji 10 wa pembeni wenye kusisimua zaidi duniani kwa sasa – ambao wako katika kiwango cha juu, kwa kufunga mabao, kutoa pasi za mabao na upigaji…
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa madaraja mawili ,katika eneo linalounganisha kata ya makoko …
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa madaraja mawili ,katika eneo linalounganisha kata ya makoko na Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara, kufutia eneo hilo…
Kupungua kipaumbele cha lishe kunahatarisha afya ya watoto
Wakati juhudi za kuboresha afya ya jamii zikiendelea kufanyika nchini, wadau wa afya wameonya...
Kithure Kindiki Amsamehe Rigathi Gachagua, Asema Hatapigana Naye Tena: “Nimewasamehe”
Naibu Rais Kithure Kindiki alimsamehe aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua huku kukiwa na mvutano wa kisiasa.Aliapa kutanguliza amani na umoja miongoni mwa viongozi
Dk Mwigulu aeleza mkakati kusimamia katazo la lumbesa
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Kilimo kushirikiana na Wizara ya Viwanda na...
PM Mwigulu joins Easter Gospel Concert in Dar
DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM is set to host a major Easter celebration, with Prime Minister Mwigulu Lameck Nchemba expected to attend a gospel concert headlined by renowned singer…
Nyeri: Baba Azungumza kwa Uchungu Baada ya Bintye wa KMTC Kudaiwa Kuuawa na Mpenziwe
Sheila Chebet, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa KMTC, alipatikana amefariki huko Nyeri. Madai yanaibuka kuwa mpenziwe Vincent Bet aliyenaswa kwenye CCTV alimuua
Iraq yafuzu Kombe la Dunia baada ya miaka 40
Iraq imekuwa timu ya mwisho kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika huko...
TBS na nusu karne ya kusimamia huduma za ubora wa viwango kwa maendeleo ya Taifa
Mwaka huu, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake...
Je, kuna umuhimu gani wa Mlango-Bahari wa Bab al-Mandab, ambao unatishiwa kufungwa na Iran?
Vitisho vya Iran dhidi ya njia muhimu ya meli katika Bahari ya shamu vimeibua wasiwasi kuhusu kuvurugika zaidi kwa biashara ya kimataifa.
Sanaa ya uchoraji licha ya kuwa na matawi mengi lakini kila tawi limeendelea kuwa chanzo cha uwasilishaji wa maarifa kwa namna y…
Sanaa ya uchoraji licha ya kuwa na matawi mengi lakini kila tawi limeendelea kuwa chanzo cha uwasilishaji wa maarifa kwa namna ya kipekee kwa hadhira. Mbali ya hivyo pia Sanaa…
Renewal of air links to boost Tanzania–Yemen partnership
DAR ES SALAAM: IN today’s increasingly interconnected world, aviation has become one of the most powerful tools for strengthening international cooperation, trade and cultural exchange. By linking people, markets and…
Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya watoto wa mitaani imekuwa ikiongezeka kwa kuchangiwa na sababu mbalimbali ikiw…
Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya watoto wa mitaani imekuwa ikiongezeka kwa kuchangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo umasikini na migogoro ya familia. Mratibu wa Shughuli za Ulinzi wa…
Gone but not forgotten
PM labels late Lukuvi as a trusted advisor IDODI: THE fallen veteran politician, William Lukuvi (71) has been laid to rest yesterday at his home village of Idodi, as national…
Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Kiongozi Muadhamu awashukuru wanazuoni wa Kisunni wa Kurdistan kwa uungaji mkono wao
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ametoa shukrani zake kwa wanazuoni wa Kisunni katika Mkoa wa Kurdistan nchini Iran kufuatia ujumbe wao wa pole na mshikamano…
Kazi za uandishi wa vitabu ni nyenzo muhimu ya kukuza maarifa na lugha kwa hadhira lakini mwandishi mkongwe wa vitabu, Rachard M…
Kazi za uandishi wa vitabu ni nyenzo muhimu ya kukuza maarifa na lugha kwa hadhira lakini mwandishi mkongwe wa vitabu, Rachard Mabala anasema “ubunifu na usahihi wa lugha” ndio sababu…
Maendeleo ya Z’bar na mafanikio yanayotaka uwajibikaji zaidi wa watu
Katika kipindi cha hivi karibuni, sura ya Zanzibar imebadilika kwa kasi kubwa kufuatia...
Ni wakati wa vitendo na siyo maneno
Tumeyashuhudia ya mwezi huu hasa siku ya Machi 8, ambayo ilikuwa siku rasmi ya Wanawake Duniani...
Mwakilishi wa Iran UN alaani shambulio la US na Israel dhidi ya ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Tehran
Balozi na mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo, akilaani mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni…
Araghchi: Iran haijatoa jibu lolote kwa mapendekezo 15 ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje amesema: Iran hadi sasa haijatoa jibu kwa mapendekezo 15 ya Marekani, na wala haijawasilisha sharti lolote.
Mwamba kapitia mengi, acheni Diamond awe na furaha tu!
Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz, 36, kwa sasa anavuma na wimbo wake mpya, Happy...
Rachel Ruto afichua kwamba Ikulu huwa na kesha za Ijumaa kila wiki
Mke wa Rais Rachel Ruto alishiriki maarifa kuhusu imani, kesha za kila wiki Ikulu, na athari zake kwa uongozi wa Kenya wakati wa mahojiano nchini Marekani.
Magazetini: Bosi Mpya wa DCI Atafutwa Huku Ruto Akionekana Kutomuongezea Muda wa Kazi Mohamed Amin
Mustakabali wa Mohamed Amin katika afisi ya Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI unaning'inia huku kandarasi yake ya ajira ikitamatika Aprili 1
Mastaa wanavyobebana kwenye uandishi wa nyimbo
NI wanamuziki wachache wenye uthubutu wa kusema wimbo wake fulani ameandikiwa na mwenzake au...
Building resilience: Tanzania steps up emergency preparedness through medical training
AS the world faces an increasing wave of health emergencies, from infectious disease outbreaks to climate-related disasters, Tanzania is taking decisive steps to strengthen its preparedness and response systems. The…
UDA yamshutumu Uhuru Kenyatta kwa kuhujumu serikali ya William Ruto, kufadhili upinzani
Hassan Omar wa UDA amemshutumu Rais msaafu Uhuru Kenyatta kwa kuunga mkono upinzani kuhujumu utawala wa Ruto kwa propaganda na uingiliaji wa kisiasa.
Makali bei za mafuta yaanza kung’ata Tanzania
Vita ya Mashariki ya Kati imeanza kung’ata nchini Tanzania kupitia ongezeko kubwa la bei za...
Despite progress, why Zanzibar women still struggle for equal voice in leadership
DAR ES SALAAM: ON paper, the progress is undeniable. More women are stepping forward to contest leadership positions, public awareness is growing and advocacy efforts are gaining momentum. Yet beneath…
Mama Mobetto anavyouchukulia uzee
Uzee ni hatua ambayo wengi huiogopa au kuichukulia kama mwisho wa mvuto na furaha ya maisha...
COASTAL UNION | Baadhi ya mashabiki wa Coastal Union mkoani Tanga wamesema wamejiandaa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mbele y…
COASTAL UNION | Baadhi ya mashabiki wa Coastal Union mkoani Tanga wamesema wamejiandaa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mbele ya mwenyeji wa mchezo huo Simba SC. Mechi hiyo ni kesho kuanzia…
SIMBA SC | Baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameeleza matumaini yao kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union…
SIMBA SC | Baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameeleza matumaini yao kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union wakisema hamasa hiyo ni kutokana na…
Kwa nini ni vigumu kwa Marekani kuchukua madini ya urani ya Iran?
Kuchimba akiba hiyo ya urani itakuwa moja ya "operesheni ngumu zaidi katika historia", afisa wa zamani wa ulinzi aliambia BBC.
Burundi: Moto kwenye ghala la silaha wasababisha milipuko Bujumbura
Mfululizo wa milipuko mikubwa ilisikika kusini mwa jiji la Bujumbura, mji wa kibiashara wa Burundi katika ghala la risasi kwenye kambi ya kijeshi ya Musaga. Imechapishwa: 01/04/2026 – 06:10Imehaririwa: 01/04/2026…
Trump asema Marekani itaondoka Iran ndani ya ‘wiki mbili au tatu’ iwe ‘kuna makubaliano au la
Rais Masoud Pezeshkian anasema Iran ina "nia" ya kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi yake lakini hilo litatimia pale masharti kadhaa yatakapotimizwa.