TET, taasisi kuboresha mitaala wanafunzi wenye mahitaji maalumu
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari, imeanza maboresho ya maudhui ya mitaala ya somo la hesabu…
Mbio zatoa hamasa AFCON 2027
ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Yusuph Singo, ameipongeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa…
MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”
MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”. Mashabiki wa Azam FC wanasema mechi yon a Simba wameishamaliza…., wanasema Simba kwao ni kama muembe wa nyumbani…., wanasema wanamuamini kocha wao…
MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”
MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”. Cheche za mashabiki wa Simba kuelekea Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, Aprili 5; Wenyewe…
‘Maadili ni msingi uongozi bora’
MOROGORO: OFISI ya Rais ,Sekretarieti ya Maasili ya viongozi wa Umma imewataka viongozi kuzingatia misingi ya maadili kwenye utumishi wao kwani huimarisha imani ya wananchi kwa Serikali na taasisi zake…
Filamu yaibua mjadala haki za waafrika
KAMPUNI za Afric Media Group na Genesis Entertainment Agency kutoka Cameroon zimefanya leo onesho la makala fupi iitwayo Universal Justice Without Universality, inayolenga kuangazia masuala ya haki za kimahakama barani…
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt Aneth Komba amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui …
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt Aneth Komba amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui ya Kuhesabu katika “Kalimani App” kwa kutumia mtaala ulioboreshwa…
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu Mkoa wa Tabora, Bunzali Jidola (30), anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi m…
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu Mkoa wa Tabora, Bunzali Jidola (30), anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili kwa kumchinja na kitu chenye ncha kali. Aidha, mwanaume…
Madaktari 30 kutoa huduma bure Ubungo
MADAKTARI 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, mnamo Machi 28…
Wivu wa mapenzi wapelekea mauaji Igunga
MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili,…
Diarra : Afungiwa mechi 3 , faini milioni 4
KIPAwa Young Africans SC, Djigui Diarra, amekumbana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni nne kutokana na utovu wa nidhamu katika mchezo dhidi ya Mtibwa…
Wasira awaonya walioanza mbio za Urais
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akisema muda wa kufanya hivyo bado haujawadia. The post Wasira…
Unavyoweza kumtambua mtoto mwenye usonji
Usonji kitabibu hujulikana kama Autism, ni dosari katika ukuaji wa ubongo ambayo ni sehemu ya...
Glakoma: Adui wa macho anayesababisha upofu
Wakati idadi ya watu wenye matatizo ya macho ikiendelea kuongezeka duniani, wataalamu wa afya...
Umeme: Mkakati mpya kuanza Julai
SERIKALI itaanza utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Ufanisi wa Nishati, Julai Mosi mwaka huu ili kuimarisha matumizi bora ya umeme na kupunguza gharama kwa watumiaji. The post Umeme: Mkakati…
Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Manispaa ya Morogoro, Mkoani Morogoro, imeandika historia mpya baada ya kuibuka kinara wa ufa…
Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Manispaa ya Morogoro, Mkoani Morogoro, imeandika historia mpya baada ya kuibuka kinara wa ufaulu katika shule za kata, kufuatia kupata wastani wa GPA 3.45 kwenye…
Msanii wa Hip Hop aapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Nepal
Mwanamuziki wa zamani wa Hip Hop aliyegeukia siasa, Balen Shah, ameapishwa kuwa Waziri Mkuu...
Mahakama ilivyowabana wanaodaiwa mabilioni ya fedha na Rugemalira
Jitihada za wadaiwa wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited zimegonga ukuta baada...
Jaji ahimiza maboresho ya mifumo ya kisheria kuwavutia wanawake sekta ya usuluhishi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo cha Usuluhishi, Zahra Maruma amesema...
Afya ya baba inavyoweza kuongeza hatari kwa mjamzito
Kwa muda mrefu mjadala wa afya ya ujauzito umejikita zaidi kwa mama, huku baba akionekana...
Tughe Morogoro yaomba watumishi wapya
Serikali imeombwa kuidhinisha vibali vya ajira mpya kwa Idara ya Uhamiaji nchini ili kuondoa...
Winnie Odinga atoa kauli baada ya Oburu kuidhinishwa kuwa kiongozi mpya wa ODM: “With all humility”
ODM ilimthibitisha Oburu Odinga kuwa kiongozi wa chama baada ya kukaimu kwa miezi mitano, huku viongozi wakiahidi umoja na mageuzi kabla ya uchaguzi wa 2027.
Polisi wamkamata kijana kwa mauaji
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Gilbert Edwin Mwabulesi (26), mkazi wa Kijiji cha Ibililo, Wilaya ya Rungwe, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Edwin Mwabulesi (65), kwa…
Mwanaume Mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30) Mkazi wa kata ya mwamakona Wilaya ya Igunga mkoani anadaiwa kumuua …
Mwanaume Mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30) Mkazi wa kata ya mwamakona Wilaya ya Igunga mkoani anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa kike mwenye umri wa miezi miwili…
Wakulima wazuiwa kuuza korosho nje
MKUU wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, amepiga marufuku wakulima wa zao la korosho kuuza mazao yao nje ya mkoa huo, akiwataka kutumia mfumo wa stakabadhi ya ghala pamoja na…
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India. Hatua hii kubwa ya kimkakati siyo tu safari ya mafunzo,…
Uhamiaji yaichapa Black Sailors 2-1
TIMU ya Uhamiaji, imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Black Sailors katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Ijumaa Machi 27, 2026 kwenye Uwanja wa Mao Zedong B, ikiwa…
Wananchi 1,000 waishio mazingira magumu waguswa mkono wa Pasaka Mbeya
Zaidi ya Watu 1, 000, waishio katika mazingira magumu wakiwepo wazee walemavu ,yatima kupatiwa...
Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara
RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mazingira ya biashara nchini Tanzania yameendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kufuatia hatua za serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kikodi vilivyokuwa vikiwakwamisha…
Mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation kuanza Jumamosi
TIMU 20 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, zinatarajiwa kushiriki michuano ya Afrika ya mchezo wa mpira wa kikapu kwa vijana yanayoanza kesho Jumamosi Machi 28, 2026.
Watendaji watajwa kikwazo cha biashara
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amesema juhudi za kuboresha mazingira ya biashara nchini Tanzania zinakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadili mitazamo ya watendaji…
Urais 2030 waanza kuitikisa CCM, Wasira aonya
Mbio za urais mwaka 2030 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) zimeanza kufukuta ndani ya chama...
Tanzania banks on the Economic Freedom Audit Report to drive policy reforms by 2050
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s…
Kimani Ichung’wah Azomewa Kiambu Mbele ya William Ruto wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais
Mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung'wah alipata mapokezi ya chuki alipoandamana na Rais William Ruto katika ziara yake ya kikazi Kaunti ya Kiambu mnamo Ijumaa, Machi 27.
Dk Mwinyi aibua nafasi ya sekta binafsi kufikia uchumi wa juu
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ili Tanzania ifikie uchumi wenye thamani ya dola za...
Speaker Zungu pays tribute to the late Isimani MP, Lukuvi
DODOMA SPEAKER of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani…
PM Nchemba eulogises the late Lukuvi
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public…
Tanzania names the blue economy as its top priority in the 2026/27 budget
DODOMA: THE Tanzanian government has placed the blue economy at the centre of its upcoming fiscal agenda, with the Vice-President’s Office outlining key interventions aimed at unlocking Tanzania’s vast marine…
Rais wa Burundi aongoza mkutano wa kwanza wa AU
Rais wa Jamhuri ya Burundi ambae pia ni mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, Evariste Ndayishimiye, alifanya mkutano wake wa kwanza kwa njia ya video na wajumbe wa Mkutano…
CEFA, We World initiates a drive that promotes peaceful, stable communities in Tanzania, Kenya, Mozambique
DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS from Tanzania, Mozambique, and Kenya have met in Dar es Salaam under the Peace Project implemented by CEFA in partnership with We World today. CEFA Board…
Rungu la Diarra ni la kumi na tano Ligi Kuu
DJIGUI Diarra jana alitangazwa kufungiwa michezo mitatu na Bodi ya Ligi baada ya kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar akiwa ni mchezaji…
UN yaonya kuwa hali ya usalama mashariki ya DRC inaendelea kuwa mbaya
Umoja wa Mataifa unaonya kuwa hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika majimbo ya Kivu Kusini na Kaskazini, inaendelea kuwa mbaya. Imechapishwa: 27/03/2026 – 15:56Imehaririwa: 27/03/2026…
TIE, Jenga Hub launch Kalimani App to boost numeracy learning in schools
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Institute of Education (TIE), in collaboration with Miss Tanzania 2006 Nancy Sumari’s Jenga Hub, has started improving numeracy learning content for lower primary school pupils…
Tanzania, Zambia resort to deepen ties in oil and gas sector for the two nations’ economic growth
ZAMBIA: TANZANIA‘S Minister for Energy, Deogratius Ndejembi, held talks with Zambia’s Minister of Energy, Makozo Chikote, to explore ways of strengthening and advancing bilateral cooperation in the energy sector, particularly…
Magereza: Wafungwa waongezeka nchini, mahabusu wakipungua
Takwimu mpya zilizotolewa na Jeshi la Magereza jijini Dodoma zimeonyesha mwelekeo mpya katika...
Kenya : Chama cha ODM kilichogawanyika, chaanda mikutano pinzani
Chama kikuu cha upinzani nchini Kenya Orange Democratic Movement-ODM kimeendelea kushuhudia mgawanyiko mkubwa baada ya pande mbili zinazopambania uongozi wa chama hicho kilichoanzishwa na Marehemu Raila Odinga, Waziri Mkuu wa…