Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 16, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile. FT’: Lazio 1-0 Milan OC Safi vs Wydad inaanza saa 7:00 usiku huu LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #Lazio #Milan…
NBC Premier League, April 05, 2026 ni Mzizima Derby
NBC Premier League, April 05, 2026 ni Mzizima Derby. AzamFC Vs Simba SC. Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Sio Ibenge wala Pedro Dar es Salaam Dabi
LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga…
Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama…
Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo (TBA) kwaajili…
Simulizi tamu ya Tepsie Evance na Okello wa Yanga
STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti.
“Akili ni mali” – msemo huu unaakisi ubunifu wa kipekee katika Saluni ya Kike iliyoko jijini Dar es Salaam ambayo imejizolea uma…
“Akili ni mali” – msemo huu unaakisi ubunifu wa kipekee katika Saluni ya Kike iliyoko jijini Dar es Salaam ambayo imejizolea umaarufu kutokana na utofauti wa huduma wanazotoa. Mbali na…
Madereva watakiwa kuwa mabalozi wa usalama barabarani
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewataka madereva kuwa mabalozi wa usalama barabarani...
Mashindano ya Quran yamefanyika katika kanda mbalimbali hapa nchini, huku wazazi wakitakiwa kuwalea watoto katika maadili mema i…
Mashindano ya Quran yamefanyika katika kanda mbalimbali hapa nchini, huku wazazi wakitakiwa kuwalea watoto katika maadili mema ili kuandaa wazalendo watakaoweza kuwa viongozi bora hapo baadaye. Juma Kapipi ametuandalia mkusanyiko…
Badili mazingira kuacha tabia usiyoipenda
Nilipoanza mkakati wa kuacha kutia sukari kwenye chai au kahawa, haikuwa kazi nyepesi. Kwa muda...
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu mkoani Geita leo …
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu mkoani Geita leo Machi 15, 2026, ili kuona maendeleo ya miradi…
DC Itunda: Maadili yaendelee hata baada ya Ramadhan
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amewahimiza viongozi wa dini ya Kiislamu kuendelea...
UWAA yashauriwa kuchangamkia fursa utalii
ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillan Iraghye ameutaka Umoja wa Washereheshaji Mkoa wa Arusha (UWAA) kuchangamkia fursa za utalii zilizopo mkoani. Pia ameutaka umoja huo kuacha kujikita katika kusherehesha…
Paresso achangia ujenzi nyumba za watumishi CCM Karatu
ARUSHA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cecilia Paresso, ametoa mchango wa mbao zenye thamani ya Sh milioni 2.5…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya ukaguzi katika Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu kil…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya ukaguzi katika Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu kilichopo mkoani Geita tarehe 15 Machi 2026, ikiwa…
Manusura ajali ya boti Kigoma, wafunguka
Majeruhi walionusurika katika ajali ya boti iliyouwa saba, wakiwemo watumishi wanne wa idara ya...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI .. MACHI 15, 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KIGOMA, MIKUMI, YAREJEA
Msimamo wa Mahakama Tume ya Matukio ya Oktoba 29
Ijumaa Machi 13, 2026 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitoa uamuzi wa shauri la kupinga Tume ya...
Serikali kujenga gati mpya kilipo Chuo cha Bandari
Serikali imekusudia kukihamisha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na kutumia eneo hilo kwa...
Serikali yaeleza siri kushirikiana na sekta binafsi huduma za afya
Serikali imeeleza utayari wake wa kushirikiana kwa karibu na wadau wa sekta binafsi, likiwamo...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha watanzania hususan vijana, wanapata makazi bora na ya gharama nafuu…
VITA MASHARIKI YA KATI: Tujipange, bei ya mafuta kupaa
Mpaka sasa vita vya Mashariki ya Kati vinavyohusisha Marekani na Israel dhidi ya Iran...
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kuwalea watoto katika misingi y…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kuwalea watoto katika misingi ya kumcha Mungu ili kuwakinga na matendo maovu. Akizungumza katika mashindano…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia ambazo…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Cecilia Daniel Paresso, ametoa mchango wa mbao zenye thamani ya shilingi milioni…
SGR kuanza kutoa mizigo bandarini
Serikali imesema kuanzia mwisho wa mwezi huu, itaanza kutumia Treni ya Kisasa (SGR) kusafirisha...
#HABARI: Majeruhi wa mwisho kati ya 11 waliosalimika kwenye ajali ya boti katika Ziwa Tanganyika, Bwana Lawi Filemoni, ameruhus…
#HABARI: Majeruhi wa mwisho kati ya 11 waliosalimika kwenye ajali ya boti katika Ziwa Tanganyika, Bwana Lawi Filemoni, ameruhusiwa leo kutoka Hospitali ya Rufaa Maweni mkoani Kigoma. Bwana Filemoni amerejea…
Singida yaitambia Mbeya City Ligi Kuu
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati...
Wanne wafariki Monduli kwa mafuriko
Watu wanne wamefariki dunia wilayani Monduli mkoani Arusha kufuatia mvua kubwa zilizosababisha...
#HABARI: Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamepongeza hatua ya Serikali kutenga zaidi ya hekari 20,00…
#HABARI: Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamepongeza hatua ya Serikali kutenga zaidi ya hekari 20,000 katika maeneo matatu kwa ajili ya uanzishaji wa kongani za viwanda.…
ACHPR yataka wote waliomteka Mshabaha nchini Kenya wawajibishwe
Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHRO), imepongeza kukamatwa kwa washukiwa watatu...
Askofu Massawe aonya upofu wa roho
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Isaac Massawe amesema upofu wa roho umewafanya...
“…..jingine ambalo tunaipongeza Serikali kupitia kwako Mheshimiwa Waziri baada ya maboresho kumekuwa na ongezeko kubwa sana la…
".....jingine ambalo tunaipongeza Serikali kupitia kwako Mheshimiwa Waziri baada ya maboresho kumekuwa na ongezeko kubwa sana la mapato, mapato yameongozeka lakini huduma zinazotolewa Kwa wananchi sasa zimekuwa bora, wanaotumia bandari…
“….tunajua sana changamoto ya chuo hiki na tunafahamu umuhimu wa eneo hili kwa upande wa bandari….maamuzi tumeshafanya na TP…
"....tunajua sana changamoto ya chuo hiki na tunafahamu umuhimu wa eneo hili kwa upande wa bandari....maamuzi tumeshafanya na TPA wanaenda kuchukua eneo hili na wao ndio wanaenda kujenga chuo huko…
Mbeya City yashushiwa mvua ya mabao Kwaraa, Singida BS yatakata
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1, dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, MACHI 15, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, MACHI 15, 2026
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuhakikisha huduma ya afya kwa wote inapatikana kwa Watanzania kup…
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuhakikisha huduma ya afya kwa wote inapatikana kwa Watanzania kupitia utekelezaji wa mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote. Hayo yamesemwa jijini…
Jafary Maneno wa JKT humwambii kitu kwa Pacome, Chama
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Jafary Maneno, amewataja baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara anaowakubali na kwamba anajifunza mengi kutoka kwao.
Watumishi CCM Karatu kujengewa makazi, Paresso aunga mkono
Kutokana na uhaba wa nyumba za makazi kwa watumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya...
Bodi ya Ligi Zanzibar yachukua hatua vipigo vya waamuzi
KATIKA Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), bado waamuzi wameendelea kuteseka kwa kuchezea vipigo kutoka kwa mashabiki, viongozi na hata wachezaji.
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuimarisha huduma katika mikoa ya…
Wacongo kumpa muhula mwingine Denis Sassou Nguesso?
Wananchi wa Jamhuri ya Kongo (Congo Brazzaville), wamepiga kura leo Jumapili Machi 15, 2026...
Mvua kubwa zazua hofu ya mafuriko nchini
Mvua kubwa zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini zimeongeza hatari ya mafuriko...
#HABARI: Mwanamke mmoja mwenye ulemavu na mkazi wa Jiji la Mbeya anayeishi katika mazingira magumu, ametoa ombi la kipekee la k…
#HABARI: Mwanamke mmoja mwenye ulemavu na mkazi wa Jiji la Mbeya anayeishi katika mazingira magumu, ametoa ombi la kipekee la kupatiwa mtaji wa shilingi elfu tano ili aweze kuanza biashara…