COSOTA warns against sharing artists’ work on WhatsApp
DAR ES SALAAM: THE Copyright Society of Tanzania (COSOTA) has warned that the unauthorised distribution of creative works via WhatsApp and social media is a criminal offence, carrying the risk…
Nyuma ya pazia mastaa Bongo wanavyojenga chapa zao
Baadhi ya wanamuziki wa Bongofleva, katika kuandika, kutayarisha na kurekodi nyimbo zao, huwa...
New York Times: Uwezo wa Iran ni zaidi ya alivyotarajia Trump
Gazeti moja la Marekani limekiri uwezo wa Iran wa kuathiri uchumi wa dunia kwa kudhibiti Mlango-Bahari wa Hormuz
Singida Black Stars thrash Mbeya City
MANYARA: SINGIDA Black Stars secured a resounding 4-1 victory over Mbeya City in a Mainland Premier League clash at Tanzanite Kwaraa Stadium in Manyara on Sunday. The win lifts Singida…
Tanzania: TMA yaonya kuhusu mvua kubwa, mafuriko yanayowezekana katika sehemu za Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya kwamba mvua kubwa zinazoendelea katika sehemu za nchi zinaweza kusababisha mafuriko, kuvuruga miundombinu na kuathiri shughuli za uvuvi katika maeneo kadhaa ya…
Tiseza simamieni kongani BuzwagI
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeelekeza Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji kuhakikisha Kongani Maalumu ya Uwekezaji ya Buzwagi (BSEZ) inakabidhiwa kwa Mamlaka ya…
#HABARI: Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu,…
#HABARI: Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na kutumia nafasi…
Mwendesha Pikipiki Maarufu wa Nairobi Gustavo Afariki Kwenye Ajali Mbaya na Mkewe Baada ya Kutaja Kifo
Mshawishi maarufu Gustavo Rides, maarufu kama Luhya Kidd, alifariki kwa ajali karibu na Northern Bypass, pamoja na mkewe, wiki chache baada ya posti ya kusikitisha.
Stock hospitals with medicines, PM directs
KATAVI: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed government authorities to ensure public hospitals and health centres are stocked with essential medicines, aiming to end the growing trend where patients…
Mafuriko makubwa yaua watu 66 nchini Kenya, huku mvua kubwa ikiendelea
Watu wengine wanne wamefariki nchini Kenya baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko makubwa, polisi imesema, na kufanya idadi hiyo kuwa waliofariki katika wiki iliyopita kuwa angalau 66. Imechapishwa: 16/03/2026 –…
#MEZAHURU: Je ni kweli HUDUMA YA AMBULANCE KWENYE AJALI bado Watanzania hawana uelewa huo?
#MEZAHURU: Je ni kweli HUDUMA YA AMBULANCE KWENYE AJALI bado Watanzania hawana uelewa huo? -Weka maoni
Tanzania yaweka alama mpaka wa Kenya
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya kazi ya uimarishaji wa mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya. Mwenyekiti wa kamati…
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa mataifa mengine yanapaswa kujiunga na juhudi za kufungua Mlango wa Bahari …
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa mataifa mengine yanapaswa kujiunga na juhudi za kufungua Mlango wa Bahari wa Hormuz, akisisitiza kuwa Marekani haina faida ya moja kwa moja…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….MACHI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoa wa Njombe, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Moses Batista Msemwa Samsoni (2…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoa wa Njombe, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Moses Batista Msemwa Samsoni (24) Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Wanging'ombe, kwa kosa la kujaribu…
Trump aonya NATO, aishinikiza China kusaidia kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya NATO kuhusu mustakabali “mbaya zaidi” ikiwa washirika wake hawatasaidia kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz na akabainisha kwamba anaweza pia kuahirisha mkutano uliopangwa na Rais…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa, Afraha Hassan, amesema Serikali inakusudia kuweka u…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa, Afraha Hassan, amesema Serikali inakusudia kuweka uzio wa umeme wenye thamani ya shilingi Billioni 7 katika Kata tano, zinazozunguka…
Watu Wawili Wajeruhiwa Katika Vita vya Mazishi Wakipigania Kumzika Pasta Mkuu
Ghasia zilizuka katika mazishi ya Vihiga baada ya familia kuwazuia viongozi wa kanisa la PAG kumzika pasta Hudson Jumba Mang’ang’a na kukabidhi ibada ya kwa ACK.
High Court backs inquiry
DAR ES SALAAM: THREE individuals have lost their bid to challenge the President of the United Republic of Tanzania’s decision to establish a commission of inquiry into incidents of violence…
Serikali y DRC yashtumu ADF kushambulia migodi na kuua raia
ADF inashutumiwa kwa mauaji na uporaji huko Ituri na mkoa jirani wa Kivu Kaskazini. “Shambulio hili, lililodaiwa na kundi la Islamic State, lilisababisha vifo vingi, na raia kutoroka makazi yao,”…
Mkurugenzi huduma za wakunga ataja mikakati ya kuokoa maisha ya wajawazito
Hospitali ya Taifa Muhimbili imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali inayolenga kuboresha...
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: STADI KWENYE MASOKO KIDIJITALI….MACHI 16, 2026
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: STADI KWENYE MASOKO KIDIJITALI....MACHI 16, 2026
Alfred Mutua Atajwa Katika Njama ya Kuiba Kura za Raila 2007.
Ufichuzi waibuka kuhusu jinsi maafisa wakuu walivyopanga njama ya kuiba ushindi wa Raila wa 2007, pamoja na ripoti za uharibifu kutokana na mvua.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….MACHI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
Serikali Kupokonya Leseni vya Wiper, NARC kwa sababu ya kutofuata sheria kabla ya 2027
Ukaguzi unaonyesha vyama vikuu vya kisiasa nchini Kenya, vikiwemo Wiper na NARC, vitafutiliwa mbali kwa kukosa afisi katika kaunti 47, jambo linalotishia uhalali wao
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: YANGA KUSHINDWA KUTAMBA MBELE YA AZAM…MACHI 16, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: YANGA KUSHINDWA KUTAMBA MBELE YA AZAM...MACHI 16, 2026
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Wananchi waibua mapya makazi yao kushambuliwa
Wanadiplomasia nchini Pakistan wamedai mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Afghanistan ndio...
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijabainika mara moja, umeteketeza zaidi ya vibanda 20 vya wafanyabiashara katika eneo la Gar…
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijabainika mara moja, umeteketeza zaidi ya vibanda 20 vya wafanyabiashara katika eneo la Garden lililopo Posta, ndani ya Manispaa ya Iringa. Moto huo ambao umetokea…
Israel yasema bado ina maeneo mengi ya kushambulia nchini Iran, huku Trump na Starmer wakijadili Mlango wa Hormuz
Msemaji wa jeshi la Israel, Effie Defrin anasema jeshi la Israel bado lina "maelfu" ya shabaha za kushambulia Iran.
DRC: Mahakama mpya ya kupambana na uhalifu wa kiuchumi yaanzishwa
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mahakama mpya maalum imeanzishwa ili kuimarisha mapambano dhidi ya uhalifu wa kiuchumi na kifedha. Nchi hiyo ni mojawapo ya nchi zenye ufisadi mkubwa…
Waziri wa mambo ya kigeni wa Kenya anazuru Moscow
Waziri wa Mambo ya nje wa Kenya, Musalia Mudavadi anazuru Moscow nchini Urusi, katika ziara ambayo anatarajiwa kutumia kushinikiza ukomo wa raia wa nchi yake kujiunga na jeshi la Urusi,…
Mali: Mashirika ya kiraia yapinga kodi mpya dhidi yao
Nchini Mali, muungano wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, yapinga hatua ya serikali kuwataka kulipa kodi mpya kutoka kwa fedha wanazopokea kutoka kwa mashirika ya kutoa misaada kwa ajili ya miradi…
Wanaume watakiwa kushiriki kikamilifu kuwasaidia wanawake kipindi cha ujauzito
Wanaume wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kuwasaidia wanawake wakati wa ujauzito na...
Kitila awashukuru wananchi wa Ubungo kwa kumchagua tena
Mbunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amewashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa kumuamini na...
🔴BODABODA AJIRA YA MAELFU YAGEUKA UHALIFU/ SIMBA HAINA MPANGO WA KUMTOA CAMARA
🔴BODABODA AJIRA YA MAELFU YAGEUKA UHALIFU/ SIMBA HAINA MPANGO WA KUMTOA CAMARA
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Chelsea kuharakisha usajili wa Messi
Chelsea inaweza kuharakisha mipango ya kumsajili winga wa Ufaransa Rayane Messi, 18, kutoka Strasbourg huku Bayern Munich, Barcelona na Paris St-Germain pia zikimtaka. (Teamtalk)
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Tabora kufuta vibali vyote vya uvunaji wa miti ya uchomaji mkaa mpaka utaratibu …
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Tabora kufuta vibali vyote vya uvunaji wa miti ya uchomaji mkaa mpaka utaratibu endelevu wa kutunza mazingira utakapowekwa. Je, Mikoa mingine iige?"
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 16, 2026
#GIRLSCODE EP 2 :UKWELI AMBAO MABINTI WENGI HAWAJUI KUHUSU MAFANIKIO
#GIRLSCODE EP 2 :UKWELI AMBAO MABINTI WENGI HAWAJUI KUHUSU MAFANIKIO (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCL Wamelala…Sasa watalazimika kushinda angalau 2-0 nyumbani; Je, wataweza!!!??
#CAFCL Wamelala…Sasa watalazimika kushinda angalau 2-0 nyumbani; Je, wataweza!!!?? FT: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0 Wydad AC LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #AlAhly #EsperanceAlAhly (Feed generated…
#CAFCL Kule Morocco ni mapumziko hivi sasa kukiwa hakuna bao, wakati Tunisia ni dakika za nyongeza, kuna watu wanapambana kuchom…
#CAFCL Kule Morocco ni mapumziko hivi sasa kukiwa hakuna bao, wakati Tunisia ni dakika za nyongeza, kuna watu wanapambana kuchomoa…!!! 90+: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 16, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile. FT’: Lazio 1-0 Milan OC Safi vs Wydad inaanza saa 7:00 usiku huu LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #Lazio #Milan…
NBC Premier League, April 05, 2026 ni Mzizima Derby
NBC Premier League, April 05, 2026 ni Mzizima Derby. AzamFC Vs Simba SC. Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Sio Ibenge wala Pedro Dar es Salaam Dabi
LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga…
Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama…
Miji makubwa nchini ikiwemo jiji la Arusha, Dodoma na Mwanza yanatarajiwa kuingizwa kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo (TBA) kwaajili…