Uganda yaamuru mashirika ya haki kusitisha shughuli zao
Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki kusitisha shughuli zao, siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu ambao Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imeutaja kuwa unafanyika katika…
Mwamuzi wa Kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, ameripotiwa kuondolewa katika orodha ya waamuzi watakaosimamia mechi zilizosalia za…
Mwamuzi wa Kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, ameripotiwa kuondolewa katika orodha ya waamuzi watakaosimamia mechi zilizosalia za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea Morocco. Mbali na Traoré, mwamuzi…
Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka ‘kuvijaribu’
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump…
China: Tunapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Trump dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran
Serikali ya China imetangaza kuwa inapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya nchi zinazoshirikiana kibiashara na Iran.
Seneta Warner: Serikali ya Trump inachangia kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waarabu ndani ya Marekani
Seneta wa Marekani Mark Warner amesema, nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko la ubaguzi wa kidini na misimamo ya kufurutu mpaka inayochochewa na chuki, akiishutumu serikali ya Trump kwa kuchangia kuongezeka…
Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani
Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao…
Medvedev ‘amdhihaki’ Trump: Usipoharakisha, Greenland itapiga kura ya kujiunga na Russia
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia Dmitry Medvedev amesema, Wagreenland wanaweza kupiga kura ya maoni ya kujiunga na Russia ikiwa Rais wa Marekani Donald Trump hatachukua hatua haraka…
Sehemu ya hotuba ya Mhe
Sehemu ya hotuba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kkutano Mkuu wa mwaka wa Chama Cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tambukareli jijini Dodoma. #kilichoborakabisa
Iran yalegeza vizuizi kwa raia, idadi ya vifo yapita 600
Iran imelegeza baadhi ya vizuizi kwa raia wake na kwa mara ya kwanza baada ya siku kadhaa ya kuzima mawasiliano, wameweza kupiga simu za kwenda nje ya nchi.
CCM urges University Students to avoid informal marriages while studying
IRINGA: UNIVERSITY students have been urged to avoid informal or unregistered marriages and to refrain from joining directionless groups with tendencies that could negatively affect their studies and future lives,…
“….huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa ‘engineering’ gani imetumika Mahakamani mpaka mtu aka…
"....huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi…
Vodacom extends Kapu la Vodacom initiative with “Back to School” campaign to support education nationwide
DAR ES SALAAM: Vodacom Tanzania has extended its popular Kapu la Vodacom initiative beyond the festive season with a Back to School edition, reinforcing the company’s long-term commitment to supporting…
Devran anataka nusu ya mali, Yusuf na Jemo bado wanasaka kazi
Devran anataka nusu ya mali, Yusuf na Jemo bado wanasaka kazi. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Somalia yafutilia mbali makubaliano yake yote na UAE
Somalia imefuta jana makubaliano yake yote na Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, huku kukiwa na mvutano kuhusu hatua ya Israel ya kuitambua Somaliland.
Uchaguzi Uganda 2026: Waganda wengi ni vijana – Watamchagua Mzee wa miaka 81?
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Somalia yafuta mikataba ya bandari iliyoingia na Umoja Falme za Kiarabu
Serikali ya Somalia imesema imefuta makubaliano yote iliyoingia na Umoja wa Falme za Kiarabu...
DR Congo thanks Tanzania for supporting its refugees, pledges to address security issues
KIGOMA: THE Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation responsible for East African affairs, James Millya, has joined a delegation from the Democratic Republic of the Congo (DRC)…
Ukatili wowote udhibitiwe shuleni ili wanafunzi wasome kwa amani
SHULE za msingi na sekondari zinafunguliwa leo nchi nzima ikiwa ni muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026. Wiki moja iliyopita, wanafunzi walioandikishwa kuanza elimu ya awali, msingi na…
Tanzania orders pharmaceutical firms to obtain WHO certification
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has asked all pharmaceutical industries with an interest to support the government’s efforts to strengthen the pharmaceutical manufacturing sector in the country to obtain…
Azam Mfaume Julajula – Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU – Mtwara
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara. #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Folz afichua kilichomng’oa Yanga, adai kuchoshwa na haya
Folz amesema kuwa yeye na benchi lake la ufundi walitimiza vyema wajibu wao.
Shinikizo kuachiwa wafungwa wa kisiasa 751 Venezuela latua kwa Papa
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, María Corina...
Hali si shwari kwa familia ya Diddy
Wakati mwanamuziki Sean “Diddy” Combs, akiendelea kutumikia kifungo chake gerezani. Hali sio...
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka…
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka Iran mara moja huku machafuko yakiendelea kusambaa kote nchini humo.…
“….pamoja na mengineyo ibara hiyo inaelekeza kwamba, vyombo vyenye mamlaka vya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Mahakama ya …
"....pamoja na mengineyo ibara hiyo inaelekeza kwamba, vyombo vyenye mamlaka vya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Mahakama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama ya Serikali ya Mapinduzi ya…
18,055 Primary Schools begin a new 2026 season today
DODOMA: THE Minister of State in the Prime Minister’s Office for Regional Administration and Local Government (PO-RALG), Prof. Riziki Shemdoe, has expressed satisfaction with the preparations to receive pre-primary and…
#MICHEZO: Mwamuzi wa Kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, ameripotiwa kuondolewa katika orodha ya waamuzi watakaosimamia mechi zili…
#MICHEZO: Mwamuzi wa Kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, ameripotiwa kuondolewa katika orodha ya waamuzi watakaosimamia mechi zilizosalia za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea Morocco. Mbali na Traoré,…
Maajabu, ziara ya IShowSpeed Afrika
Ziara ya Africa inayofanywa na staa wa mitandao ya kijamii duniani kutokea Marekani, Darren...
Sudan yasherehekea kupatikana kwa vito 570 vilivyoporwa
Mamlaka hapo awali zilisema baadhi ya vito vilivyoibiwa tayari vimesafirishwa kwa njia ya magendo na kuvuka mipaka ya nchi hiyo, na sehemu kubwa ya vito hivyo bado haijulikani ilipo.
Kukamatwa kwa Maduro: Hatua ya kijeshi inayoitisha Iran
Baada ya Marekani kuivamia kijeshi Venezuela na kumkamata Nicolás Maduro, uongozi wa Iran unaogopa hatua kama hiyo. Tehran inaonya kuhusu ukiukwaji wa sheria za kimataifa na inajiona kama shabaha ya…
Azam Mfaume Julajula – Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU – Mtwara akielezea sababu ya kushuka k…
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara akielezea sababu ya kushuka kwa bei ya zao la korosho. #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Wadau wampongeza Dk Mwinyi kuwaunganisha Wazanzibari
WADAU wa uchumi na siasa wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ally Mwinyi kwa kutekeleza dhana ya Mapinduzi kwa vitendo Zanzibar. Wakizungumza na gazeti…
Kwanini si kwenye tamthiliya, sikiliza majibu ya Sultan Tamba
Kwanini si kwenye tamthiliya, sikiliza majibu ya Sultan Tamba Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Uganda, Tanzania near crude export milestone
FOR decades, the vast oil reserves beneath the Albertine Graben in Western Uganda remained a promise locked in the earth. Today, that promise is finally flowing toward reality. Uganda and…
PPPC trains stakeholders to fast-track development Projects
TANGA: THE government has stepped up efforts to accelerate the implementation of key development projects by strengthening Public-Private Partnerships (PPPs), a model, which is seen as crucial in mobilising private…
Mbappe amuaga Alonso, visa ni hivi
Kylian Mbappe amekuwa mchezaji wa kwanza wa Real Madrid kutoa heshima kwa kocha wake wa zamani,...
Azam FC, Yanga set for epic Mapinduzi Cup final showdown
ZANZIBAR: YOUNG Africans and Azam FC will face off in the Mapinduzi Cup final today at Gombani Stadium in Pemba. Both teams have been in excellent form throughout the tournament.…
Balotelli ajiunga klabu ya 14
Staa straika Mario Balotelli sasa amekamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya 14 katika...
Buzwagi SEZ to anchor Shinyanga’s growth
SHINYANGA: BARRICK Buzwagi Special Economic Zone (SEZ) is expected to be a major catalyst for economic growth in Shinyanga region and the nation at large due to its plans that…
Banks lead DSE as trading turns selective
DAR ES SALAAM: EQUITIES on the Dar es Salaam Stock Exchange traded in a narrow range Friday as banking stocks anchored liquidity, while selective gains in smaller counters pointed to…
Tanzania moves to rein in industrial fishing on Lake Victoria
AS dawn breaks over Lake Victoria, wooden fishing boats glide quietly across the water, their silhouettes cutting through the morning mist. For generations, these waters have sustained millions of families,…
Mfahamu mwanamuziki Stromae mkali wa kibao cha ‘Papaoutai’
Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii kama Instagram na TikTok basi utakuwa umekutana na...
Mwinyi commits to sports growth
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Hussein Mwinyi has announced that his government will construct a new stadium and continue upgrading existing facilities to transform the islands into a premier destination for regional…
Madaraja matano Kagera kukamilika Februari 2026
KAGERA: SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 45 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja matano ya kudumu mkoani Kagera ambayo awali yaliharibiwa na mvua za masika na kusababisha changamoto kubwa.…
2025: A turning point for Tanzania’s capital market
DAR ES SALAAM: SOMETHING extraordinary happened in Tanzania’s capital market in 2025 and if you blinked, you might have missed the scale of it. Quietly but powerfully, hundreds of thousands…
Unadhani huu ukaribu utazaa mahusiano na hatimaye ndoa
Unadhani huu ukaribu utazaa mahusiano na hatimaye ndoa Usikose kufuatilia tamthiliya ya The PRICE kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Azam Mfaume Julajula – Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU – Mtwara amesema kuwa kwa zamani wakul…
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara amesema kuwa kwa zamani wakulima wengi wa Korosho hawakuzingatia maendeleo tofauti naa ilivyo…
Fear, not AI, threatens humanity
DAR ES SALAAM: PEOPLE cried that bank tellers would be replaced when ATMs arrived, yet banking grew and new jobs were created in digital banking, fraud investigation and financial technology.…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….JANUARI 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 13, 2025
Tamasha Sauti za Busara kufanyika Mnazi Mmoja
ZANZIBAR: WAANDAAJI wa Tamasha la Sauti za Busara toleo la 23 wamesema tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja, badala ya Ngome Kongwe kuanzia Februari 5 hadi 8…