Bobi Wine atishia maandamamo akihujumiwa, aagiza kulinda kura Alhamisi
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Gyahulanyi...
Dar hosts NBAA Day to enable academic training meet the accounting profession, market demands
DAR ES SALAAM: HUNDREDS of accounting students and young professionals gathered in Dar es Salaam this week for the National Board of Accountants and Auditors’ (NBAA) Annual Accountancy Career Day…
Usiku wangu katika kijiji cha wanawake nchini Kenya
Baadhi ya wanawake hawa, waliwahi kupitia manyanyaso ya kijinsia ikiwemo kupigwa au hata kufukuzwa wakiwa na waume zao.
BBC seeks dismissal of Trump’s $5bn defamation lawsuit
USA: The BBC will file a motion to dismiss Donald Trump’s lawsuit over how his 6 January 2021 speech was edited in a Panorama documentary. The US president filed a…
Tanzania allocates 45bn/- to restore bridges affected by El Niño rains
KAGERA: THE Tanzanian government has allocated over 45bn/- for the construction of five permanent bridges in Kagera Region, which were previously damaged by seasonal rains, causing significant challenges. The Kagera…
Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imesema itawachukulia hataua kali baadhi ya wazazi na walezi, wanaowaficha watoto wenye m…
Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imesema itawachukulia hataua kali baadhi ya wazazi na walezi, wanaowaficha watoto wenye mahitaji maalum iliwasindikishwe kuanza masomo kufutia serikali kuweka mazingira bora na wezeshi ya…
Real Madrid yaachana na Xabi Alonso
Real Madrid imeachana na kocha wake Xabi Alonso na kumteua aliyekuwa kocha wa timu ya vijana Álvaro Arbeloa kuchukua nafasi yake.
Dr Samia warns judges against fabricating charges that can lead to unjust imprisonment
DODOMA: THE Tanzanian President, Dr Samia Suluhu Hassan, has called on judges and magistrates across the country to carry out their duties with a high level of accountability in administering…
Kares bey anataka vita, Begum haeleweki, ni zaidi ya mipango
Kares bey anataka vita, Begum haeleweki, ni zaidi ya mipango. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Tanzania announces to turn Resident Magistrate courts into Regional Courts
DODOMA: TANZANIA’S Judiciary is in the process of changing the name of Resident Magistrates’ Courts to Regional Courts, a move aimed at expediting the hearing and determination of cases at…
Pipino akutana na staa wa ndoto zake
NDOTO ya kiungo mkabaji Ahmed Bakari ‘Pipino’, kutamani kucheza timu moja na supastaa raia wa Uganda, Khalid Aucho inakwenda kutimia baada ya kusajiliwa na Singida Black Stars.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa 25 % kwa bidhaa zin…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa 25 % kwa bidhaa zinazoingizwa au kutoka Marekani, hatua iliyotolewa wakati maandamano ya kupinga…
World central bank chiefs ‘stand in solidarity’ with US Fed chair Powell
UK: Central banks across the world have joined together to declare that they stand in “full solidarity” with the Federal Reserve’s chair after the US launched a criminal investigation into…
Yule Messi wa Simba yupo tayari kuliamsha
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Azam FC na TP Mazembe, Ramadhan Singano ‘Messi’ amezungumzia kilichokuwa nyuma ya ukimya wake na utayari wa kurejea tena uwanjani ili kuweza kuendeleza kipaji…
Rais Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Maka…
Rais Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama, Judiciary Square, jijini Dodoma. Katika mkutano huo,…
Tanzania to construct more courts for land dispute cases
DODOMA: THE government has revealed its plan to construct more primary courts in the coming financial year to open doors for land dispute cases to be heard there. President Samia…
Kagera Sugar wana jambo lao Championship
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limedai halitaki kufanya makosa yatakayowagharimu katika mechi zilizobaki za Ligi ya Championship na kukwamishwa kurejea Ligi Kuu Bara.
Muhula wa masomo wa mwaka 2026 kwa shule za awali, msingi na sekondari umeanza rasmi nchini
Muhula wa masomo wa mwaka 2026 kwa shule za awali, msingi na sekondari umeanza rasmi nchini. Takribani watoto 1,950,783 wanatarajiwa kuanza darasa la kwanza, huku wanafunzi 937,581 wa sekondari wakiripoti…
Jeshi la Sudan linasema limepata mafanikio dhidi ya wapiganaji wanaowaunga mkono RSF
Serikali ya Sudan inasema itaendelea kuimarisha usalama katika miji na maeneo ya kimkakati.
Rais Tshisekedi azuru Togo katika juhudi za kusaka amani
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefanya ziara ya kidiplomasia nchini Togo, baada ya safari tatu mfululizo nchini Angola kama sehemu ya mkakati wake wa kushughulikia mgogoro…
Wakazi wa kijiji cha Mpembano, wilayani Sumbawanga, wamesusia kushiriki kazi za ‘songambele’ za ujenzi wa zahanati wakidai kuwa …
Wakazi wa kijiji cha Mpembano, wilayani Sumbawanga, wamesusia kushiriki kazi za ‘songambele’ za ujenzi wa zahanati wakidai kuwa baadhi ya viongozi na wajumbe wa kamati ya mradi huo wamehusika kuiba…
Simba wamejipanga bwana!
DAR ES SALAAM: KLABU ya Simba SC imerejea rasmi katika uwanja wa mazoezi kuanza maandalizi ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, huku uongozi…
Haiti: Vocha za chakula zinarejesha heshima na uhuru kwa familia
Katika kusini-mashariki mwa Haiti, Ketia, mama wa familia na mume wake ni miongoni mwa waathirika wa Kimbunga Melissa wanaonufaika na mpango wa vocha za chakula wa Shirika la Umoja wa…
UN yaomba dola bilioni 2.3 kusaidia kazi za huduma za kibinadamu Ukraine
Katika mazingira ya mashambulizi ya Urusi yanayoendelea na kuongezeka kote Ukraine, Umoja wa Mataifa umezindua ombi la misaada ya kibinadamu la dola bilioni 2.3 kwa mwaka 2026, kwa lengo la…
WHO yaonya kuwa vinywaji vya bei rahisi vinaongeza magonjwa yanayozuilika
Vinywaji vyenye sukari na vileo vinaendelea kuwa vya bei nafuu katika maeneo mengi duniani, hali inayochochea ongezeko la utipwatipwa, ugonjwa wa kisukari, magonjwa ya moyo, saratani na majeraha, hasa miongoni…
Umoja wa Mataifa walaani ghasia nchini Iran, wataka uwajibikaji kwa mauaji ya mamia ya waandamanaji
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeeleza kushtushwa na kuongezeka kwa ghasia zinazofanywa na vikosi vya usalama nchini Iran dhidi ya waandamanaji, huku ripoti zikionesha kuwa…
Mwaka mpya 2026 wakazi wa Gaza wana matarajio makubwa
Mwaka mpya unapoanza, wakazi wa Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel wanaendelea kukabiliwa na hali ngumu ya maisha katika kambi za wakimbizi na katika makazi ambayo…
ILO: Upatikanaji wa kazi zenye ubora wadorora duniani, vijana na wanawake wakiumia zaidi
Licha ya uchumi wa dunia kuendelea kukua, maendeleo katika kupata kazi zenye ubora na staha yamekwama, huku mamilioni ya wafanyakazi wakisalia katika lindi la umaskini na ajira zisizo rasmi.
Zaidi ya watoto 100 wameuawa Gaza tangu sitisho la mapigano: UNICEF
“Zaidi ya watoto 100 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu kusitishwa kwa mapigano mwezi Oktoba 2025. Hiyo ni sawa na msichana au mvulana mmoja kuuawa kila siku. Wakati wa kusitishwa…
Katika ya umeme bado pasua kichwa Unguja, Serikali yasema…
Licha ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) kuingia makubaliano na kampuni mbalimbali kwa lengo...
Meya wa Manispa ya Kibaha ,Dkt Mawazo Nicas ambaye kwa siku za hivi Karibuni ameoneka kukonga nyonyo za wananchi wengi wa Manisp…
Meya wa Manispa ya Kibaha ,Dkt Mawazo Nicas ambaye kwa siku za hivi Karibuni ameoneka kukonga nyonyo za wananchi wengi wa Manispaa ya Kibaha kwa namna anavyoshughulika na Utatuzi wa…
Umeme Ruvuma; daraja la uchumi wa kujikimu hadi wa uzalishaji
RUVUMA ni mkoa uliowahi kupata changamoto kubwa ya ukosefu wa umeme wa uhakika. Saa za jioni zilipowadia, giza lilitanda mapema na shughuli za kiuchumi zililazimika ‘kulala.’ Leo, ukiingia mijini au…
Tanzania to write ruling in Kiswahili after AG completes legal translation
DODOMA: The Chief Justice of Tanzania, George Masaju, has said that courts will begin writing judgments in Kiswahili once the Attorney General completes the translation of legal instruments from English…
Tanzania to write ruling in Kiswahili after AG completes legal translation
DODOMA: The Chief Justice of Tanzania, George Masaju, has said that courts will begin writing judgments in Kiswahili once the Attorney General completes the translation of legal instruments from English…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 13, 2025
Wahasibu kujumuika kujadili taaluma yao
DAR ES SALAAM: Chama cha Wahasibu Tanzania (NBAA) kimeandaa Siku ya Kazi kwa Wahasibu (Annual Accountancy Career Day) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa fani ya…
JKCI YAHAMASISHA AFYA YA MOYO, MAGONJWA YASIOAMBUKIZA
JKCI YAHAMASISHA AFYA YA MOYO, MAGONJWA YASIOAMBUKIZA Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Chuo Kikuu cha Muhas, Chuo kikuu cha…
Magari 21 yazuiwa kubeba wanafunzi Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeyazuia magari 21 ya shule kuendelea na shughuli za...
‘Tanga ya Viwanda’ yaanza kuonekana
SERIKALI ya Tanzania imeweka malengo makubwa kuhakikisha inafufua viwanda mkoani Tanga ili kuongeza fursa za ajira kwa wananchi na kuongeza wigo wa mapa- to ya serikali. Hii inakwenda sambamba na…
Mama Diamond amjibu mke wa Fella, akumbushia Sh5 milioni
Ikiwa imepita wiki moja tangu Sweet Fella ambaye ni mke wa aliyekuwa meneja wa wasanii wa...
Rangi za vyama vya siasa zinavyohamasisha wapiga kura Uganda
Kila chama kilichosajiliwa kina utambulisho wake unaotumika kuhamashisha wapiga kura.
Ujumbe madhubuti wa tarehe 22 Dei wa taifa la Iran; mwisho wa hadaa na hila za Marekani
Katika ujumbe wa pongezi aliotoa kwa mnasaba wa kazi kubwa iliyofanywa na taifa kubwa la Iran katika kuandaa mikusanyiko mikubwa ya tarehe 12 Januari, na siku ya kihistoria iliyobuniwa kwa…
Bangili imepotea, Firaz ni kama akili zinaruka, Fuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku
Bangili imepotea, Firaz ni kama akili zinaruka, Fuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Mtanzania apewa mwaka na nusu Misri
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto amejiunga na Port Fouad inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea Makadi FC.
Merz: Dalili za mwisho za utawala wa Iran zinaonekana
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo.
Serikali ya Gambia kuwalipa fidia walionyanyaswa na ‘Rais dikteta’
Tume ya Fidia ya Gambia imeanza kuwalipa fidia kwa waathiriwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu...
Watu wanne wauawa Kharkiv kufuatia shambulio la Urusi
Watu wanne wameuawa na wengine sita wamejeruhiwa katika shambulio la anga la Urusi lililoulenga mji wa Kharkiv mashariki mwa Ukraine.