Uchaguzi CAR: Kiongozi wa upinzani Anicet-Georges Dologuélé aishtumu ANE kupotosha takwimu
Mamlaka ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (ANE) imetangaza ushindi wa rais Touadéra katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais uliofanyika Desemba 28. Wapinzani wanasema watakata rufaa.…
Somaliland: Israel kufungua ubalozi wake Hargeisa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Sa’ar amekamilisha ziara yake ya kwanza rasmi ya kidiplomasia huko Hargeisa, mji mkuu wa Somaliland, siku ya Jumanne, akiashiria hatua muhimu ya…
🔴#KUMEKUCHA: UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA TAASISI YA TEITI
🔴#KUMEKUCHA: UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA TAASISI YA TEITI.... . JANUARI 07, 2026
Raia wa Congo wafariki wakiwa katika kambi za wakimbizi Burundi
Shirika la Wananchi la Amani na Uwiano wa Jamii (CPCC), limesema hivi majuzi kwamba takriban raia 105 kutoka DRC wamefariki dunia katika kipindi cha wiki mbili zilizopita wakiwa kambini huko…
Somalia yalaani ziara ya Waziri wa mambo ya kigeni wa Israel Somaliland
Hatua ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar kuzuru jimbo la Somaliland siku 10 baada ya kulitambua jimbo hilo kama nchi huru, imeshtumiwa vikali na Somalia ambayo…
Marekani inasema inaweza kutumia jeshi kuchukua kisiwa cha Greeland
Rais Donald Trump, anathmini njia za namna Marekani inavyoweza kuchukua na kudhibiti kisiwa cha Greenland, kinachomilikiwa na Denmark. Imechapishwa: 07/01/2026 – 04:46Imehaririwa: 07/01/2026 – 05:24 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
#KIPIMAJOTO: Serikali kuwafungia wakazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam mtambo wa kubadili maji ya chumvi ya Kisima kuwa safi …
#KIPIMAJOTO: Serikali kuwafungia wakazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam mtambo wa kubadili maji ya chumvi ya Kisima kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani. Je, kifanyike katika maeneo…
Jumatano, Januari 07, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 17 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 7 mwaka 2026 Milaadia.
Je, Greenland ni Venezuela inayofuata
Waziri Mkuu wa Denmark amepinga madai mapya ya Donald Trump kuhusu kuimiliki eneo la Greenland na kuitaka Washington ikome kutoa vutisho dhidi ya mshirika wake huyo wa kihistoria.
“Usalama ni Mstari Mwekundu”: Iran yaapa kujibu vikali vitisho vinavyozidi kuongezeka
Baraza la Ulinzi la Iran limelaani vitisho vinavyozidi kuongezeka, kauli za uchochezi na matamshi ya kuingilia mambo ya ndani, hususan kutoka Marekani, dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, likionya…
IRGC: Iran haiogopi vitisho na haitakubali kutawaliwa na Marekani
Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema kuwa Iran haiogopi vitishio vya maadui na kamwe haitakubali kutawaliwa na Marekani. Ametoa…
Somalia yalaani ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel huko Somaliland
Serikali ya Somalia Jumanne imelaani ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Saar, katika Somaliland, ikieleza kuwa ni “uvunjaji wa mamlaka usioidhinishwa” na ikaitaka Tel Aviv kusitisha…
Wazayuni wamefanya mashambulizi 24,000 katika Ukingo wa Magharibi
Ripoti ya kila mwaka ya shirika moja la Palestina imefichua kuwa, katika kipindi cha mwaka uliopita wa 2025, Wazayuni wamefanya karibu mashambulizi 24,000 katika eneo la Ukingo wa Magharibi la…
Marekani ilidhani Maduro wa Venezuela ni Noriega, ikapata Mandela
Ubalozi wa Jamhuri ya Bolivaria ya Venezuela ulioko Tehran, mji mkuu wa Iran, umefananishia Rais Nicolas Maduro , aliyetekwa hivi karibuni , na kiongozi wa kupinga ubaguzi wa rangi wa…
Israel yatangaza kufungua ubalozi Hargeisa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na kidiplomasia.
Israel kufungua ubalozi mjini Hargeisa Somaliland
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar ameahidi kwamba nchi yake itakuza uhusiano wenye mafanikio na Somaliland baada ya kuwa nchi ya kwanza kutambua uhuru wa eneo hilo…
Somalia yakasirishwa na ziara ya Gideon Saar Somaliland
Serikali ya Somalia imekasirishwa na ziara ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar, ikiitaja ziara hiyo kama "uvamizi haramu" na "usioidinishwa."
Maelfu waandamana Venezuela wakitaka kurejeshwa kwa Maduro
Maelfu ya wafuasi wanayoiunga mkono serikali ya Venezuela wameandamana katikati mwa mji mkuu Caracas wakitaka kurejeshwa rais aliyeondolewa madarakani Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores.
Washirika wa Ukraine wapiga hatua kuelekea makubaliano
Washirika wa Ukraine wamesema wamepiga hatua muhimu kuelekea kufikia makubaliano mapya kuhusu jinsi ya kuilinda nchi hiyo endapo mazungumzo ya amani kati ya Kyiv na Moscow yatafanikiwa.
Michuano ya AFCON 2025 yaingia hatua ya robo fainali
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeingia hatua ya robo fainali - hatua ambayo mara nyingi hutazamwa kama kipimo halisi cha ubora wa timu na uimara wa…
07.01.2026 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu…
07.01.2026 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 7, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Kisuo, amesema Serikali itaendelea kusimamia uwekezaji …
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Kisuo, amesema Serikali itaendelea kusimamia uwekezaji katika miradi yenye tija inayozalisha ajira kwa vijana, kuimarisha hifadhi ya jamii…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 06, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 06, 2026
Ukisikia mtego ndani ya mtego ndo hii🙌 Vipi kuhusu binti wa Bey?
Ukisikia mtego ndani ya mtego ndo hii🙌 Vipi kuhusu binti wa Bey?
Yanga yaichapa TRA, yaifuata Singida BS nusu fainali Mapinduzi
YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mechi ya kuhitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026.
Jeshi la Benin lawaua ‘magaidi’ 45 kaskazini mwa nchi
Siku ya Jumanne jeshi la Benin limesema limewaua "magaidi" 45 katika kipindi cha miezi mitatu ya operesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa Benin.
Umewahi kukutana na athari ya uhalifu wa mtandaoni?
Umewahi kukutana na athari ya uhalifu wa mtandaoni? Taarifa zinadai kuwa utapeli huo umeendelea kuwa tishio kwa wengi na athari zake zikisambaa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo biashara za mitandaoni. Jarida…
Wakazi wa kijiji cha Mpete na maeneo jirani ya kijiji hicho kilichopo wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametakiwa kuhama kwenye …
Wakazi wa kijiji cha Mpete na maeneo jirani ya kijiji hicho kilichopo wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametakiwa kuhama kwenye kambi za wavuvi zilizopo kwenye mwambao wa Ziwa Rukwa kupisha mvua…
Baadhi ya viwanda vya samaki mkoani Mwanza vipo hatarini kufungwa na vingine kupunguza wafanyakazi kufuatia kupungua samaki kati…
Baadhi ya viwanda vya samaki mkoani Mwanza vipo hatarini kufungwa na vingine kupunguza wafanyakazi kufuatia kupungua samaki katika ziwa Victoria. Mhariri @moseskwindi
Utekelezaji wa mpango wa “Jamii Namba” umekaribia ‘kuiva’ baada ya mswada wa mabadiliko ya sheria kuwasilishwa kwa Mwanasheria M…
Utekelezaji wa mpango wa "Jamii Namba" umekaribia 'kuiva' baada ya mswada wa mabadiliko ya sheria kuwasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupelekwa Bungeni kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa…
Ni tabia gani umechagua kuiacha mwaka huu 2026?
Ni tabia gani umechagua kuiacha mwaka huu 2026? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow…
Emiliana Faustine akielezea kilimo cha zao la Parachichi kinavyoinua uchumi wa vijana mkoani Njombe
Emiliana Faustine akielezea kilimo cha zao la Parachichi kinavyoinua uchumi wa vijana mkoani Njombe. #SentroYaCloudstv
@abelmponelatz akizungumza na Steven Mlimbila maarufu Nemes Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini m…
@abelmponelatz akizungumza na Steven Mlimbila maarufu Nemes Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, mkoani Njombe ambaye amechangamkia fursa ya zao hilo. #SentroYaCloudstv
Steven Mlimbila maarufu Nemes Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, akielezea ongezek…
Steven Mlimbila maarufu Nemes Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, akielezea ongezeko la wanununuzi wa zao hilo. #sentrocloudstv
“Watu wa kwanza kuchangamkia fursa hii walikuwa ni wenye umri mkubwa”-Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za ku…
"Watu wa kwanza kuchangamkia fursa hii walikuwa ni wenye umri mkubwa"-Mkulima wa zao la Parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, Steven Mlimbila maarufu Nemes. #SentroYaCloudstv
Nchi za Afrika zaunga mkono Venezuela baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyomlenga Maduro
Mataifa ya Afrika yametoa wito wa kuheshimiwa kwa sheria ya kimataifa kufuatia kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro, Cilia Flores na Marekani
#HABARI: Familia zilizoathirika na mafuriko yaliyosababisha zaidi ya Kaya 400 kukosa makazi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, z…
#HABARI: Familia zilizoathirika na mafuriko yaliyosababisha zaidi ya Kaya 400 kukosa makazi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, zimekabidhiwa msaada wa tani tano za sukari ya Bwana Sukari na Kampuni ya Kilombero…
🔴MCHEZO SUPA:UTAMU WA NGUVU YA BUKU UKO HAPA
🔴MCHEZO SUPA:UTAMU WA NGUVU YA BUKU UKO HAPA.. JANUARI 06, 2026
UDOM yazindua mradi wa TevuAfya kuimarisha afya ya akili kwa vijana
Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya...
Pale ambapo @moseskwindi alipogeuka kuwa muimbaji wa Wenge Musica BCBG katikati ya Alasiri Lounge kuelekea mchezo wa AFCON kati …
Pale ambapo @moseskwindi alipogeuka kuwa muimbaji wa Wenge Musica BCBG katikati ya Alasiri Lounge kuelekea mchezo wa AFCON kati ya DCR na Algeria. Huyu jamaa ana vibweka sana ujue....mtazame kwanza…
Shahidi aeleza mashine zilivyokutwa yadi kesi ya mafuta TPA
Ameeleza kuwa dereva alikimbia baada ya kuegesha gari hilo ndani ya yadi isiyo na mtu.