#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 16/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 16/12/2025
IRC: Sudan bado yaongoza mataifa yenye mizozo duniani
Faharasa ya Shirika la kimataifa la uokoaji - International Rescue Committee (IRC), kwa mara nyingine limeitaja Sudan kuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa yaliyo na mizozo mibaya zaidi ya kibinadamu…
Mageuzi ya bandari yaimarisha biashara za kikanda
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema mafanikio yanayoendelea kushuhudiwa katika...
Aladdin , Hatun mapenzi ya kwenye video yalivyoibua hisia za kweli
Katika tamthilia za kihistoria za Kituruki, The Ottoman ama kwa lugha ya kituruki 'Kurulus...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DESEMBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 16, 2025
Marekani yaihakikishia Ukraine usalama ikiachana na Nato
Marekani imetangaza kuwa ipo tayari kutoa dhamana za usalama thabiti kwa Ukraine...
Rais Samia: Tusikubali jeshi kuchafuliwa
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania...
#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo Kiji…
#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo Kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la…
Waziri Mkuu wa Australia amuita Muislamu aliyemnyang’anya silaha mshambuliaji “shujaa wa Australia”
Waziri Mkuu wa Australia, Anthony Albanese, amesema taifa hilo halitagawanywa na vitendo vya kigaidi, huku maelezo zaidi yakijitokeza kuhusu moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika historia ya hivi karibuni ya…
Mastaa hawa kuinogesha AFCON 2025 Morocco
Mashindano ya 35 ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yataanza Morocco, Jumamosi hii huku fainali...
#PichaYangSeries Huyu hapa Mzee Maega
#PichaYangSeries Huyu hapa Mzee Maega Kisa chake kinaanza na maisha yake upande wa Afrika Kusini ambako yeye aliibiwa hazina na mdogo wake Mzee Maige (kwa sasa amefungwa jela). Alitekwa na…
Mashabiki waiponza Black Sailors, yapigwa faini Sh1 milioni
BODI ya Ligi Zanzibar, imeitoza faini ya Sh1 milioni Black Sailors inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Zanzibar kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu baada ya kumalizika kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….DESEMBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 16, 2025
Mvua kali zasababisha mafuriko Gaza, na kuharibu maelfu ya mahema ya wakimbizi
Takriban watu 14 wamefariki dunia kutokana na dhoruba kali ya upepo na baridi Gaza.
#HABARI: Sanamu maarufu ya uhuru nchini Brazil ‘Statue of Liberty’, imeangushwa na upepo mkali, ripoti zinasema upepo huo ulifik…
#HABARI: Sanamu maarufu ya uhuru nchini Brazil ‘Statue of Liberty’, imeangushwa na upepo mkali, ripoti zinasema upepo huo ulifikia kasi ya kilomita 90 kwa saa. Meya wa Guaíba Marcelo Maranata…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, ameonya juu ya hatari ya mashambulizi ya kihalifu ya mtandaoni kwenye mifumo ya kifedha, akiu…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, ameonya juu ya hatari ya mashambulizi ya kihalifu ya mtandaoni kwenye mifumo ya kifedha, akiuagiza uongozi wa Benki ya Ushirika nchini (COOP Bank) kuimarisha ulinzi…
Man United yajipanga kumnasa kiungo wa Bournemouth
Manchester United imeanza kumuangalia kiungo wa kati wa Bournemouth, Tyler Adams, katika...
Msikilize Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo, Umary Ayoub akieleza namna mafindofindo yaliyopo ndani ya kinywa chako yanavyos…
Msikilize Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo, Umary Ayoub akieleza namna mafindofindo yaliyopo ndani ya kinywa chako yanavyosaidia kulinda afya ya koo dhidi ya vimelea mbalimbali vya magonjwa. #AzamTVUpdates…
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ru…
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma imemtembelea mjasiriamali Idrisa Chisigwa wa Wilaya ya Bahi kwa lengo la kusikil…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma imemtembelea mjasiriamali Idrisa Chisigwa wa Wilaya ya Bahi kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto zake za kikodi, kufuatia malalamiko aliyoyawasilisha mbele…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….DESEMBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 16, 2025
Waziri Pembe aridhishwa na ujenzi wa viwanja vya michezo Pemba
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya michezo unaoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Malale aibukia KVZ, aanza na Mlandege
KLABU ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Soka Zanzibar, imemtambulisha Malale Hamsini kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, huku ikielezwa anakwenda kuongeza nguvu kwa kushirikiana na Ali Khalid Omar.
#MEZAHURU: Kipi kinachangia kwa Sisi watanzania kutokuwa na uelewa juu ya elimu ya AKIBA NA MATUMIZI kwenye fedha..?
#MEZAHURU: Kipi kinachangia kwa Sisi watanzania kutokuwa na uelewa juu ya elimu ya AKIBA NA MATUMIZI kwenye fedha..?
#HABARI: Raia zaidi ya elfu moja kutoka Burundi waliokwama katika Mji wa Uvira, kutokana na mapigano kati ya Serikali ya Congo n…
#HABARI: Raia zaidi ya elfu moja kutoka Burundi waliokwama katika Mji wa Uvira, kutokana na mapigano kati ya Serikali ya Congo na M23, wamerudi nyumbani kwao na kupokelewa na vyombo…
Usikose Mines of Passion leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Usikose Mines of Passion leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Amorim: Tumesikitishwa lakini bado tuna kazi ya kufanya
Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim, amekiri wachezaji wake waliondoka uwanjani wakiwa na...
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 17, 2025
Iran yaitaka dunia izuie kuendelea mauaji ya Wapalestina Gaza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amelaani vikali kuendelea kwa mauaji ya halaiki ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akiashiria mashambulizi ya mabomu yanayoendelea kufanywa…
Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%
Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda…
Hungary: Mpango wa EU wa kuiba mali za Russia ni ‘tangazo la vita’
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban ametahadharisha kuwa, hatua yoyote ya Umoja wa Ulaya ya kutwaa milki na fedha za Russia zilizozuiliwa bila idhini ya Budapest ni kukiuka sheria za…
Lydia ‘alivyotoboa’ shule ya kata hadi utetezi elimu kwa wasichana
Anasimulia kuwa wakati huo walimu walikuwa wachache, baadhi ya madarasa hayakuwa yamekamilika,...
150 zachuana kutafuta kina Novatus wengine
JIJI la Arusha limeendelea kung’ara kwenye ramani ya soka la vijana barani Afrika baada ya jumla ya timu 150 kushiriki mashindano ya African Chipkizi Cup 2025 yanayofanyika kwa msimu wa…
ISIL yatangaza kuhusika na shambulio baya nchini Syria
Kundi la kigaidi la ISIL (Daesh) limedai kuhusika na shambulio baya lililolenga vikosi vitiifu kwa Abu Mohammad al-Jolani nje kidogo ya Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
Jifunze mambo haya ukiwa bado shule au chuoni
Wahenga walisema kidole kimoja hakivunji chawa. Bila kushirikiana na wenzako kazini au katika...
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 16, 2025
Trump aishtaki BBC kuhusu uhariri wa hotuba ya Januari 6
Rais wa Marekani Donald Trump awasilisha kesi ya kukashifu akiishutumu BBC kwa kuhariri kimakosa hotuba ya 2021 kuhusu shambulio la bunge.
Donald Trump aishtaki BBC kwa kuhariri kwa njia ya kupotosha na kuomba fidia ya dola bilioni 10
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye anaishutumu BBC kwa kuunda video inayopotosha na kuharibu sifa yake , aliwasilisha kesi dhidi ya shirika hilo la utangazaji la Uingereza Jumatatu, Desemba 15,…
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa amemuomba kiongozi wa China, Xi Jinping, “kuzingatia” kumwachia Jimmy Lai,…
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa amemuomba kiongozi wa China, Xi Jinping, “kuzingatia” kumwachia Jimmy Lai, mfanyabiashara tajiri wa Hong Kong anayepigania demokrasia, ambaye mapema wiki hii alipatikana…
“Nazungumza na Mameneja kila mara, kuhakikisha kwamba tusimamie mgao kwa haki, tupeleke maeneo yote…mwananchi anachotaka ni ma…
"Nazungumza na Mameneja kila mara, kuhakikisha kwamba tusimamie mgao kwa haki, tupeleke maeneo yote...mwananchi anachotaka ni maji hataki siasa, hataki hadithi hataki kuniona mimi nimepiga picha niko pembeni ya bomba,…
Maofisa Uhamiaji watatu kunyongwa kwa mauaji
Yametimia! Ni maneno unayoweza kuyatumia kuelezea hukumu ya Mahakama Kuu kwa waliokuwa maofisa...
Tumaini elimu ya ufundi stadi kuunganishwa na miradi ya kimkakati
Uamuzi huu unatajwa na wadau kama mwanzo wa mapinduzi katika mfumo wa utoaji elimu ya ufundi...
DRC: Vurugu dhidi ya raia zaongezeka baada ya AFC/M23 kuteka Uvira
Tangu shambulio dhidi ya mji wa Uvira lililofanywa na waasi wa AFC/M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, vyanzo kadhaa vya Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali vinaripoti kuongezeka kwa…
Gaby amvulia uvivu Camila na amwambia ukweli kuhusu Juana kuwa na ujauzito wake
Gaby amvulia uvivu Camila na amwambia ukweli kuhusu Juana kuwa na ujauzito wake. Bibi yake Juana amuwakia Gaby kuhusu mweleko wa mjukuu wake ambaye kwa sasa ana mapenzi mazito na…
Chaichaka awafanyia makusudi au?
Chaichaka awafanyia makusudi au? Kala kitu kinachomletea madhara. Maige amtuma Duso ahakikishe anatoka jela. Bisura anataja neno hazina, linaibua maswali kwa mabinti zake. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku…
Ethiopia: Waziri Mkuu wa India Narendra Modi aanza ziara ya Kiserikali Addis Ababa
Wakati India ikijitahidi kuongeza ushawishi wake katika bara la Afrika, New Delhi inabaini kwamba Ethiopia inatoa faida kadhaa ambazo zinaweza kutumika kama msingi katika mkakati wake wa kuashiria nguvu barani…
Idadi ya vifo vya mafuriko nchini Morocco imeongezeka hadi 37
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliyokumba mji wa Safi ulioko pwani ya Morocco mwishoni mwa juma iliongezeka hadi 37, mamlaka za eneo zilisema Jumatatu.