Experts recommend techdriven solutions for HWC
ARUSHA: CONSERVATION and tourism researchers have agreed on ten key action points, including designing and deploying modern technology to address challenges affecting both wildlife and human communities. The commitments were…
Construction boom pushes cement output to record levels
DAR ES SALAAM: CEMENT production has increased nearly fivefold over the past 17 years, rising from 1.63 million tonnes in 2007 to 7.70 million tonnes in 2024, according to government…
Tanzania promotes exercise for better health, fight against NCDs
DAR ES SALAAM: ENGAGING in regular physical activity is increasingly being recognised as a key strategy in Tanzania’s fight against non-communicable diseases (NCDs), such as diabetes, heart disease and obesity.…
Stakeholders must step up for sport
DAR ES SALAAM: THE future of Tanzanian sport lies in our collective hands. Let us embrace it fully. Sport is not just about entertainment, it is a vehicle for social…
Make full use of mobile service camps, ZRA tells public
ZANZIBAR: ZANZIBAR Revenue Authority (ZRA) has urged members of the public to take full advantage of its mobile service camps, which have been set up in various locations to ensure…
Serikali ya Awamu ya Sita, inaendelea kuweka kipaumbele katika ajenda ya ustawi na mifumo ya ulinzi wa mtoto, kuendeleza huduma …
Serikali ya Awamu ya Sita, inaendelea kuweka kipaumbele katika ajenda ya ustawi na mifumo ya ulinzi wa mtoto, kuendeleza huduma za malezi mbadala, usimamizi wa Makao ya Watoto nchini ili…
“Kingine ambacho ningependa Serikali ifanye ni kuwekeza Kimataifa kwenye Media za kwao ambazo wanazimiliki
"Kingine ambacho ningependa Serikali ifanye ni kuwekeza Kimataifa kwenye Media za kwao ambazo wanazimiliki. Mfano leo hii watu wanazungumzia TBC wana TBC Sports. "Na TBC ni Shirika la Utangazaji la…
Mambo ni mvurugano leo
Mambo ni mvurugano leo. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
“Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania
"Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Hakuna sehemu nyingine ambayo tutasema tumezaliwa au kujivunia napo zaidi ya Tanzania. "Ukipata nafasi ya kuwa kwenye platform yoyote usiwaze kwamba unafaidika na kitu…
UN yasema Marekani inapaswa kuondoa vikwazo dhidi ya wanadiplomasia wa Iran
Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa Marekani inalazimika kuwawezesha wanadiplomasia wa Iran walioidhinishwa kutekeleza majukumu yao bila vizuizi, ukikumbusha msimamo wa taasisi hiyo kwamba Washington, kama nchi mwenyeji, ina wajibu wa…
Rais Samia apokea hati za utambulisho za balozi wa Iran nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana alipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa mabalozi wapya watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao, katika hafla iliyofanyika Ikulu…
UN: Mapigano yanashadidi mashariki mwa DRC
Mapigano yanayoendelea kukithiri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yamesababisha vifo vya zaidi ya raia 70, kuwafurusha makwao zaidi ya watu 200,000 na kuwakosesha maelfu ya watu msaada…
Guterres atoa wito kwa Eritrea na Ethiopia kuheshimu makubaliano ya mpaka
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ijumaa, amezitaka Eritrea na Ethiopia kurejea kwenye dhamira ya makubaliano yaliyomaliza rasmi uhasama kati ya mataifa hayo mawili ya Pembe ya Afrika miaka 25…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….12 DESEMBA 20252025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025
Khan: Uingereza ilitishia kukata ufadhili wa ICC kutokana na waranti wa kukamatwa Netanyahu
Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, amesema serikali ya Uingereza ilitishia kuikatia mahakama hiyo ufadhili na kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma uliounda taasisi hiyo, endapo…
Washington yaichuklia vikwazo Venezuela, Putin atangaza kumuunga mkono Maduro
Serikali ya Marekani imeweka vikwazo vipya vinavyowalenga washirika wa rais wa Venezuela, pamoja na meli kadhaa zinazosafirisha mafuta yanayozalishwa nchini humo, Wizara ya Fedha imetangaza katika taarifa siku ya Alhamisi,…
TCB boosts coffee farming through irrigation
KILIMANJARO: THE Tanzania Coffee Board (TCB) is intensifying efforts to make coffee farming sustainable through the introduction of irrigation systems. This was said by TCB Public Relations Officer, Mikidadi Evod,…
Usikose kutazama JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, Gaby anakutana na vizuizi vingi kadri siku zinavyokwenda
Usikose kutazama JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, Gaby anakutana na vizuizi vingi kadri siku zinavyokwenda. Rogeiro ni shida huyu mtu.
Mashavu anauliza maswali muhimu…Aziza aangua kilio baada ya kuambiwa Awadh ameoa mke wa pili
Mashavu anauliza maswali muhimu...Aziza aangua kilio baada ya kuambiwa Awadh ameoa mke wa pili. Binti Msumi anampa mzigo Mwamini wa kwenda kumpigisha shoti Chiku. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku…
Historic shift in education sector
DAR ES SALAAM: MINISTER for Education, Science and Technology, Prof Adolf Mkenda has expressed optimism that major reforms underway in the education sector will help students meet the demands of…
Tujitokeze kuipa taarifa Tume ya vurugu Oktoba 29, tulisaidie taifa
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani uliotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeanza rasmi kazi zake. Tume hiyo chini ya uenyekiti wa…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamekosoa vikali jinsi Serikali inavyoshughulikia mali ya taifa, michakato ya uchagu…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamekosoa vikali jinsi Serikali inavyoshughulikia mali ya taifa, michakato ya uchaguzi na ustawi wa umma wakiitisha uwajibikaji na hatua zichukuliwe haraka. Kwa hisani ya;…
Samia picks new PSSSF boss, Tanesco’s Board chair
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday appointed the new Director General of the Public Service Social Security Fund (PSSSF) and Chairperson of the Board of Directors of the Tanzania Electric…
Safari ya mwisho ya Jenista itakavyokuwa, kuzikwa Desemba 16
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya...
Deputy Minister warns against sycophancy
DAR ES SALAAM: DEPUTY Minister of State in the President’s Office (Public Service Management and Good Governance) Regina Qwaray has appealed to leaders to stop entertaining bootlickers and sycophants in…
Bajeti ya elimu juu 40% miaka mitano
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameeleza mafanikio ya sekta ya elimu, ikiwemo ongezeko la bajeti ya wizara hiyo kwa asilimia 40 kutoka mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026.…
Samia grieves Mhagama’s passing
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday led the nation in mourning the passing of Peramiho Member of Parliament, Jenista Mhagama, describing her as a dedicated public servant who…
Mauaji ya kimbari nchini Rwanda: Benki ya Ufaransa yakabiliwa na mashitaka
Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiishutumu kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi…
Ulega: Vijana lindeni amani
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa wito kwa vijana walinde amani ya Tanzania. Ulega alisema amani ni nguzo ya maendeleo ya taifa na ustawi wa wananchi. The post Ulega: Vijana…
Kibukolo na dada zake…Kumbe Mashavu kaolewa mke wa pili; na mke mwenza naye alikuwepo..Kobisi amvaa Shida Masamba
Kibukolo na dada zake...Kumbe Mashavu kaolewa mke wa pili; na mke mwenza naye alikuwepo..Kobisi amvaa Shida Masamba. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Zelensky: Marekani inataka ‘eneo maalum la kiuchumi’ katika eneo la mpaka la Ukraine
Marekani imependekeza kwamba Ukraine ijiondoe kutoka eneo la Donetsk mashariki mwa nchi na kuunda “eneo maalum la kiuchumi” katika maeneo ambayo inayadhibiti kwa sasa, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema.…
KONA YA MSTAAFU: Ya kale kwa mstaafu hayapo, sasa yamekuwa mapya…
Wajukuu wa mstaafu wetu wa kima cha chini walinipitisha babu yao kwenye tanuru la moto, kwenye...
Dk Mwigulu: Sensa mali za watumishi wa umma inakuja
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa umma kujiandaa kwenye sensa ya kila mtu...
DRC: Zaidi ya mia nne wauawa katika mashambulizi ya M23
Zaidi ya raia 400 wameuawa tangu kundi lenye silaha la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lilipoongeza mashambulizi yake katika mkoa wa Kivu Kusini mashariki mwa Kongo, maafisa wa kikanda wamesema,…
Rais Mwinyi ataja vipaumbele 6 vya usimamizi
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja vipaumbele sita, vikiwa ni mwongozo wa utekelezaji na usimamizi wa majukumu kwa viongozi wakuu wa serikali katika taasisi wanazoziongoza. Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano…
Madhara ya kamari kidini na kidunia
Ingawa hupewa majina mazuri na yakuvutia, kama vile majina ya “zawadi”, “bahati nasibu”, au “...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 12,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 12,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Afrika Kusini: Chama cha kihistoria cha ANC chakiri matatizo ya Kifedha
Chama cha ANC, kilichoanzishwa na Nelson Mandela, nchini Afrika Kusini kimehitimishaMkutano wake Mkuu (Desemba 8-12) huko Johannesburg, mkutano wa kawaida unawwezesha chama hicho kutathmini hali yake. Zaidi ya kupungua kwa…
Serikali yaibana Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
SERIKALI imeiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma itimize wajibu wake ili kumaliza tuhuma dhidi ya viongozi wa serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa…
Tanzania: Watu 2,000 waliuawa katika vurugu za hivi karibuni, kulingana na upinzani
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimesema siku ya Alhamisi, Desemba 11, kwamba zaidi ya watu 2,000 waliuawa katika vurugu za mwishoni mwa mwezi Oktoba na mwanzoni mwa mwezi Novemba,…
Buriani Jenista Mhagama 1967 – 2025
MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge, Mussa Zungu, Jenista ambaye hadi kabla ya Uchaguzi…
Madhila anayopitia kijana mwenye jinsi tata
Alizaliwa akionekana msichana. Hati zake zote za utambulisho zikaandikwa majina ya kike na...
Tamko la mali na madeni linalojazwa na viongozi Je’ linasaidia kudhibiti viongozi wabadhirifu wa mali za Umma
Tamko la mali na madeni linalojazwa na viongozi Je' linasaidia kudhibiti viongozi wabadhirifu wa mali za Umma
Rais Pezeshkian:Iran na Kazakhstan ziimarishe uhusiano ili kukabiliana na Marekani
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa Iran na Kazakhstan zinapaswa kuimarisha uhusiano wa karibu ili kukabiliana na ubeberu Marekani.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 12, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 12, 2025