🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 11 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 11 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..11 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..11 DESEMBA 2025
Sehemu ambapo mzunguko wa fedha upo chini maana yake ni kwamba chachu ya maendeleo nayo inakuwa ipo chini
Sehemu ambapo mzunguko wa fedha upo chini maana yake ni kwamba chachu ya maendeleo nayo inakuwa ipo chini. "Ukichukua rasilimali tulizonazo ukiweka na mifumo ya malipo ambayo inasaidia mzunguko wa…
“Niwahakikishie Watanzania mifumo ya malipo ipo salama na fedha zao zipo salama”- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya M…
"Niwahakikishie Watanzania mifumo ya malipo ipo salama na fedha zao zipo salama"- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania (BoT) #SentroYaCloudstv
“Taasisi za fedha zote ambazo unaona zinafanya kazi nchini zinapewa leseni na Benki Kuu BOT”- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Ku…
"Taasisi za fedha zote ambazo unaona zinafanya kazi nchini zinapewa leseni na Benki Kuu BOT"- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania…
RC Pwani ataka weledi kwa watendaji
PWANI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema wakuu wa wilaya, wakurugenzi na watendaji mbalimbali wa serikali wanapaswa kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa kuzingatia kanuni na…
Ulipokuwa mdogo ndoto yako ulitaka kuwa nani?
Ulipokuwa mdogo ndoto yako ulitaka kuwa nani? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
“Tutoe elimu sana kuhusu tatizo la ulevi, lakini pia Serikali, ni jukumu lao pia, kwa sababu tabia za watoto ambao unawamiliki h…
"Tutoe elimu sana kuhusu tatizo la ulevi, lakini pia Serikali, ni jukumu lao pia, kwa sababu tabia za watoto ambao unawamiliki hawawezi wakafanana, jukumu la Serikali ni kufanya ukaguzi...na tuwapongeze…
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wakazi wa maeneo ya Gongo la Mboto, Mbagala na Kinyerezi – Dar es Salaam wameanz…
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wakazi wa maeneo ya Gongo la Mboto, Mbagala na Kinyerezi - Dar es Salaam wameanza kupata umeme wa uhakika baada ya kukamilika kwa…
Dk Nchimbi: Taifa limepata pengo kifo cha Mhagama
DODOMA; Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama ambaye alikuwa kiongozi aliyeheshimika na…
Rais Samia ateua Mwenyekiti Bodi Tanesco
DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Plasdus Mbossa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya…
“Uwepo wa hii mifumo na thamani ya fedha na hali ya uchumi kwa sababu tunasema ukuaji wa uchumi unategemea namna gani ule mzungu…
"Uwepo wa hii mifumo na thamani ya fedha na hali ya uchumi kwa sababu tunasema ukuaji wa uchumi unategemea namna gani ule mzunguko wa fedha unavyokuwepo. "Kwa sababu mzunguko wa…
#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Serikali ya Awamu ya Nne, Marehem…
#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Serikali ya Awamu ya Nne, Marehemu Bedectict Ole Nangoro, aliyefariki wiki hii unatarajiwa kuzikwa…
Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu PSSSF
DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi…
Licha ya elimu yake ya Shahada ya Uhandisi wa Kemikali na Uchakataji aliyoipata miaka 10 iliyopita kutoka Chuo Kikuu cha Dar es …
Licha ya elimu yake ya Shahada ya Uhandisi wa Kemikali na Uchakataji aliyoipata miaka 10 iliyopita kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Frednand Vyoisaka ameamua kujiunga na mafunzo ya…
“Uwepo wa hii mifumo unasaidia
"Uwepo wa hii mifumo unasaidia. Na huku kutunza takwimu na kuonekana kwa hizi fedha hakuanzii kwenye Taifa kunaanzia kwa mtu mwenyewe. Mtu yoyote ambaye anatumia mifumo ya malipo ana uhakika…
Utaratibu mpya wa kuwapata viongozi wa taasisi na mashirika ya umma, pamoja na wajumbe wa bodi za wakurugenzi kwa njia ya ushind…
Utaratibu mpya wa kuwapata viongozi wa taasisi na mashirika ya umma, pamoja na wajumbe wa bodi za wakurugenzi kwa njia ya ushindani, umeelezwa kuwa unaweza kuyakomboa mashirika hayo na kuongeza…
Kiungo achana mkataba Fountain Gate
KIUNGO mahiri wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana ameomba kuvunja mkataba aliosaliwa nao na klabu hiyo wa muda miezi sita ili aweze kwenda kujaribu changamoto nyingine nje ya timu hiyo, huku…
Duso amepanga kumtoa Maige jela…Kumbuka Maige ana ugomvi mkubwa na kaka yake, Maega ambaye kwa sasa anashikilia mali ambazo md…
Duso amepanga kumtoa Maige jela...Kumbuka Maige ana ugomvi mkubwa na kaka yake, Maega ambaye kwa sasa anashikilia mali ambazo mdogo wake anadai ni zake... Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries…
#MALUMBANOYAHOJA: MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA WANAOENDEKEZA ULEVI NA UZEMBE
#MALUMBANOYAHOJA: MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA WANAOENDEKEZA ULEVI NA UZEMBE. JE, ABIRIA WANAPEWA ELIMU ENDELEVU KUWATAMBUA NA KUWARIPOTI?
Wachongaji na wafanyabiashara wa vinyago katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara wameomba wadau mbalimbali kuwashika m…
Wachongaji na wafanyabiashara wa vinyago katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara wameomba wadau mbalimbali kuwashika mkono kwa kununua bidhaa zao ili kuenzi mila, desturi na tamaduni za Kitanzania.…
Akiwa na CV ya kuizunguka dunia hasa bara la Ulaya na kuipeperusha vizuri bendera ya 255 katika dunia ya Michezo !
Akiwa na CV ya kuizunguka dunia hasa bara la Ulaya na kuipeperusha vizuri bendera ya 255 katika dunia ya Michezo ! Kesho ndani ya Clouds360 @johnjackson_jj atakutana na timu ya…
Kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, Jenista Mhagama kimewagusa watu mbalimbali waliofanya naye kazi, baada ya ms…
Kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, Jenista Mhagama kimewagusa watu mbalimbali waliofanya naye kazi, baada ya msiba huo kutokea mapema leo jijini Dodoma. Marehemu Jenista Mhagama ambaye…
Ohoo mambo yanazidi kuwa magumu kwa Maryam…Uongo wake wenye faida utafika wapi?
Ohoo mambo yanazidi kuwa magumu kwa Maryam...Uongo wake wenye faida utafika wapi? 👀
Imekamilika kwa asilimia ngapi?
Imekamilika kwa asilimia ngapi? #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Mmmh ujio wa Bisura, umezua tukio nyumbani kwa Mzee Maega…Dereva wake azimishwa…Lakini hawajajulikana waliofanya hivyo…Je,…
Mmmh ujio wa Bisura, umezua tukio nyumbani kwa Mzee Maega...Dereva wake azimishwa...Lakini hawajajulikana waliofanya hivyo...Je, ni kundi la Maige? Hapana yuko jela...Au ni yeye mwenyewe Bisura na maadui zake? Tuendelee…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA PERAMIHO AFARIKI DUNIA
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA PERAMIHO AFARIKI DUNIA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 11/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 11/12/2025
#HABARI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
#HABARI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kufanya marekebisho ya sheria na kanuni ili…
Dk Nyansaho apata warithi PSSSF, Tanesco
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi...
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake.. . "Uhuru umerudi, Umeme umerudi bado maji tu. Uhuru bila kuoga na hili joto ni Utumwa" Nikki ameandika hayo kupitia kwenye mtandao wake…
Mhagama akumbukwa wa uchapakazi, viongozi wamlilia
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa muda mrefu, Jenista Mhagama, amefariki dunia akiacha historia...
Mahakama Kuu Iringa yafungua mlango haki kwa wote
IRINGA: Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) kimesema mageuzi yaliyofanywa na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa katika miaka 20 ya uwepo wake yameleta mabadiliko makubwa katika namna wananchi wanavyofikiwa na huduma…
Mkoa wa Lindi umetangaza mpango wa kuongeza wigo wa biashara ya kilimo kwa kujumuisha uzalishaji wa mazao ya chakula, mbogamboga…
Mkoa wa Lindi umetangaza mpango wa kuongeza wigo wa biashara ya kilimo kwa kujumuisha uzalishaji wa mazao ya chakula, mbogamboga na matunda ili kuwawezesha wa wananchi wa mkoa huo kuwa…
Sudan: ‘Waathiriwa wa unyanyasaji wa kijinsia ni miongoni mwa watu wanaopuuzwa zaidi duniani’
Katika ripoti yenye kichwa “zaidi ya hesabu – Ripoti kuhusu hali ya unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana nchini Sudan (2023-2025),” Mpango wa Kimkakati wa Wanawake katika Pembe ya Afrika…
#MICHEZO: @ahmedally_ meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba amezungumza na @hoseamchopa kuwa Simba inafanya haraka iwez…
#MICHEZO: @ahmedally_ meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba amezungumza na @hoseamchopa kuwa Simba inafanya haraka iwezekanavyo wakati wachezaji wanarudi kwenye timu Desemba 28, 2025 wapokelewe na Kocha Mkuu…
Mashariki mwa DRC: AFC/M23 yaimarisha uwepo wake Uvira, Kinshasa yapandwa na hasira
Katika mji wa Uvira, mkoani Kivu Kusini, hali imebadilika sana katika kipindi cha chini ya saa 24. Mji huu wa mashariki mwa DRC ulianguka chini ya udhibiti wa AFC/M23 mnamo…
Tunaendelea na sehemu ya pili ya THE PRICE leo kuanzai saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Tunaendelea na sehemu ya pili ya THE PRICE leo kuanzai saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO Sarah amepata kazi. Bosi wake ni pasua kichwa mambo bado hayajamnyookea.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameungana na viongozi wengine wa serikali kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama,…
Huu mwaka mchungu
Huu mwaka mchungu Maneno ya mwanasheria wa kimataifa "Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni iko sahihi katika kusema kwamba kwa bahati mbaya, uwekezaji wa Marekani nchini Tanzania hauwezekani tena…
Mamlaka nchini Australia zimeachia video inayoonesha tukio la mwana-parachuti alivyokwama kwenye bawa la ndege Septemba 20 mwaka…
Mamlaka nchini Australia zimeachia video inayoonesha tukio la mwana-parachuti alivyokwama kwenye bawa la ndege Septemba 20 mwaka huu … maelfu ya mita juu ya anga la Far North Queensland. Shujaa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA – DESEMBA 11, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA - DESEMBA 11, 2025 -