Araghchi: Wamarekani wataabani kuingia vitani kupigana kwa ajili ya “vita visivyo na mwisho” vya Israel
Waziri wa Mambo ya Nje ametoa mjibizo kwa kauli za hivi karibuni za Rais wa Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kwamba: Wamarekani wataabani kuingia…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 08, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 08, 2025
Kocha mpya Yanga aaga kwao
Hatimaye kocha anayatakiwa na Yanga Romuald Rakotondrabe amewaaga mabosi wake kwenye kikosi...
Zelensky: Urusi inatumia droni kuleta machafuko Ulaya
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameituhumu Urusi kwa kutaka kuleta machafuko barani Ulaya kwa kutumia droni kwa ajili ya hujuma na kuvuruga hali ya usalama.
Hamas: Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa lilikuwa jibu la kihistoria kwa njama za kufuta kadhia ya Palestina
Msemaji wa harakatin ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa haikuwa vita tu vya kuwashinda wavamizi, bali ni hatua ya mabadiliko ambayo ilifichua…
Mazungumzo ya waasi wa M23 na serikali ya Kinshasa katika hatihati
Wakati mapigano yakiripotiwa kuendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumeibuka swali iwapo awamu ya sita ya mazunguumzo kati ya kundi waasi AFC/M23 na serikali ya Kinshasa yatafanyia juma hili…
UNHCR: Marekani imekuwa ikifukuza wahamiaji kinyume cha sheria
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa limekosoa vikali sera za Marekani kuhusiana na wahamiaji na kueleza kwamba, imekuwa ikifukuza wahamiaji kinyume cha sheria.
Mapitio ya jinai za Magharibi na Marekani katika kipindi cha miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan
Moja ya jinai muhimu zaidi zilizofanywa na Marekani katika karne ya 21 ni kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa miaka 20 na uhalifu wake nchini humo.
Jumatano, 08 Oktoba 2025
Leo ni Jumatano 15 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria sawa na 8 Oktoba 2025 Miladia.
08.10.2025 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen, ameituhumu Urusi kwa kutumia mbinu tofauti za vita vya kimkakati dhidi ya Umoja…
08.10.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeitaka Serikali ya Tanzania kutoa maelezo ya haraka kuhusu alipo na hali ya kiafya ya…
08.10.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Qatar na wajumbe kutoka Uturuki wataungana na wajumbe wa Hamas na Israel nchini Misri (08.10.2025) katika siku ya tatu ya mazungumzo ya…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 8, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
FIFA yawapa ulaji Karia, Hersi
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limewapa nafasi mpya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Klabu ya Yanga, injinia Hersi…
Rais Rajoelina aandaa mazungumzo ya kitaifa leo hii
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amesema anapanga kufanya "mazungumzo ya kitaifa" na makundi mbalimbali leo hii, baada ya waandamanaji vijana kumpa saa 48 akubali madai yao au wakaitisha maandamano ya…
Macron ashinikizwa kujiuzulu kufuatia mgogoro wa kisiasa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakabiliwa na shinikizo kubwa, hata kutoka kwa washirika wake wa karibu, kutafuta suluhisho la haraka kwa mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake.
Burkina Faso yawatia mbaroni watu 8 wakiwemo 3 wa Ulaya
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imetangaza kuwakamata watu wanane wa shirika la misaada ya kibinadamu, wakiwemo raia watatu wa Ulaya, kwa tuhuma za ujasusi na uhaini.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 07, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 07, OKTOBA 2025
Hamas inataka dhamana kutoka kwa Trump na mataifa fadhili
Mjumbe mkuu wa Hamas, Khalil El-Hayya, amesema kundi hilo linataka dhamana kutoka kwa Rais wa Marekani Trump na nchi zinazodhamini kuwa vita vitamalizika kabisa.
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bw
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bw. Nickson Simon, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Pwani, kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutumia majiko ya kisasa yanayotumia…
#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg
#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majaliwa Kyara, ameahidi kuboresha Miundombinu ya masoko ili wananchi waweze kufanya kazi nyakati zote wakati wa mvua na jua.…
#HABARI: Wagonjwa mkoani Singida waliokuwa wakishindwa kufika katika Hospitali za Taifa, kupata huduma za kibingwa na bobezi za …
#HABARI: Wagonjwa mkoani Singida waliokuwa wakishindwa kufika katika Hospitali za Taifa, kupata huduma za kibingwa na bobezi za magonjwa mbalimbali, shida hiyo imeisha kufuatia timu ya madaktari bingwa maarufu wa…
#HABARI: Katika jitihada za kukuza Sekta ya Madini na kuongeza mchango wake katika pato la Taifa, wachimbaji na wachenjuaji wado…
#HABARI: Katika jitihada za kukuza Sekta ya Madini na kuongeza mchango wake katika pato la Taifa, wachimbaji na wachenjuaji wadogo wa dhahabu wilayani Songwe, wamezindua mitambo ya kisasa ya kuchenjulia…
#HABARI: Katika wiki ya huduma kwa wateja TANESCO, mkoani Singida, wameunga mkono juhudi za serikali za utunzaji wa mazingira, k…
#HABARI: Katika wiki ya huduma kwa wateja TANESCO, mkoani Singida, wameunga mkono juhudi za serikali za utunzaji wa mazingira, kwa kutoa vizolea taka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Misuna mkoni…
#HABARI: Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Mhe
#HABARI: Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Mhe. Jumaa Aweso, amemtaja Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM…
Mchuano wa maswali Lissu, shahidi wa Jamhuri
Tundu Lissu, mshtakiwa katika kesi ya uhaini amechuana kwa maswali na shahidi wa kwanza wa...
Aisha auawa akiingilia kati ugomvi wa mumewe
Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Aisha Masibu mkazi wa Nabuyonga nchini Uganda ameuawa...
Serikali yatoa Sh5 bilioni kuwalipa fidia wananchi Bunda, Ukerekwe
Serikali imetoa zaidi ya Sh5 bilioni kuwalipa fidia wakazi 1,298 wa vijiji 29 kutoka wilaya za...
Eala yaridhia huduma bima ya afya kwa wote
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala) limeridhia azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri na...
Hiki ndicho itakachoenda kukisimamia Tanzania COP30 Brazil
Kusimamia kikamilifu ajenda ya nishati safi ya kupikia ya Watanzania wanne kati ya watano...
#HABARI: Serikali ya Burundi imeahidi kutoa Ardhi na msamaha wa riba ya mkopo kwa wawekezaji ambao wana nia ya kuwekeza katika S…
#HABARI: Serikali ya Burundi imeahidi kutoa Ardhi na msamaha wa riba ya mkopo kwa wawekezaji ambao wana nia ya kuwekeza katika Sekta ya Kilimo na Ufugaji nchini humo. JINSI YA…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema Rais Dkt
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendeleza misingi ya amani, umoja na haki huku akiongoza nchi…
Hamis Abdallah, mkazi wa Babati amehukumiwa kifungo cha miaka sita na faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumkata masikio…
Hamis Abdallah, mkazi wa Babati amehukumiwa kifungo cha miaka sita na faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumkata masikio yote mawili, kumchanja kifuani na kumbamiza kichwa ukutani mtoto…
#HABAI: Makada wa Chama cha Mapinduzi waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema…
#HABAI: Makada wa Chama cha Mapinduzi waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza, wameonyesha kuridhishwa na utendaji kazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan,…
Mgombea urais wa UPDP, Twalib Kadege amendelea na kampeni zake licha ya mvua, akiwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba…
Mgombea urais wa UPDP, Twalib Kadege amendelea na kampeni zake licha ya mvua, akiwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 ili kutumia haki yao ya kimsingi ya kikatiba. #AzamTVUpdates Mhariri…
Unaijua historia ya kijiji cha Puma kilichopo mkoani Singida
Unaijua historia ya kijiji cha Puma kilichopo mkoani Singida Wasikilize wenyeji wa Puma wakisimulia historia na mazuri yanayopatikana kijijini hapo. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Sera za wagombea ni turufu kuu ya kushawishi wapigakura katika siku 20 za mwisho za kampeni
Sera za wagombea ni turufu kuu ya kushawishi wapigakura katika siku 20 za mwisho za kampeni. Hata hivyo, Mgombea Urais wa NLD, Doyo Hassan Doyo, amesitisha kampeni zake kutokana na…
Mgombea uraisi kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaahidi wananchi wa Kigamboni kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, vivuko n…
Mgombea uraisi kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaahidi wananchi wa Kigamboni kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, vivuko na daraja la Kigamboni vitagharamiwa na serikali na wananchi wataruhusiwa kuvuka bure,…
Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kulinda na kuheshimisha jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani na nje ya nchi endapo…
Mgombe wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesisitiza kuwa atahakikisha mgao wa fedha za Za…
Mgombe wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesisitiza kuwa atahakikisha mgao wa fedha za Zanzibar zinazotokana na muungano unasimamiwa vyema endapo atachaguliwa. Othman ameyasema…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi nchini (TISEZA), Gilead Teri amesema zaidi ya shilingi …
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi nchini (TISEZA), Gilead Teri amesema zaidi ya shilingi trilioni sita zimepatikana kati ya mwezi Julai hadi Septemba mwaka huu…
#HABARI: Chama cha Orange (ODM) kwa mara nyingine kimekanusha uvumi kuhusu hali ya afya ya kiongozi wa chama hicho, Raila Oding…
#HABARI: Chama cha Orange (ODM) kwa mara nyingine kimekanusha uvumi kuhusu hali ya afya ya kiongozi wa chama hicho, Raila Odinga, ambaye hajaonekana kwenye hadhara kwa zaidi ya majuma mawili…
Taifa Stars, Zambia mechi ya heshima
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Jumatano inahitimisha safari ya kutafuta nafasi ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 kwa kucheza na Zambia kwenye Uwanja wa New…
Halmashauri Mbarali yatenga Sh900 milioni ununuzi mtambo kukarabati barabara
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imetenga zaidi ya Sh 900 milioni kwa ajili...
FIFA yairuhusu Fountain Gate kusajili nje ya dirisha la usajili
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeridhia klabu ya Fountain Gate kufanya usajili nje ya dirisha la usajili
Rais Mwinyi ataja kinachoshusha uzalishaji wa karafuu Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema Serikali imebaini kupungua kwa uzalishaji wa zao...
Dk Mwinyi aahidi ajira zaidi kwa vijana, wanawake
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, ameahidi kuwa...
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Ephraim Mafuru amekabidhi tuzo ya shukurani kwa Bi. Khadija Zimbwe muandaaji wa vipindi vya mapishi Capital Television na ITV kwa kutoa…
#HABAI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABAI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema heshima ya nchi inajengwa kupitia amani, utiifu wa sheria na…