Serikali kuleta sheria tiba ya kurejesha ujana
Serikali imesema iko mbioni kukamilisha utengenezaji wa sheria ya upandikizaji viungo...
Mtoto wa miaka 11 alivyomuua mwenzake kulipiza kisasi
Ni matukio nadra kutokea katika jamii lakini ndivyo ilivyotokea, mtoto Renick Mligo (11)...
Watetezi wa haki wataka Polepole arejeshwe akiwa hai
Watetezi wa haki za binadamu wamezitaka mamlaka za nchini Tanzania kuhakikisha kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole anapatikana haraka tena akiwa hai huku sakata la kutekwa ama kupotea kwake likichukua sura mpya.
#HABARI: Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia, Nolasco Mlay pamoja na Wataalam kutoka Wizara ya Nishati wameanza ziara ya kikaz…
#HABARI: Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia, Nolasco Mlay pamoja na Wataalam kutoka Wizara ya Nishati wameanza ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa lengo la kukagua utekelezaji wa agizo la…
Upendo na uaminifu wako ndiyo msingi wa mafanikio yetu
Upendo na uaminifu wako ndiyo msingi wa mafanikio yetu... na kwa moyo wa dhati tunakushukuru kwa kuendelea kutuamini #AzamTV kama mshirika wako wa burudani nyumbani. Ahadi yetu kwako ni kuendelea…
INEC yatoa taarifa mpya idadi ya wapigakura na vituo vya uchaguzi
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa taarifa ya mabadiliko ya idadi ya wapigakura...
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imekamilisha ziara ya kukagua maandalizi ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Afisi…
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imekamilisha ziara ya kukagua maandalizi ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Afisi za Uchaguzi za wilaya saba za Unguja. Akizungumza mara baada…
Kuondolewa kwa Wamasai Tanzania ni maendeleo au dhulma
Licha ya zuio la mahakama, serikali ya Tanzania ilibomoa nyumba na kuwafurusha kwa nguvu maelfu ya familia za Wamasai karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Watu hao…
Mwalimu awaahidi wananchi Kigamboni kutumia kivuko bure
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi...
Qatar yaihimiza Israel kusitisha mapigano ukanda wa Gaza
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Qatar amesema kwamba Israel ilipaswa kuwa imesitisha operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, kulingana na mpango wa amani uliopendekezwa na…
Wanachama wa IRGC Iran wauawa katika shambulio la bomu
Wanachama wawili wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC), akiwemo kiongozi wa kidini, wameuawa kufuatia shambulio la bomu.
Polisi Tanzania wachunguza taarifa za kutekwa kwa Polepole
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema linafanya uchunguzi kufuatia taarifa kwamba aliyewahi kuwa balozi na ambaye sasa ni mkosoaji wa serikali, Humphrey Polepole, ametekwa.
UN yaeleza wasiwasi kuhusu machafuko Kaskazini mwa Msumbiji
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi kuhusu idadi kubwa ya raia wanaokimbia machafuko yanayoendelea kaskazini mwa Msumbiji, ambapo wengi wao wamefikia hatua ya kukata tamaa.
Kanisa Katoliki duniani lalaani mauaji katika ukanda wa Gaza
Mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Pietro Parolin amelaani "mauaji yanayoendelea" katika ukanda wa Gaza - hii ikiwa moja ya shutuma kali zaidi kutoka Vatican dhidi ya Israel katika vita…
Imeelezwa kuwa shughuli za kibinadamu zinazofanyika ndani na kandokando ya Hifadhi ya Ziwa Victoria zimeanza kuathiri kwa kiwang…
Imeelezwa kuwa shughuli za kibinadamu zinazofanyika ndani na kandokando ya Hifadhi ya Ziwa Victoria zimeanza kuathiri kwa kiwango kikubwa ustawi wa samaki na mazingira yao ya kuzaliana. Akizungumza na waandishi…
OMO: Tunawagusa Wazanzibari, ndio maana wanatufuatilia
Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman...
Mpango wa Trump umekubalika ila bado mgumu kuutekeleza
Qatar imesema pande zote husika zinazojihusisha na juhudi za kusitisha vita Gaza zimeukubali mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani, lakini imetahadharisha kuna baadhi ya changamoto ambazo hazijatatuliwa.
Lembeli, Mongela wanavyomkumbuka Jane Goodall
Mwanasayansi maarufu duniani katika tafiti za tabia za wanyama, Jane Goodall (91), aliyefariki...
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amekutana na wataalam kutoka Tume ya Taifa ya Mipango wakiong…
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amekutana na wataalam kutoka Tume ya Taifa ya Mipango wakiongozwa na Naibu Katibu Mtendaji – Menejimenti ya Utendaji na Tathmini, Dkt.…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Maswa Mashariki kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Abel Mpina amezindua rasmi kampeni zake jimboni humo…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Maswa Mashariki kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Abel Mpina amezindua rasmi kampeni zake jimboni humo huku akiahidi ajira, barabara, maji safi na huduma bora za afya.…
Katika kuelekea mwisho mwa muhula wa masomo kwa mwaka 2025, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala iko kwenye hatua za mwisho za kukam…
Katika kuelekea mwisho mwa muhula wa masomo kwa mwaka 2025, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi watakaodahiliwa…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kutaka maelezo ya m…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kutaka maelezo ya maandishi ya shahidi wa Jamhuri Kamishna Msaidizi wa Polisi…
Mke wa Rais wa Uturuki aadhimisha miaka miwili ya mauaji ya halaiki Gaza, atoa wito wa umoja
Erdogan anasema kuwa katika kipindi cha miwili, Gaza imekuwa sehemu ya makaburi ambapo watu zaidi ya 67,000 wasio na hatia, ikiwemo watoto zaidi 20,000, wameuawa.
Samia aahidi kuinua uchumi wa wananchi Misungwi
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi ( CCM), Samia...
Samia aahidi kumaliza tatizo la maji Buhongwa
Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewaahidi wakazi wa...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI: OKTOBA 07, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI: OKTOBA 07, 2025
Fei Toto abadili upepo, atoa ‘code’ mpya
Kiungo mahiri wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', ameweka wazi malengo yake ya msimu huu...
TEF waitaka polisi kumtafuta Polepole, kuweka wazi kilichotokea
Wakati watu wakiendelea kujiuliza wapi alipo aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey...
Wawili wafariki kwa kuzama maji mkoani Kilimanjaro
Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti baada ya kuzama kwenye mito ya...
Hesabu mpya za Fei Toto Azam, amtaja Ibenge
KIUNGO mahiri wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi malengo yake ya msimu huu akisema anataka kufunga mabao 15, huku akimpa maua kocha Florente Ibenge.
Motsepe: AFCON itachezwa Morocco kama ilivyopangwa
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema ana "uhakika kabisa" kuwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 litaendelea kama ilivyopangwa nchini Morocco.
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka ishirini jela Bw
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka ishirini jela Bw. Musa Shija na kifungo cha miaka thelathini Bi. Hollo Shija kwa kosa la kujamiana…
#HABARI: Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Manyara imemuhukumu Hamis Abdalah mwenye miaka 42 mkazi wa Babati Manyara miaka sita j…
#HABARI: Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Manyara imemuhukumu Hamis Abdalah mwenye miaka 42 mkazi wa Babati Manyara miaka sita jela na faini ya milioni moja baada ya kutiwa hatiani…
Shauri la kutoweka Polepole latua mahakamani
Sakata la aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa...
Mazungumzo ya amani yakwama, M23 na serikali zikijiimarisha
Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na waasi wa AFC-M23 yakionekana kukwama kila upande unaonekana kujizatiti kijeshi. Je kwa nini pande hizi zinachukua hatua hii?
Makocha 500 waomba kazi TRA United
MAMBO yanazidi kupamba moto ndani ya kikosi cha TRA United baada ya mabosi wapya wa timu hiyo kupokea maombi ya makocha 500, walioomba kazi huku mchujo ukitarajiwa kufanyika Ijumaa wiki…
Wafanyabiashara wadogo wa mipakani, hususan wanawake na vijana wanaouza mbogamboga, matunda na mazao ya nafaka, wamekutana na wa…
Wafanyabiashara wadogo wa mipakani, hususan wanawake na vijana wanaouza mbogamboga, matunda na mazao ya nafaka, wamekutana na wadau wa sekta za umma na binafsi kujadili changamoto zinazokwamisha biashara zao. Mkutano…
Mzunguko wa kwanza ZPL vicheko, vilio vyatawala
RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imemalizika ikiacha majeraha kwa baadhi ya timu huku zingine zikipata mwelekeo mzuri wa mechi zijazo.
Yusuf Chipo kuanza na Coastal Union
BAADA ya Mtibwa Sugar kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara ikiwa chini ya kocha Juma Awadhi, uongozi umezungumzia ujio wa Mkenya Yusuf Chipo ambaye ataanza majukumu ligi itakapoendelea kwa…
Waziri Mkuu Majaliwa atoa maagizo Wizara ya Madini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya...
Pacome awekwa mtu kati na wawili wa Ulaya
STAA wa Yanga, Pacôme Zouzoua ameachiwa zigo huko Ivory Coast mbele ya Simon Adingra wa Sunderland ya Ligi Kuu England na Yan Diomande wa Leipzig ya Bundesliga wakati wakijiandaa na…
Arsenal kuhama kwa muda Uwanja wa Emirates kupisha maboresho
Arsenal ina mpango wa kufanya maboresho makubwa Uwanja wake wa Emirates uliopo London, England,...
Katika kuendeleza juhudi za kukuza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali nchini, Benki ya DCB C…
Katika kuendeleza juhudi za kukuza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali nchini, Benki ya DCB Commercial Bank Plc imezindua kampeni mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”.…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yamehodhi maeneo kwa mud…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yamehodhi maeneo kwa muda mrefu bila kuyaendeleza, yakiwemo makampuni matatu wilayani Ruangwa. Amesema makampuni ya…
Bunge Rwanda lasema mafunzo ya Kinyarwanda kwa nchi za kigeni yanafaa kuboreshwa
Utafiti umebainisha kuwa nyenzo nyingi za sasa za kuwafunza watu walio nje ya nchi Kinyarwanda ziliundwa bila kuzingatia makundi ya umri wa wanafunzi.
Kenya: Tembo ahamishwa baada ya kuleta madhara kwa wenyeji
Tembo huyo alikuwa hodari wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji.
Waasi wa M23 wazidi kukita mizizi huku diplomasia ikikwama
Kundi la M23 linajikusanya na kuimarisha nguvu zake za kisiasa na kiuchumi huko mashariki mwa Kongo huku diplomasia ikishindwa. Taarifa zinasema sasa linaunda mifumo inayofanana na ya serikali ya Kinshasa.