Trump adai kuhujumiwa na teknolojia Umoja wa Mataifa
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa kulikuwa na "hujuma mara tatu" dhidi yake wakati alipokwenda makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York.
Iran yasema haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia huku zikiwa zimebaki siku chache kabla…
25.09.2025 Matangazo ya Mchana
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea kwa siku yake ya nne leo+++Tume ya uchaguzi nchini Uganda imewateua wagombea 8 kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mapema mwaka…
25.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia /…
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 25.09.2025
Muhtasari: Rais wa Iran asema nchi yake haina lengo la kuunda silaha za nyuklia wakati akihutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa. -Shambulio la droni lawajeruhi watu 20 katika mji wa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 25, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa waendelea New York
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameuhutubia mkutano huo akizungumzia vinavyoendelea nchini mwake, ambapo ameonya kwamba Urusi inapanga kuvieneza vita kote barani Ulaya na kuutaka Umoja wa Mataifa kuingilia kati.
Ukraine yashambulia mji muhimu wa bandari wa Urusi
Mzozo huo umeendelea kuchukua sura mpya ambapo Ikulu ya Urusi iliapa kuzidisha mashambulizi yake ya kijeshi nchini Ukraine na kuyatupilia mbali madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba nchi…
Trump: Tunataka kumaliza vita katika ukanda wa Gaza
Mkutano ulioandaliwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya kukutana na viongozi kadhaa wa Kiarabu na Kiislamu ulilenga kutafuta namna ya kumaliza vita katika Ukanda wa Gaza.
Rais wa Malawi Chakwera akubali kushindwa katika uchaguzi
Rais Chakwera alichukua utawala nchini Malawi katika uchaguzi wa 2020 wakati alipomshinda rais wa wakati huo Mutharika wa chama cha Democratic Progressive Party, DPP na ambaye anarudi tena katika kiti…
Chakwera akubali kushindwa na mpinzani wake
Rais Lazarus Chakwera amekubali kushindwa na mpinzani wake, Peter Mutharika, ambaye aliwahi kuwa rais kati ya mwaka 2014 na 2020 na anayebashiriwa kushinda baada ya kuzoa zaidi ya asilimia 60…
Watu zaidi wauawa kwenye mashambulizi ya jeshi la Israel
Wapalestina zaidi wameuawa kwenye mashambulizi ya jeshi la Israel huko Gaza. Italia imelaani kushambuliwa boti za misaada pembezoni mwa Bahari ya Ugiriki na imepeleka meli ya jeshi la wanamaji kulinda…
AI yatinga orodha ya changamoto kuu za dunia mkutano wa UN
Umoja wa Mataifa umezindua mfumo mpya wa kudhibiti teknolojia ya Akili Bandia, AI, ikiwemo jukwaa la kimataifa na jopo la kisayansi. Je, hatua hii inaweza kudhibiti teknolojia inayokua kwa kasi…
Zelensky na viongozi wengine wahutubia UNGA-80
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea mjini New York - Marekani ambapo viongozi mbalimbali wanaendelea kuhutubia na kuelezea mambo mbalimbali yanaouzonga ulimwengu.
Je nchi za Ghuba zitaunda mfungamano kama wa NATO?
Qatar ilishambuliwa na Israel hivi karibuni ikiwalenga viongozi wa Hamas waliokuwa wanakutana Doha kujadili uwezekano wa kusimamisha mapigano Gaza. Kati ya waliouwawa walikuwemo pia Waqatari.
Ufisadi waipotezea Kenya mabilioni ya fedha
Ripoti ya Chama cha Walipa Ushuru kwa ushirikiano na Shirika la Oxfam Kenya na Shirika la Transparency International inasema Kenya hupoteza bilioni 253 za Kenya kila mwaka kupitia ufisadi na…
Utapiamlo unasababisha aina mpya ya kisukari
Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The Lancet Global Health unaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 25 duniani wanaishi na aina mpya ya ugonjwa wa kisukari unasababishwa na njaa.
Rais wa Malawi akubali kushindwa uchaguzi wa rais hata kabla ya matokeo rasmi kutangazwa
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amekubali kushindwa katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo, akimtaja kiongozi wa zamani Peter Mutharika kuwa "mshindi mtarajiwa".
Uchaguzi wa urais Malawi: Rais Chakwera akubali kushindwa na kumpongeza Peter Mutharika
Bila kusubiri matokeo rasmi kutangazwa, Rais anayemaliza muda wake Lazarus Chakwera, ambaye bado alikuwa akilaani udanganyifu katika uchaguzi jana, Jumanne, Septemba 23, amekiri kushindwa na kumpongeza mpinzani wake na mtangulizi…
Nchini Kenya kujiua bado ni mwiko
Nchini Kenya, watu wanne hufariki kutokana na kujitoa uhai kila siku, kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Takriban majaribio 500 ya kujitoa mhanga hurekodiwa kila mwaka na polisi, idadi…
Trump: Ukraine inaweza kurejesha maeneo yaliyotekwa na Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini Ukraine inaweza kurejesha maeneo yote yaliyotekwa na Urusi, akitaja hali mbaya ya kiuchumi ya Moscow kama fursa ya Kyiv kushambulia sasa.
Iran yatakiwa kuchukua hatua kuhusu mpango wa nyuklia
Ujerumani, Ufaransa, na Uingereza zimeitaka Iran kuchukua hatua madhubuti kushughulikia wasiwasi wa muda mrefu kuhusu mpango wake wa nyuklia, zikitahadharisha kuwa muda unayoyoma.
DRC: Makundi yenye silaha yanatumia mtandao wa satelaiti ya Starlink kuratibu shughuli zao
Starlink, mtandao wa satelaiti wa bilionea Elon Musk, sasa ni sehemu ya vifaa vya wanajihadi wa Kiafrika na makundi ya waasi – huko Mali, Niger, na mashariki mwa DRC. Kulingana…
Umoja wa Afrika na nchi za Sahel kurekebisha uhusiano
Mawaziri wa mambo ya nje wa Mali, Niger, na Burkina Faso wamefanya mazungumzo na Umoja wa Afrika kuhusu kurejesha ushirikiano, ikiwemo juhudi za pamoja za kupambana na ugaidi katika nchi…
Amiri wa Qatar aitaja Israel kuwa ‘utawala wa kihuni’
Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, amelaani vikali vitendo vya Israel, huku akiutaja utawala huo kuwa wa "kihuni” kufuatia shambulio la karibuni lililolenga ujumbe wa mazungumzo wa…
Rais wa Colombia atoa wito wa kuundwa ‘jeshi la kimataifa’ kuikomboa Palestina na kukomesha mauaji ya halaiki Gaza
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kijeshi nchini Palestina, akisisitiza haja ya kuundwa kwa jeshi la kimataifa kwa ajili ya “kuikomboa Palestina” na kupinga “udikteta…
Iran yakataa masharti ya kupunguza uwezo wa makombora yake
Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa nchi hii itatetea kwa ari kubwa usalama wake wa kitaifa na haitakubali “masharti ya kudhalilisha” kama vile kuwekewa mipaka ya uwezo…
Afrika Kusini yaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Haki iamue kuwa Israel inatekeleza mauaji ya kimbari Gaza
Afrika Kusini imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa uamuzi rasmi kuwa mauaji ya kimbari yanatekelezwa katika Ukanda wa Gaza, na kuamuru kusitishwa mara moja kwa machafuko hayo, kwa…
Kwa nini Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi kutumia bidhaa za ndani?
Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi wa nchi hiyo kuacha kutumia bidhaa kutoka nje na badala yake watumie bidhaa za ndani kufuatia kushtadi mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na…
Guterres asema amani haiji Gaza mpaka vita visimame
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, amani ya kudumu huko Gaza haitawezekana kujengwa kwa kuendeleza ghasia.
Félix Tshisekedi aishawishi Washington kuunganisha madini ya kimkakati na amani DRC
Félix Tshisekedi amewasili Marekani siku ya Jumanne, Septemba 23, kwa kikao cha 80 cha Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Rais wa Kongo ametumia fursa hiyo kufanya mikutano mingi ya…
Mashambulizi ya Israel yaua watu 15 Gaza
Mashambulizi hayo ya Israel ni mwendelezo wa operesheni yake ya kijeshi ya angani na ardhini kwenye mji wa Gaza na ambayo imewalazimu maelfu ya watu kuondoka katika maeneo hayo yenye…
Vita vya Urusi na Ukraine vyakuchukua sura mpya
Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dimtry Peskov, ameyasema hayo siku moja baada ya Trump kusema Ukraine inaweza kurudisha maeneo yake yote yaliyochukuliwa na Urusi kwa kuwa kwa sasa uchumi wake…
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuendelea hii leo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, Masoud Pezeshkian wa Iran na Ahmad al-Sharaa wa Syria wamepangwa kutoa hotuba zao mchana huu katika makao makuu ya umoja huo mjini New York, Marekani.
Merz aitetea bungeni bajeti ya serikali yake
Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani inakabiliana na moja ya vipindi vigumu kabisa katika historia ya sasa, kufuatia misukosuko ya kilimwengu. Kwa mtazamo wa Merz bajeti ni muhimu kuimarisha uchumi wa…
Israel yafunga kivuko cha Allenby, kinachounganisha Maeneo ya Palestina na Jordan
Israel imetangaza siku ya Jumanne, Septemba 23, kwamba Kivuko cha Allenby, ambacho kinaunganisha eneo hili la Palestina na Jordan, kitafungwa. Hii ina maana kwamba Wapalestina zaidi ya milioni tatu katika…
Merz: Ujerumani ipo katika nyakati ngumu zaidi kwa sasa
Merz ameyasema hayo leo wakati akitetea bajeti inayopendekezwa na serikali yake kwa mwaka wa fedha wa 2026 katika mjadala mkuu wa bunge la Ujerumani, Bundestag.
Tshisekedi: Mzozo wa DRC ni “mauaji ya kimbari”
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuutambua mzozo wa mashariki mwa nchi yake kuwa ni "mauaji ya kimbari yanayoendeshwa kimya kimya".
Kutambuliwa kwa Palestina: Macron anataka kuendeleza majadiliano juu ya kusitisha mapigano Gaza
Katika siku yake ya tatu mjini New York, na wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambao ni muhimu hasa kwa Emmanuel Macron kufuatia tangazo lake la kutambua taifa…
Japan: Utambuzi wa Palestina ni suala la muda tu
Umoja wa Mataifa (AFP) – Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba siku ya Jumanne, Septemba 23, katika Umoja wa Mataifa, ametangaza kwamba Tokyo kulitambua taifa la Palestina ni suala la…
Kremlin inaamini kwamba uhusiano na Washington kunatoa “matokeo karibu na sifuri”
Siku moja baada ya rais wa Marekani kubadili ghafla msimamo wake wa kuishambulia Urusi na kuiunga mkono Ukraine, msemaji wa rais wa Urusi Dmitry Peskov amesema kuwa “katika mahusiano yetu…
Kiongozi Mkuu wa Iran afutilia mbali mazungumzo ya nyuklia na Marekani
Kiongozi Mkuu wa Iran ametupili mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake, uwezekano wa kufunga mlango wa jaribio la…
Bado Watatu – 39
“Muuaji huyu hapa,” Inspekta huyo akatuambia. Siwezi kusimulia mshituko nilioupata. Raisa alikuwa ametahayari vibaya sana. Aliinua macho yake mara moja akatutazama. Macho yake yalipokutana na yangu akayarudisha chini haraka.
Bado Watatu – 38
Kwa msaada wa polisi wa usalama barabarani pikipiki ilikamatwa mara moja. Ilikutwa katika kituo cha bodaboda cha Kwaminchi. Mwenye pikipiki ndiye huyu hapa niliyekuja naye. Sasa nataka na yeye mumsikilize.”…
Bado Watatu – 37
Alinipeleka katika chumba kimoja ambako nilimkuta mume wangu Sufiani akiwa pamoja na askari niliyemfahamu kwa jina la Sajin Meja Robert. Polisi hao walikuwa wamepata ushahidi kuwa siku ile lilipotokea tukio...
Imam Khamenei: Mazungumzo na Marekani hayana maana yoyote
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali…
Araqchi: Shambulio la Israel-Marekani dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran, sura ya giza kwa NPT
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya maeneo vituo vya nyuklia vya Iran ya…
Guterres afungua mkutano wa UN kwa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel Ghaza
Mkutano Mkuu wa 80 wa Umoja wa Mataifa umefunguliwa rasmi kwa hotuba ya Katibu Mkuu Antonio Guterres. Katika hotuba yake hiyo Guterres amesema kuwa, hati ya Umoja wa Mataifa na…
Baqaei alaani vikali kuwekewa vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York
Ismail Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikwali kitendo cha maafisa wa Marekani kuwawekea vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York.…
Mapigano ya kijeshi yashadidi kati ya SAF na RSF magharibi mwa Sudan
Mapigano ya kijeshi yameongezeka katika siku za hivi karibuni kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko El Fasher, makao makuu ya Jimbo la…