Skip to content
  • Fri. Jun 19th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira “Acheni Kumshambulia Baba Yangu”: Sky Victor Amtetea Tash Kufuatia Madai ya Pesa
TUKO SWAHILI NEWS

Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira

June 19, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

“Acheni Kumshambulia Baba Yangu”: Sky Victor Amtetea Tash Kufuatia Madai ya Pesa

June 19, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni
TUKO SWAHILI NEWS
Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni
CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro
HABARILEO
CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro
Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen
HABARI ZA KIPEKEE
Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen
Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira
HABARILEO
Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni
TUKO SWAHILI NEWS
Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni
CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro
HABARILEO
CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro
Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen
HABARI ZA KIPEKEE
Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen
Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira
HABARILEO
Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira
Uncategorized

Donald Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina

September 24, 2025 mjombazecoder

Maafisa wa Uingereza wanahofia kuwa Donald Trump atatambua udhibiti wa Israel juu ya makaazi haramu katika Ukingo wa Magharibi, kulipiza kisasi uamuzi wa Uingereza, Australia, Ufaransa na nchi nyingine kulitambua…

Uncategorized

Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DR Congo, Kinshasa yaomba msaada

September 24, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Mataifa (AFP) – Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kutambua “mauaji ya halaiki yanayotekelezwa kimya…

Uncategorized

Trump ataka mateka wanaoshikiliwa Gaza waachiwe huru

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina.

Uncategorized

Zelensky ashangazwa na matamshi ya Trump kuhusu Ukraine

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema ameshangazwa na matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, aliposema anaamini Kiev inaweza kuitwaa tena ardhi yake yote iliyonyakuliwa na Urusi.

Uncategorized

Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DRC Oktoba

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaandaa mkutano wa dharura kuangazia hali mbaya ya kibinaadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, utakaofanyika mwezi Oktoba.

Uncategorized

Human Rights Watch: Afrika iwakatae wahamiaji Marekani

September 24, 2025 mjombazecoder

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema mpango wa Marekani kuwapeleka wahamiaji katika nchi za Afrika unakiuka sheria ya haki ya kimataifa, na lazima…

Uncategorized

Khamenei akataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani

September 24, 2025 mjombazecoder

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amekataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuujadili mpango wa nyuklia wa Iran.

Uncategorized

Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina, huku Marekani ikionekana kutengwa katika uungaji mkono wake mkubwa kwa mshirika wake Israel.

HABARI ZA KIPEKEE

Jumatano 24 Septemba

September 24, 2025 mjombazecoder

Leo ni Jumatano tarehe Mosi Rabiul Thani 1447 Hijria Qamaria sawa na Pili Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 24 Septemba 2025 Miladia.

HABARI ZA KIPEKEE

Haiwezekani kuzungumza na mtu dhalimu, asema Rais wa Iran kabla ya ziara yake New York

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kabla ya kuondoka kuelekea New York kwamba haiwezekani kuwa na mazungumzo na mtu yeyote ambaye ana nia ya “kulazimisha, kudhulumu, kufanya hila au kuvuruga…

HABARI ZA KIPEKEE

Rais Pezeshkian awatakia heri Mfalme na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Siku ya Taifa

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametuma salamu za pongezi kwa Mfalme, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, na wananchi wa Saudi Arabia katika maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya ufalme huo.

HABARI ZA KIPEKEE

Chanjo erevu iliyotengenezzwa Iran kutibu Saratani ya Mapafu

September 24, 2025 mjombazecoder

Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Tehran ametangaza chanjo yenye akili mnemba (AI) kwa ajili ya kutibu saratani ya mapafu.

HABARI ZA KIPEKEE

Mutharika aongoza kwa kishindo katika kinyang’anyiro cha urais nchini Malawi

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, ameibuka na uongozi wa kishindo katika hesabu za kura za uchaguzi wa urais, akijikusanyia takriban asilimia 66 ya kura zilizohesabiwa hadi sasa.

HABARI ZA KIPEKEE

Tshisekedi: DRC haitapiga mnada rasilimali zake kwa Marekani

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, ametangaza kuwa licha ya msaada wa Marekani katika upatanisho wa migogoro, nchi yake haitauza kwa bei rahisi au kupiga mnada…

HABARI ZA KIPEKEE

Kutengwa kimataifa, natija ya mgogoro wa utawala wa Kizayuni katika eneo

September 24, 2025 mjombazecoder

Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, amekiri kwamba utawala huu unaishi katika aina fulani ya kutengwa kimataifa.

Uncategorized

24.09.2025 Matangazo ya Mchana

September 24, 2025 mjombazecoder

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, amani ya kudumu huko Gaza haitawezekana kujengwa kwa kuendeleza ghasia / Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani…

Uncategorized

24.09.2025 Matangazo ya Asubuhi

September 24, 2025 mjombazecoder

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina / Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The…

Uncategorized

Taarifa ya Habari Asubuhi 24.09.2025

September 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina//Ukraine imeelezea kushangazwa na matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kusema…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 24, 2025

September 23, 2025 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa

Uncategorized

Adui aliyetangazwa na Trump: Antifa ni nini?

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vuguvugu la Antifa kuwa shirika la kigaidi. Tatizo ni kwamba, si shirika kabisa — na haijulikani ni nani hasa ambaye uchunguzi uliotangazwa unaweza kuwalenga.

Uncategorized

Trump aibua mjadala mkali katika hotuba yake ya UNGA-80

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais Donald Trump ameanza hotuba yake katika UNGA-80 akitaja mafanikio ya sera za kigeni, kukosoa taasisi za kimataifa na kutetea sera yake ya America First, huku viongozi wa dunia wakimsikiliza…

Uncategorized

UNGA: Afrika yataka kiti UNSC, yaiunga mkono Palestina

September 23, 2025 mjombazecoder

Viongozi wa Afrika wanaohudhuria Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) wanapigia debe nafasi kubwa zaidi duniani, mageuzi ya Baraza la Usalama la UN, na kuungwa…

Uncategorized

NATO yaionya Urusi kuwa itatumia njia zote kujilinda

September 23, 2025 mjombazecoder

Jumuiya ya Kujihami NATO imeionya Urusi hii leo kwamba, itatumia njia zote kujilinda dhidi ya ukiukaji wowote zaidi wa anga yake baada ya matukio mawili ya urushwaji wa ndege za…

Uncategorized

Trump aikosoa UN akisema imeshindwa kuleta amani duniani

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika kuleta amani ulimwenguni.

Uncategorized

Denmark yataja tukio la ndege za droni kuwa shambulio baya

September 23, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Denmark Mette Frederiksen amekitaja kitendo cha idadi kubwa ya droni zilizoruka katika uwanja wa ndege wa Copenhagen kwa masaa kadhaa kuwa ni shambulio baya zaidi kwa miundombinu…

Uncategorized

Jeshi la Israel lazidi kusonga mbele ndani ya Gaza City

September 23, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Israel hii leo limeendelea kusogea zaidi katika maeneo yenye wakaazi wengi katika Jiji la Gaza siku moja baada ya mataifa kulitambua taifa la Palestina.

Uncategorized

Guterres: Kupunguzwa kwa bajeti ya misaada kumeleta maafa

September 23, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hii leo kwamba kupunguzwa kwa bajeti ya misaada kumesababisha uharibifu mkubwa.

Uncategorized

Wapiga kura Guinea waunga mkono kura ya maoni ya Katiba mpya

September 23, 2025 mjombazecoder

Wapiga kura nchini Guinea wameunga mkono kwa kishindo kura ya maoni ya katiba mpya ambayo inaweza kuruhusu kiongozi wa kijeshi Mamady Doumbouya kuwania urais ikiwa ataamua.

Uncategorized

Umoja wa Ulaya na vizuizi vya Hungary

September 23, 2025 mjombazecoder

Hungary mara kwa mara hutumia kura ya turufu katika siasa za Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine, na hivyo kudhoofisha msimamo wa pamoja wa kigeni. Nchi wanachama sasa zinatafuta mbinu mbadala,…

HABARI ZA KIPEKEE

Pezeshkian: Jithada za kuzuia uhusiano mwema kati ya nchi za Kiislamu hazitafanikiwa

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jitihada za maadui za kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya nchi za Kiislamu; na kushindwa kuasisiwa uhusiano wenye matunda katika…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yaanza mwaka mpya wa masomo kwa kuwaenzi wanafunzi 34 waliouawa katika uvamizi wa Israel

September 23, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewaenzi wanafunzi 34 waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kichokozi ya Israell dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka…

HABARI ZA KIPEKEE

Wapalestina wengine 22 wakiwemo watoto wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza

September 23, 2025 mjombazecoder

Israel imefanya mashambulizi zaidi katika Ukanda wa Gaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wengine kadhaa huku jamii ya kimataifa ikishindwa kukomesha mauaji ya kimbari yautawala huo yanayoungwa mkono na Marekani.

HABARI ZA KIPEKEE

Rais wa Afrika Kusini atoa mwito wa kuwepo taifa huru la Palestina

September 23, 2025 mjombazecoder

Wakati vita vya Israel dhidi ya Gaza vikiendelea, Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuhusu dhamira ya nchi yake ya kupatikana njia ya ufumbuzi wa mataifa mawili ili kuhitimisha mzozo uliodumu…

HABARI ZA KIPEKEE

WHO: Wagonjwa wa kipindupidu Sudan wafikia 113,500; chanjo yaendelea kutolewa

September 23, 2025 mjombazecoder

Shirika la Afya Duniani leo Jumanne limetangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umewaathiri watu zaidi ya 113,600 na kuuwa zaidi ya 3,000 kote nchini humo tangu Julai mwaka jana.

Uncategorized

Denmark: Safari za ndege zaanza tena Copenhagen na Oslo

September 23, 2025 mjombazecoder

Safari za ndege zimeanza tena Jumanne asubuhi kutoka viwanja vya ndege vya Copenhagen na Oslo baada ya sitofahamu siku ya Jumatatu jioni kutokana na ndege zisizo na rubani kuonekana juu…

Uncategorized

Je, mkuu mpya Deutsche Bahn ataitoa kwenye mzozo wa kudumu?

September 23, 2025 mjombazecoder

Kwa mara ya kwanza mwanamke amewekwa kileleni mwa Deutsche Bahn. Evelyn Palla anakabiliwa na changamoto kubwa za kuchelewa kwa treni, kufutwa kwa safari na hali mbaya ya huduma.

IDHAA YA DUNIA

Ni nchi gani barani Afrika hazijalitambua taifa la Palestina?

September 23, 2025 mjombazecoder

Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Mwenyekiti wa PLO Yasser Arafat akimkumbatia Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, tarehe 1 Januari 1990 Maelezo kuhusu taarifa Author, Marina Daras…

Uncategorized

Mgogoro wa itibari ya kimaadili ya nchi za Magharibi kuhusu suala la Palestina

September 23, 2025 mjombazecoder

Kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa haoni kinachoendelea katika eneo hilo kuwa ni mauaji ya kimbari. Macron ameendelea…

Uncategorized

Italia: Mgomo wa wafanyakazi kwa mshikamano na Gaza wasababisha usumbufu kote nchini

September 23, 2025 mjombazecoder

Maelfu ya waandamanaji na wagimaji wanaotoa wito wa mshikamano na Wapalestina huko Gaza wameingia mitaani nchini Italia siku ya Jumatatu. Wengine walivamia kituo kikuu cha treni cha Milan na kukabiliana…

Uncategorized

Balozi wa Israel-UN akataa suluhisho la mataifa mawili

September 23, 2025 mjombazecoder

Mwakilishi wa kudumu wa Israel katika Umoja wa Mataifa Danny Danon amesema kuwa suluhu ya mataifa mawili si jambo linalowezekana kwa Israel.

Uncategorized

Wafanyakazi Italia wagoma kuonyesha mshikamano na Gaza

September 23, 2025 mjombazecoder

Maelfu ya waandamanaji na wafanya migomo wanaoshinikiza mshikamano na raia wa Kipalestina huko Gaza, walimiminika mitaani nchini Italia jana.

Uncategorized

Rais wa zamani wa Malawi Mutharika aongoza kwa 66% ya kura

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais wa zamani wa Malawi Peter Mutharika anaendelea kuongoza dhidi ya mpinzani wake, rais aliyeko madarakani Lazarus Chakwera katika uchaguzi mkuu wa rais.

Uncategorized

UN yashutumu mateso ya Urusi kwa wafungwa wa Ukraine

September 23, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Mataifa umesema katika ripoti yake kwamba mamlaka za Urusi zimewatesa wafungwa wa kiraia katika maeneo inayoyakalia nchini Ukraine, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji mkubwa wa kingono ulioratibiwa.

Uncategorized

Trump asema dawa ya Paracetamol inasababisha usonji

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa madai yanayohusisha ugonjwa wa usonji na matumizi ya chanjo ya utotoni na unywaji wa dawa maarufu ya maumivu ya Tylenol au Paracetamol kwa wanawake…

Uncategorized

Tshisekedi ailamu Rwanda kusuasua makubaliano ya amani

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais wa DRC Felix Tshisekedi amemtuhumu mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuchelewesha utekelezaji wa mkataba wa amani huku mzozo wa M23 ukiendelea mashariki mwa DRC.

Uncategorized

Italia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina

September 23, 2025 mjombazecoder

Maandamano makubwa yamefanyika nchini Italia kupinga vita vya Israel ambapo waandamanaji walitaka kusitishwa kwa mauaji, katika wakati huu jeshi la Israel likiendelea na operesheni ya ardhini kwenye Jiji la Gaza.

IDHAA YA DUNIA

Ufaransa yalitambua rasmi taifa la Palestina

September 23, 2025 mjombazecoder

Nchi zaidi za Ulaya zinatarajiwa kuchukua hatua hiyo hiyo, kulingana na Rais Macron alivyosema katika Umoja wa Mataifa “wakati wa amani umefika”. Source link

Uncategorized

Safari ya kisiasa ya Uganda tangu uhuru

September 23, 2025 mjombazecoder

Siasa za Uganda tangu uhuru 1962 zimegubikwa na mapinduzi, vita na uongozi wa mabavu. Kuanzia Milton Obote, Idi Amin hadi Tito Okello, historia ya taifa imejaa misukosuko na migogoro ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Rais Pezeshkian: Baraza Kuu la UN ni fursa adhimu ya kubainisha misimamo yetu

September 23, 2025 mjombazecoder

Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mipango na malengo ya safari yake ya New York ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa…

HABARI ZA KIPEKEE

White House: Trump atakutana na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kujadili kadhia ya Ghaza

September 23, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa ikulu ya White House Karoline Leavitt ametangaza kuwa rais wa Marekani Donald Trump anatazamiwa kufanya mkutano na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kujadili kadhia ya Ghaza.

Posts pagination

1 … 950 951 952 … 990

Recent Posts

  • Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni
  • CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro
  • Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen
  • Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira
  • “Acheni Kumshambulia Baba Yangu”: Sky Victor Amtetea Tash Kufuatia Madai ya Pesa

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

TUKO SWAHILI NEWS

Taharuki Nakuru! Watu 3 Wajeruhiwa Baada ya Mbunge Kudaiwa Kufyatua Risasi Shuleni

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

CCM kusukuma ujenzi wa barabara Kilolo ~ Moro

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Walinzi wa mpaka wa Iran na Iraq washirikiana kuandaa sherehe za Arbaeen

June 19, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Mradi wa VETA Kilolo kutoa fursa za ajira

June 19, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS