Haiti yapambana na kichaa cha mbwa kwa chanjo na uangalizi makini
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na Shirika la Afya la Pan-America (PAHO) limeripoti kuwa, mwezi wa Julai mwaka jana, katika eneo la mbali la Butête…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na Shirika la Afya la Pan-America (PAHO) limeripoti kuwa, mwezi wa Julai mwaka jana, katika eneo la mbali la Butête…
Katika hotuba yake ya ufunguzi kwenye kikao cha sabini na sita cha kamati ya Utendaji ya Mpango wa Kamishna Mkuu, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi, Filippo Grandi,…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameukaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wa kumtia hatiani Ali Muhammad Ali Abd-Al Rahman, maarufu…
Mashauri yanayohusu mabadiliko ya tabianchi sasa yanafanyika katika nchi nyingi zaidi duniani kuliko wakati mwingine wowote, imebainishwa kwenye ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP…
Leo ni Siku ya Makazi Duniani, na Umoja wa Mataifa unatoa wito wa kuchukua hatua za haraka kujenga miji jumuishi, imara na salama hasa kwa mamilioni ya watu waliolazimika kukimbia…
Katika kuhakikisha mama hapotezi maisha wakati wa kujifungua hii leo imezinduliwa miongozo mipya yenye lengo la kuokoa maisha ya maelfu ya wanawake wanaofariki kila mwaka kutokana na kutokwa damu nyingi…
Katika mjadala wa kila mwaka wa wazi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama, Katibu Mkuu António Guterres amesema ukosefu wa ufadhili endelevu na…
Uongozi wa kugawana majukumu na mashauriano ya kina na walimu ni mambo muhimu katika kuboresha ustawi wa waelimishaji na matokeo ya kujifunza ya wanafunzi, amesema Carlos Vargas, Mkuu wa Kitengo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imemjibu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Tuzo ya Nobel ya Tiba imetolewa leo Jumatatu, Oktoba 6, kwa Wamarekani Mary E. Brunkow, Fred Ramsdell, na Mjapan Shimon Sakaguchi kwa uvumbuzi wao kuhusu uvumilivu wa pembeni wa kinga.…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Urusi imedungua droni 251 za Ukraine usiku wa kuamkia Jumatatu, nyingi zikiwa katika maeneo ya Bahari Nyeusi na moja kuelekea mjini Moscow huku umeme ukiripotiwa kukatika mjini Belgorod.
PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo. Hali hiyo imekuja kufuatia kundi kubwa la mashabiki…
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa, Sebastien Lecornu na serikali yake wamejiuzulu saa chache baada...
Waangalizi wengi wa kimataifa na DRC wanasema kesi hiyo ilikuwa na muelekeo wa wazi wa kisiasa hivyo kuibua maswali kuhusu utaratibu unaostahili na utekelezwaji wa vyombo vya mahakama.
Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mwanaharakati kutoka vuguvugu la raia wa Lucha alihukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani kwa kosa la kueneza uvumi wa uwongo baada…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa watu 400 wameaga dunia kw autapiamlo katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa ya makusudi iliyosaabishwa na Israel. Watoto 100 ni miongoni mwa…
Taarifa kwa umma kutoka jeshi la polisi kuhusu Humphrey Polepole. #AzamTVUpdates
Wanajeshi vya Yemen wamefanya shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) kuelekea mji wa bandari wa Eilat katika ncha ya kusini kabisa ya maeneo yanayokaliwa na Israel katika operesheni mpya…
Wapatanishi wa Israel na Hamas wataendelea Jumatatu na mazungumzo yao yasiyo ya moja kwa moja huko mjini Cairo kuhusu namna ya kuumaliza mzozo wa Gaza.
Zaidi ya wanafunzi 90 wa Shule ya Sekondari Mkuu iliyopo Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro...
Licha ya kuwepo kwa alama za barabarani zinazowataka madereva kuvuka Daraja la JPM lililopo juu ya Ziwa Victoria kwa mwendo usiozidi kilomita 50 kwa saa, wakazi wa Busisi na watumiaji…
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UDP, Saumu Hussein Rashid, amesema chama chake kina dhamira njema ya kuwaendeleza wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwa kuwawekea miundombinu…
Kesi ya Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu itaendelea kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu hadi Oktoba 24 mwaka huu.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amefikishwa mahakamani huko jijini Dar- Es- Salaam siku ya Jumatatu kujibu mashtaka ya uhaini.
Kocha Mkuu wa Yanga, Romain Folz anasikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo kufuatia presha...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema amekwenda jijini Mwanza kwa ajili ya kusaidia kusaka kura za ushindi kwa mgombea urais wa…
Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya kidemoktrasia ya Congo na waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, yanatarajiwa kufanyika wiki hii chini ya upatanishi wa Qatar, kwenye mji wa…
Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
Waasi wa M23 wanaonekana kuimarisha utawala wao kisiasa na kiuchumi katika maeneo waliyoyateka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wakati kukiwepo na taarifa za madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Wajumbe wa Hamas wamewasili Misri kushiriki mkutano na wenzao wa Israel, ambao Marekani inatumai utasitisha vita vinavyoendelea katika Ukanda wa Gaza na kuwachiwa mateka wanaoshikiliwa na kundi hilo la wanamgambo.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Chirukile, amewashauri mafundi ujenzi mkoani Rukwa kuungana kwa pamoja ili kupata elimu zaidi inayoendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupitia vyuo vya VETA…
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) limelazimika kupunguza karibu ajira 5,000 tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa ufadhili wa misaada ya kimataifa,…
Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic Party (LDP) kimempata kiongozi wake mpya ambaye ni Waziri wa zamani wa Uchumi Sanae Takaichi.
Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza kutoka Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibongoto, wakiongozwa na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dkt. Subi, wamewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kufanya uchunguzi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua…
Rais wa Ecuador Daniel Noboa ametangaza hali ya hatari katika mikoa kumi kati ya 24 ya nchi hiyo, huku maandamano ya watu wa asili dhidi ya serikali yake yamesababisha kifo…
Baada ya miaka minane ya uongozi wa shirika hilo, Audrey Azoulay anajiandaa kuachia ngazi. Halmashauri Kuu itamchagua mrithi wake leo Jumatatu, Oktoba 6. Wagombea wawili wako katika kinyang’anyiro: Mmisri Khaled…
Wakati Serikali ikilenga kutafuta uwekezaji wa Sh36.862 trilioni katika mwaka wa fedha...
Timu tatu kati ya nne za Afrika zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 ya Fainali za Kombe la Dunia la Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 zinazoendelea nchini Chile.
Mgombea ubunge wa Kibamba kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki ameainisha...
Kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa Marine Le Pen amesema leo Jumatatu kwamba kuvunjwa kwa Bunge la taifa “hakuwezi kuepukika kabisa,” kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu…
#HABARI: Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai huku pia likikiri kuona taarifa ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa uzalishaji wa mbaazi ambapo kwa msimu wa mwaka jana imesafirisha takriban tani 350,000 kwenda nchini India. Katika msimu wa mwaka huu mbaazi…