Hamas yalaani mswada wa kifashisti na kikatili wa Bunge la Israel wa kuwanyonga Wapalestina
Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Wapalestina, Hamas, imelaani vikali hatua ya Bunge la Israel (Knesset) kupitisha kwa mara ya kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa Wapalestina waliotekwa, ikikitaja kama mwendelezo…