Harmonize, AY, Fid Q wabwagwa Grammy
Novemba 7, 2025, waandaaji wa tuzo za Grammy waliachia listi ya majina ya watakaowania tuzo...
Novemba 7, 2025, waandaaji wa tuzo za Grammy waliachia listi ya majina ya watakaowania tuzo...
Leo ni Jumatatu tarehe 19 Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na Novemba 10 mwaka 2025.
Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa…
Waziri wa Utalii wa Iran Sayyid Reza Salehi-Amiri jana Jumapili alikutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti mjini Riyadh, Saudi Arabia na maafisa wa ngazi ya juu wa nchi kadhaa, wakiwemo…
Gavana wa Darfur, Minni Arko Minnawi, ameonya kwamba makubaliano yoyote ya kusitisha mapigano nchini Sudan ambayo hayajumuishi ulinzi wa raia na kuwajibishwai wahusika wa uhalifu "yatakuwa na maana ya mgawanyiko…
Jeshi la Somalia jana Jumapili lilifanya oparesheni kadhaa katika majimbo ya Bakool na Bay na kuuwa wanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al Shabaab.
Hekaheka za kumchagua Spika wa bunge la 13 zinaendelea huko Dodoma// Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali7/ Rais wa…
Mabingwa wa Bavaria Bayern Munich walizuiwa sare na Union Berlin katika pambano la kukata na shoka ambalo lilikaribia kukamilika kwa ushindi wa Union mpaka pale Harry Kane aliposawazisha dakika za…
Wiki iliyopita Waendesha mashitaka Tanzania waliwafungulia kesi ya Uhaini takriban watu 240, kufuatia maandamano ya vurugu yaliyotokea wakati wa uchaguzi huku taifa hilo likipitia hali ya mashaka ya kisiasa kutokana…
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya Kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania// Wanaharakati nchini Kenya wametoa wito kwa serikali ya taifa hilo…
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka…
Idadi ya waliouawa Ukanda wa Gaza yafikia zaidi ya watu 69,000. Mashambulizi ya Ukraine yawakosesha umeme zaidi ya watu 20,000 Urusi. Uganda yawaachilia huru wanaharakati wawili wa Kenya.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
PRIME Yanga kupangwa na waarabu Aziz Ki asema jambo KIPINDI hiki ambacho mashabiki wa Yanga wanazidi kupasuka vichwa kuhusu kundi ambalo timu hiyo limepangwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Namungo 'Wauaji wa Kusini' dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, imemalizika kwenye Uwanja wa Majaliwa Lindi, huku…
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Kawaida amewataka...
Wakati baadhi ya wenyeviti wa Serikali za mitaa wakishinda udiwani kwenye uchaguzi mkuu wa...
DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo Uwanja wa KMC, Kinondoni, Dar es Salaam. Mabao ya…
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...
PRIME Yanga kupangwa na waarabu Aziz Ki asema jambo KIPINDI hiki ambacho mashabiki wa Yanga wanazidi kupasuka vichwa kuhusu kundi ambalo timu hiyo limepangwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu…
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu...
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamemchagua Mussa Zungu, mbunge mteule wa Ilala, kuwa...
Yanga imekwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1...
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Mbeya, Gervas Nyaisonga amewaongoza waamini na...
Mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Urusi usiku wa kuamkia Jumapili, yamesababisha kukatika kwa umeme katika miji mikubwa miwili mpakani mwa nchi hizo. Mamlaka za Urusi zimesema takriban watu 20,000 hawana…
YANGA imempiga KMC Kireno kwa kuichapa mabao 4-1 ikiishusha Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara angalau kwa wiki kadhaa wakati ligi ikienda mapumziko.
YANGA imempiga KMC Kireno kwa kuichapa mabao 4-1 ikiishusha Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara angalau kwa wiki kadhaa wakati ligi ikienda mapumziko.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameonya kuwa ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia na ubaguzi dhidi ya Wayahudi vinazidi kutishia kwa kiasi kikubwa demokrasia nchini humo.
Idadi ya Wapalestina waliouawa katika vita vya Israel na Hamas kwenye Ukanda wa Gaza sasa imefikia zaidi ya watu 69,000, kulingana na takwimu zilizotolewa na mamlaka za ukanda huo.
KOCHA wa Mashujaa, Salum Mayanga amesema anapambana kuhakikisha mshambuliaji wa kikosi hicho, Ismail Mgunda anarejea katika kiwango bora kama mwanzoni, licha ya ushindani mkubwa katika eneo hilo na washambuliaji wengine…
Uganda imewaachilia huru wanaharakati wawili wa Kenya baada ya Rais Yoweri Museveni kudai walikuwa wakishirikiana na wanasiasa wa upinzani kumwondoa madarakani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari mwakani.
MABOSI wa Mtibwa Sugar wameweka ngumu kwa kocha mpya wa kikosi hicho, Mkenya Yusuf Chippo aliyependekeza aje hapa nchini na msaidizi wake mmoja wa kufanya naye kazi, jambo ambalo limegonga…
KOCHA wa Dodoma Jiji, Amani Josiah amesema katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Bara imesimama anapambana kutengeneza utimamu mzuri wa mwili kwa wachezaji wa kikosi hicho, kabla ya pambano lijalo…
KOCHA wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema licha ya kazi ya benchi la ufundi la kutengeneza timu bora na ya ushindani, ila kwa sasa ni muda wa wachezaji wa kikosi…
Wakati Chama cha ACT-Wazalendo kikikusudia kuifikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
Wanaharakati wawili wa Kenya wameachiliwa huru baada ya kutoweka nchini Uganda ambako walikuwa wakihudhuria hafla ya upinzani wa kisiasa.
Kukiri makosa, kuepuka kunyoosheana vidole, kuponya majeraha na kusitisha kamatakamata ndiyo...
KAMA ulidhani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtupa aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, basi unakosea kwani ameandaliwa mpango mzito.
KAMA ulidhani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtupa aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, basi unakosea kwani ameandaliwa mpango mzito.
Wanafunzi wa kidato cha pili takribani 898, 755 wanatarajia kufanya mtihani wa upimaji wa...
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ameigeukia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Kuwait huko Cairo Misri, akitoka kulazimishwa sare ya 1-1 na…
Madaktari wa eneo hilo waliripoti Jumapili kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi huko Al Fasher, magharibi mwa Sudan, wamezika mamia ya raia kwenye makaburi ya halaiki na kuwachoma…
Tanzania inaendelea kukabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi, hali inayosababisha...
Rais Erdogan alisema mazungumzo yake na Rais Trump kuhusu mkataba wa F-35 yalikuwa mazuri, yakionyesha dalili za maendeleo, na kuitaka Marekani kutekeleza ahadi zake.
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani, hasa zile zinazotegemea Bandari ya…
Nani atamrithi Kassim Majaliwa Hili ni moja ya swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi...