Macron akutana na Xi mjini Beijing
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping Alhamis ambapo anatarajiwa kumuwekea shinikizo kiongozi huyo asaidie katika usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping Alhamis ambapo anatarajiwa kumuwekea shinikizo kiongozi huyo asaidie katika usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine.
đ´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 04, 2025
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza leo ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano, hususan katika sekta ya ulinzi+++Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa likisema…
AISHI Manula usiku wa leo Jumatano Desemba 3, 2025 amekaa golini kwa mara ya kwanza akiidakia Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita takribani siku 638.
Rais wa Marekani Donald Trump ameiita Somalia kuwa ni "nchi ngumu". Katika kauli aliyoitoa Jumanne Trump aliwaelezea wahamiaji wa Kisomalia kama "takataka," akisema hawataki Marekani.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za mafuta ya petroli na ya taa, zimeendelea kushuka kutokana na kupungua kwa gharama…
đ´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 03 DESEMBA 2025
Kanuni ya 11 ya uendeshaji wa shughuli za EAC, unataka akidi za nchi zote wanachama zitimie, ili Mkutano wa Wakuu wa EAC ufanyike.
#HABARI: Wazee na Vijana wa Mkoa wa Pwani, wamesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, imeonyesha uwazi na ukweli na…
#HABARI: Wakati msimu wa kilimo ukiwadia, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, mkoani Songwe, imetangaza neema kwa wakulima na wafugaji kwa kuanza mikakati ya kuimarisha sekta za Kilimo na…
#HABARI: Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imefungua rasmi Maktaba ya mkoa wa Ruvuma baada ya kusimama kutoa huduma kwa miaka mitatu mfululizo kutokana na uchakavu wa majengo huku…
#HABARI: Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amejipanga kuanza ziara maalum ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata 142 za Mkoa huo, ikiwa ni pamoja na kukagua…
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la...
#HABARI: Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanya Operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za Dawa za Kulevya, kuteketeza Ekari…
Rais Erdogan alimwambia Alexander Stubb kupitia mazungumzo ya simu kuwa Uturuki inazingatia umalizwaji wa mchakato wa amani kati ya Ukraine na Urusi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira wa Gambia, Ebrima Jawara kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa...
Serikali ya Marekani imeagiza mawakala wa uhamiaji kusitisha shughuli za utoaji wa vibali vya urai kwa wahamiaji kutoka nchi 12 zilizopigwa marufuku kuingia nchini humo, huku nchi saba zikiwekewa vikwazo.…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imewaachia huru na kuwafutia mashtaka ya uhaini washtakiwa 105...
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Njombe, Mhe.Sigrada Mligo, amesusia mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe, kwa madai…
#HABARI: Watanzania hasa vijana wametakiwa kujiepusha na vurugu zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi, kwa kufanya uharibifu wa mali za umma na za watu binafsi kwa madai ya kutafuta haki na…
Wakati dunia inawaenzi watu wenye ulemavu, wapo baadhi yao ambao wanaishi katika falsafa ya âulemavu si kulemaaââŚMmoja wao ni Silas Kassao wa mkoani Morogoro aliyepata ulemavu wa kudumu akiwa na…
Tanzania imetajwa miongoni mwa vinara barani Afrika katika kupambana na usugu wa vimelea vya...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, wametakiwa kusikiliza zaidi...
Ujerumani imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Euro ya Wanawake 2029 baada ya kuzishinda Poland, na Denmark na Sweden. Mashindano hayo yameahidiwa kuwa âya wote,â huku nchi hiyo ikipanga kuvutia mashabiki zaidi…
đ´TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 03, 2025 - POLISI WAITAKA JAMII KUJITENGA NA MAANDAMANO
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania amefuta mashtaka ya uhaini na uchochezi dhidi ya mfanyabiashara Jennifer âNifferâ Jovin na mwanaharakati Mika Chavala, waliokamatwa kwenye vurugu za Oktoba 29, na kuwaachia huru.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka watendaji wa Wizara ya...
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa ahadi ya kuendeleza ushirikiano na Mabaraza ya Wazee nchini. Amesema lengo la hatua hiyo ni…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imetaifisha mali zenye thamani ya shilingi bilioni 3.304 zinazodaiwa kupatikana kupitia biashara haramu ya dawa za kulevya. Kamishna Jenerali wa…
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mvuvi, Gato Francis...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesisitiza umuhimu wa tafiti za kisayansi...
Jeshi la Polisi nchini limebainisha mambo 12 linayodai yanaendelea kupangwa mitandaoni kuelekea...
Eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekumbwa na vita kwa miongo kadhaa, hali iliyosababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu kuyahama makazi yao. Sasa, hatua mpya…
Mamlaka za maeneo yanayokabiliwa na mafuriko katika kisiwa cha Sumatra zaomba msaada zaidi kutoka serikali kuu
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amepewa mapokezi ya kifalme alipowasili Uingereza kwa ziara ya siku tatu, ya kusherehekea mahusiano ya karibu kati ya nchi hizo mbili lakini pia kukumbuka makovu…
Mashirika ya vijana ya vyama vikuu vya siasa nchini Ujerumani yanaonyesha kujiamini zaidi. Kwa sababu ya tofauti ndogo ya kura katika bunge la Bundestag, ushawishi wao unaweza kuongezeka.
Mfamasia wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba, mkoani Songwe, Jackson Mahagi(39) amepandishwa...
Mkuu wa Mkoa wa manyara Queen Sendiga anatarajia kuanza ziara y kampeni maalum iliyobeba jina la Sivui buti hadi kieleweke Dec 4 ambayo inalenga kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na…
Mkali wa Hip-Hop nchini Frida Amani ameteuliwa kuwa Balozi wa Mazingira Duniani kupitia Shirika...
Takriban watu laki moja wamelikimbia eneo la Kaskazini mwa Msumbiji ambako machafuko yameongezeka
Ziara ya rais Frank Walter Steinmeier ni ya kwanza kuwahi kufanywa na kiongozi mkuu wa nchi wa Ujerumani nchini Uingereza kwa kipindi cha miaka 27
Mkopo wa Euro bilioni 90 kwa miaka miwili unalenga kuipatia Ulaya sauti yenye nguvu katika mazungumzo ya kutafuta amani ya Ukraine
Licha ya Desemba kuwa na historia ya changamoto ya usafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani,...
Wakati madiwani wa Manispaa ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza wakimchagua Sara Nâghwani kuwa Meya na...
Kwa zaidi ya miaka 30, muziki wa Bollywood umejengwa juu ya muunganiko wa sauti na video zenye...
Baba wa marehemu mwanamuziki Ilerioluwa Aloba âMohbadâ, Joseph Aloba, ameweka wazi kuwa sababu...
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BOT) and the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) have signed a landmark Memorandum of Understanding (MoU) aimed at enhancing digital transformation,…
đ´HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA - DISEMBA 03, 2025
DODOMA: THE Tanzanian Police Force has stated that it is closely monitoring behaviors and communications spreading on social media, where some individuals are encouraging what they call unlimited âpeaceful demonstrationsâ…