TPLB yatembeza rungu wamo waamuzi, makamishna
KAMATI ya Usimamizi wa Ligi Kuu Bara imeshusha adhabu Mbeya City, Namungo, Coastal Union, waamuzi na maofisa wengine.
KAMATI ya Usimamizi wa Ligi Kuu Bara imeshusha adhabu Mbeya City, Namungo, Coastal Union, waamuzi na maofisa wengine.
Mapigano makali yameendelea kujiri Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakikabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na wanajeshi wa…
Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapambana kurejesha utulivu na kujijenga upya baada ya vita vya muda mrefu.
Tarehe 16 mwezi Azar inayosadifiana na Disemba 7 imesajiliwa katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Mwanachuo", siku ambayo ni nembo ya mapambano, kupigania…
Mapigano yameendelea kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku moja Rais Trump wa Marekani kuwaalika viongozi wa Kongo na Rwanda mjini Washington kusaini makubaliano mapya ya amani…
Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer hii leo atamkaribisha Rais Volodymyr Zelensky mjini Londo kwa ajili ya kujadili mipango ya amani, wakati Urusi ikiendelea kuishambulia Ukraine.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Rais wa Benin Patrice Talon amesema hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya serikali kulizuia jaribio la mapinduzi, kupitia wanajeshi watiifu wa rais huyo wakishirikiana na vikosi vya Nigeria.
Rais wa Umoja wa Ulaya Antonio Costa amepinga jaribio lolote la Marekani la kuingilia siasa za Ulaya, baada ya Washington kuchapisha mkakati wa mpya wa usalama, unaokosoa vikali sera za…
Baadhi ya mabasi ya masafa marefu mkoani Shinyanga yameripotiwa kuendesha safari kwa kuzidisha idadi ya abiria, kinyume na taratibu zilizowekwa na LATRA, hali inayochochea ongezeko la gharama kwa wasafiri katika…
Amesema huu ni wakati sahihi kwa wadau kubadilika na kuwa tayari kuunganisha nguvu za pamoja...
Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kusalia majumbani kesho Desemba 9, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Tanganyika.
BELGIUM: FORMER Tanzanian President, Dr Mrisho Kikwete, who is also the Chairperson of the Board of the Global Partnership for Education (GPE), speaks with the Vice Chairperson of GPE, Ms…
Wafugaji wadogo wamehimizwa kuanza kutumia teknolojia za kidijitali katika shughuli za ufugaji ili kupunguza hasara na kuongeza tija, katika hali ambayo mabadiliko ya tabianchi na magonjwa ya mifugo yamekuwa yakiongeza…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amehimiza umuhimu wa biashara ya usawa na inayozingatia sheria, wakati akianza ziara ya siku mbili nchini China hii leo Jumatatu.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema awamu ya pili ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza itaendelea mara baada ya Hamas kukamilisha zoezi la kurejesha mabaki ya mateka wa…
Mkoa wa Rukwa unapanga kutoa zaidi ya leseni 700 za uchimbaji na utafiti wa madini kwa wachimbaji wakubwa na wadogo, huku wawekezaji 10 tayari wakijitokeza kuonesha nia ya kuwekeza katika…
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene amesema maandamano yanayopangwa kufanyika kesho Desemba tisa hayakubaliki na ni haramu, kwani mpango huo haujulikani anayeuongoza na hakuna kibali kilichoombwa kwa…
Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa, ukosefu wa dawa na vifaa vya matibabu huko Gaza unaongeza zaidi maafa ya kibinadamu katika eneo hilo.
“HUU ni ukombozi dhidi ya madhara kwa wanawake na watu wengine yanayotokana na moshi utokanao na matumizi ya muda mrefu ya kuni, sambamba na watu hao kutumia muda mwingi na…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa leo kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini London kujadili kuhusu mpango wa amani kwa Ukraine.
Utafiti mpya uliotolewa na Taasisi ya Gates Foundation unaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza katika karne hii, idadi ya watoto duniani wanaofariki kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano baada…
DAR ES SALAAM: VIWANGO Savings and Credit Cooperative Society (SACCOS) has nearly doubled its loan portfolio over the past three years, rising from 4.2bn/- to 9.0bn/-, driven by prudent lending…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Serikali...
DODOMA: PRIME Minister Dr. Mwigulu Nchemba has directed Tanzanian citizens to celebrate Independence Day tomorrow, December 9, 2025, from their homes if their activities do not require them to go…
Klabu ya soka ya England Arsenal imesema haitoingia mkataba mpya na serikali ya Rwanda mkataba ambao ulikua na lengo la Arsenal kuitangaza Rwanda na kuhamasisha watu kwenda nchini humo. Kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Rais wa Benin, Patrice Talon, ameonekana kwenye televisheni kwa mara ya kwanza baada ya jaribio la mapinduzi la Jumapili, akisema hali sasa iko shwari na waliojaribu kumpindua wataadhibiwa. Rais wa…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, tarehe 7 Desemba 2025, alihutubia viongozi wa mashinani wa chama chake cha National Resistance Movement (NRM) katika eneo la Lango, na kutoa ujumbe mkali kwa…
Dar es Salaam: Exporting remains one of the most powerful economic engines for any developing nation, and for Tanzania, the future of sustainable growth, poverty reduction, and industrial competitiveness lies…
Taasisi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake Bw. Geofrey Kiliba imelaani Vikali matukio ya uvunjifu wa amani yaliyofanyika wakati na baada ya uchaguzi…
Soma zaidi hapa...
Dar es Salaam. Katika kuhakikisha wateja wananufaika na huduma zitolewazo na wateja wake...
SMALL AND MEDIUM SIZED enterprises (SMEs) are a cornerstone of Africa’s economy, accounting for roughly 90 per cent of businesses and providing 80 per cent of employment. Yet, many face…
DODOMA: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, has submitted a clarification report to the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) following the unrest that…
Serikali imewataka Madiwani na Watendaji katika halmashauri ya wilaya ya Sikonge kwenda kufanyakazi kwa kuheshimiana ili malengo ya kuwatumikia Wananchi yaweze kufikiwa katika kuwaletea maendeleo endelevu kwenye maeneo yao hatua…
“...wale wote ambao ambao wanashabikia wale wote ambao wanaona wameichoka amani, wale wote ambao wanaona hata mateso tuliyopata katika kipindi hiki wanaona hayatutoshi wanataka kutuongeza tena mengine tuwaombe sana kwamba…
MARA: Over 400 villagers would now be accessing health services at the new Mangucha dispensary in Nyanungu ward of Tarime district, which has been built by Barrick North Mara Gold…
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi na Siasa, Yericko Nyerere, amewataka vijana kutodanganyika na wito wa maandamano unaoenezwa mitandaoni na watu walioko nje ya nchi huku akisisitiza kuwa matokeo ya…
Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru. #kilichoborakabisa
Changamoto ya usafiri kuelekea mikoani kunapokaribia sikukuu za mwisho wa mwaka imekuwa ni tatizo la muda mrefu, licha ya mamlaka husika kuweka nguvu katika kushughulikia. Tuandikie maoni yako, nini kifanyike…
NO FREE LUNCH IN AMERICA Donald kachukua muda wake kuwapatanisha alafu sharti Makampuni ya Marekani yachimbe madini Congo na deal done ✅ Tatizo la Congo linamalizwa na aliyelianzisha kwa maslahi…
Pamoja na manufaa makubwa yanayoletwa na maendeleo ya teknolojia, changamoto mpya za ukatili wa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
MUFTI wa Tanzania, Shehe Mkuu Abubakar Zubeir, amesema taasisi za dini nchini zimeanza mazungumzo yenye lengo la kuirudisha nchi katika taswira yake kudumisha amani na kulinda maisha na mali za…
RUKWA: A new helium gas exploration is expected to begin at Kinambo village in Rukwa Region, starting from December 2025 to February 2026. The exploration will be conducted by the…
"Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka Desemba 9, aidha Serikali inawashauri wananchi ambao Desemba 9, 2025 hawatakuwa…
OFISI ya Msajili wa Hazina imepanga kukusanya Sh trilioni mbili za gawio la mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2025- 2026. Hazina imejiwekea kiasi hicho baada ya serikali kuiwekea…
Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kwamba yeye pamoja na wasaidizi na wafuasi wake walipigwa na maafisa wa usalama wakati wa kampeni kaskazini mwa nchi.