DC Sweda amaliza mgogoro kati ya waumnii, viongozi wa Kanisa Moravian
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda, amemaliza mgogoro uliodumu kwa miezi kadhaa kati ya...
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda, amemaliza mgogoro uliodumu kwa miezi kadhaa kati ya...
Kocha mkuu wa Msumbiji, Chiquinho Conde, ameonesha imani kubwa na uwezo wa timu yake kuelekea...
Taarifa za kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela, Nicolás Maduro, na kuwekwa chini ya ulinzi wa...
Wanafalsafa wameeleza kuwa duniani kuna aina tatu za watu: watu miguu wanaofuata maelekezo bila kuhoji, watu mikono wanaotekeleza na kutafsiri mawazo ya wengine, na watu vichwa wanaobuni suluhisho na kutatua…
Mbunge wa Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya amezindua programu maalumu ya kuwasaidia watoto ambao...
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, mwaka jana uliohusisha vurugu katika baadhi ya maeneo, shughuli...
Kaimu Rais wa Venezuela, aliyeidhinishwa na Mahakama ya Juu Zaidi nchini humo, amesema kulikuwa na "kivuli cha Wazayuni" katika operesheni ya kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro.
Makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi sanjari na kulaani kile yalichokiita ugaidi wa kiserikali wa Marekani dhidi ya Venezuela, yamesema mashambulizi na utekaji nyara wa Rais Nicolas Maduro…
Marekani na washirika wa Ulaya wa Ikulu ya White House wameshindwa katika vita laini dhidi ya Iran ya Kiislamu, licha ya kutumia kiwango kikubwa cha fedha na mashirika ya propaganda…
“Miezi minane usiku na mchana niliishi na minyororo miguuni, leo naona mwanga. Ahsanteni...
UONGOZI wa TRA United umekamilisha mpango wa kuinasa saini ya winga Denis Nkane kutoka Yanga kwa mkataba wa miezi sita.
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minne, aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Abalkassim Suleiman, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya City ya jijini Mbeya, kwa dili…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR…
Katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku, ni kitu cha Sirf Ek Bandaa Kaafi Hai. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Azammaxweb #AzamTWO
PEMBA; Rais mstaafu Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya…
MANY people use Dry January as an opportunity to reexamine their relationship with alcohol, and end up noticing health perks they didn’t expect. It’s common to have better sleep and…
Heeee Jevdet amefanya nini 😳 Aziza na dishi lake kumewaka pia. Usikose kufuatilia tamthilia ya 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO pekee.
Sina uhakika kama hii 50 ilifika
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amepongeza ustadi wa kijeshi wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amesema Serikali inaendelea kuthamini mchango wa...
Zaidi ya watu 40 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, wakiwemo raia na wanajeshi, gazeti la New York Times limeripoti, likimnukuu afisa mkuu…
Wananchi wa Marekani wamemiminika mitaani na mabarabarani kote nchini humo kushiriki maandamano ya kupinga na kushutumu uchokozi wa kijeshi wa Washington dhidi ya Venezuela, na kutekwa nyara kwa Rais Nicolas…
Kocha mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim, ameashiria kuwepo kwa sintofahamu kati yake na...
Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya Sh41 unahusisha sare za shule,daftari, kalamu,viatu, soksi...
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, huenda akafikishwa mahakamani jijini New York, Marekani...
AFRICA: MANY people may take their birth certificate, or similar official papers, for granted – hidden in a drawer and rarely seeing the light of day – but for those…
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Songea imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na...
Habari ndo hiyo. Antoine Semenyo anatazamwa kama mchezaji ambaye anaweza kwenda kuamua mshindi...
Balaa hilo. Chelsea itakayokuwa bila ya huduma ya kocha wake mkuu, Enzo Maresca itakuwa na...
Kwenya #sheriaupdates leo tunazungumzia hatua za kuchukua ikiwa nyumba, kiwanja chako kimevamiwa na mvamizi tayari amepata hatimiliki. Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates #UTV108
MTWARA: MADIWANI wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro itakayopelekea taharuki katika maeneo yao na badala yake waibue shughuli za kimaendeleo. Rai hiyo imetolewa wakati…
NMB MAPINDUZI CUP: Wananchi Yanga SC leo wanayaanza mashindano haya kwa kukipiga na KVZ. Mchezo huu utachezwa saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
#MICHEZO: Kuelekea mechi ya timu ya Taifa stars dhidi ya Morocco, Mwana-mashairi na Mtunzi wa tenzi Msafiri Abdalah Imba maarufu kama Mnazi ametoa shairi lake kuweka hamasa na tija juu…
Watanzania wametakiwa kuendelea kuienzi na kuitunza tunu ya amani iliyopo nchini kwa kuwa ndio msingi wa taifa kupiga hatua kimaendeleo. Hayo yamesema na Viongozi wa Dini na Serikali wa Mkoa…
ZANZIBAR: SINGIDA Black Stars were held to a 1–1 draw by Uganda’s URA FC in a Group A match of the Mapinduzi Cup played yesterday at the New Amaan Complex…
Mechi ya kikubwa! Ndio, kuanzia saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah jijini...
RABAT: TAIFA Stars Head Coach Miguel Gamondi has expressed confidence in his side while acknowledging the strength of their Africa Cup of Nations (AFCON) round of 16 opponents, Morocco today.…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosamba kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok ikidai Msanii wa muziki Shilole kupata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limesema taarifa za ajali zinazosambaa kwenye mtandao wa...
NIGERIA: STRIKER Victor Osimhen has sent a bold message to Nigeria’s Africa Cup of Nations rivals, saying the Super Eagles can ‘trample on any team’ in their quest to end…
Huku hali ikiendelea kutulia huko Caracas, Wavenezuela wanazungumzia taarifa za kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro na Marekani kwa matumaini, hofu, na kutokuwa na uhakika. Watu walianza kujitokeza mitaani Jumamosi baada…
YOUNG people around the world are encouraged to get involved in extracurricular activities. These range from choirs and drama clubs to sports teams, with many other options available depending on…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani "itaiongoza" Venezuela hadi "mabadiliko salama, sahihi na ya busara" ya kisiasa yatakapohakikishwa, baada ya mashambulizi ya Marekani kusababisha kukamatwa kwa Rais wa nchi…
Nawanda tutamuokota barabarani kwa mwendo huu 😭
MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Januari 4, 2026 itashuka Uwanja wa Prince Moulay Abdellah mjini Rabat kuwavaa wenyeji Morocco hatua ya 16 Bora ya Kombe la…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani vikali hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na utekaji wa Rais Nicolás Maduro pamoja na mkewe, akieleza kitendo hicho kuwa…
Makamu wa Rais wa Venezuela, Delcy Rodríguez, amelaani vikali shambulio la kijeshi la Marekani aliloliita kinyume cha sheria, ambalo limesababisha kutekwa kwa Rais Nicolás Maduro na Mkewe Cilia Flores. Rodríguez…
Wanaharakati wa kutetea haki za Wapalestina wamemsifu Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, kwa kufuta amri za kiutawala zilizokuwa zikizuia shughuli za makundi yanayounga mkono Palestina.
Jana usiku kikosi cha Simba kilikuwa Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja kucheza mechi ya...
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umetangaza leo Jumapili, Januari 4, kwamba utawaachilia huru zaidi ya wafungwa 6,000 kama sehemu ya msamaha wa kila mwaka kwa kuadhimisha sikukuu ya kitaifa. Imechapishwa:…