Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD Bisura amerudi tena
Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD Bisura amerudi tena. Maige atangaza kuendeleza moto dhidi ya ndugu yake.
Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD Bisura amerudi tena. Maige atangaza kuendeleza moto dhidi ya ndugu yake.
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: JANUARI 05, 2025
#KIPIMAJOTO: Ukaguzi wa barabara zilizoharibiwa na mvua mkoani Tanga na baadhi yake kukarabatiwa ili ziweze kupitika kwa muda. Je, ufanyike nchi nzima
🔴TAARIFA YA ASUBUHI..... JANUARI 05, 2026
Watu 114 wameuwa nchini Sudan, baada ya kushuhudiwa kwa makabiliano makali kati ya wanajeshi wa wanamgambo wa RSF, Magharibi mwa jimbo la Darfur kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Imechapishwa:…
Aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro aliyekamatwa pamoja mkewe Cilia Flores wakati wa operesheni maalum iliyotekelezwa na vikosi vya Marekani anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku ya Jumatatu, jijini New York, anakokabiliwa…
Trump anaonekana kuamini kwamba yeye ndiye anayetunga sheria, na wengine hawawezi kuwa na haki au upendeleo kama wake
Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel zinaendesha "vita laini" ili kuvuruga uthabiti na utulivu nchini likiwa…
Viongozi wa Iraq wamesisitiza mchango muhimu wa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani katika kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh kulinda mafanikio ya ushindi huo.
Wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) wameshambulia vituo muhimu vya Sudan kwa kutumia ndege zisizo na rubani, na kusababisha uharibifu mkubwa kwenye vituo hivyo.
Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amekosoa vikali uzembe wa Ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na hali ya Ukanda wa Gaza.
Vyombo vya habari vya Israel vimekiri kwamba, lengo la Rai wa Marekani Donald Trump la kuanzisha shambulio la kijeshi dhidi ya Venezuela halikuwa kupambana na biashara haramu ya madawa ya…
Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Wakazi wa Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma bure za macho kutoka kwa Madaktari Bingwa wa macho kutoka Nchini India, ambapo huduma…
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeaga rasmi mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika...
HATUWADAI wanetu. Walisikika mashabiki wa Taifa Stars jijini Dar es Salaam usiku wa Jumapili baada ya kuishuhudia timu yao ya soka ikitupwa nje ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya…
MSHAMBULIAJI Emmanuel Mwanengo, ameanza na mguu mzuri ndani ya Yanga baada ya kuwa sehemu ya mchango wa ushindi wa mabao 3-0 ilioupata timu hiyo dhidi ya KVZ.
Nadia anatupa kisa cha mapenzi yake na Tony kumea na kunywea. Ni hii ndio hadithi ya Wendy..Kumbe Tony wala sio chaguo lake ni hasira za kumkosa James (Baba Sasha) 🥹
MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kuingia robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Morocco katika mchezo wa hatua…
#HABARI: Wakati maafisa wa Shirika la FBI la Marekani wakitazamiwa kuwasili Kenya kuhusiana na uchunguzi wao wa kashfa ya mabilioni ya pesa inayowahusisha Raia wa Kenya wanaoishi Marekani waliojipatia zaidi…
Watanzania! Kuna sikukuu nyingine bado, hii ni kwa Ma-Mista Lonely wote nchini. Utaiona na kuisheherekea ndani ya Clouds 360 kesho asubuhi kuanzia 12:00 live on @Cloudstv Usikoseee
Sijui ingekuwa wewe hapo unayesoma hii, ungefanya nini mwanaburudani 😎
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 04/01/2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 04, 2026 - RAIS WA ZANZIBAR AAHIDI KUJENGA MASOKO YA KISASA ZANZIBAR
Kuelekea siku 100 za Rais Ikulu, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera, anatarajiwa kuongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria bure mkoani Morogoro kesho, ikiwa ni…
Kila saa 11:30 alfajiri, Nicodemas Massawe huwa tayari barabarani. Si kwa sababu ya kazi, bali...
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki...
Chama cha ACT - Wazalendo kimeshatanguliza mguu mmoja mbele kuingia katika Serikali ya Umoja wa...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE - JANUARI 04, 2026
PEMBA; Rais mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya Uhamiaji na makazi ya askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kulia…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema...
Manchester United imelazimishwa sare kwa mara ya pili mfululizo wakati safari hii ikiwa ugenini...
Kukamatwa na kisha kuwekwa rumande kwa Sarah Bireete, mtetezi mashuhuri wa haki za binadamu na...
Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo...
DAR ES SALAAM: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepongezwa kwa kuimarisha amani, umoja na mshikamano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira…
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa msimamo wake ikiwemo kutaka...
AZAM FC inaendelea kujiimarisha katika maeneo mbalimbali ya kikosi hichona sasa imevamia Mlandege ya Zanzibar na kubeba mastaa wawili wa timu hiyo, akiwamo Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ na Suleiman Juma…
Serikali ya kijeshi ya Myanmar imetoa msamaha kwa zaidi ya wafungwa 6,100 na kupunguza vifungo vya wafungwa wengine leo Jumapili wakati ikiadhimisha miaka 78 ya uhuru wa nchi hiyo kutoka…
Mahakama Kuu ya Venezuela imetoa uamuzi kwamba Delcy Rodrígo ambaye amekuwa akihudumu kama makamu wa rais wa Maduro, achukue nafasi ya rais wa muda katika kipindi hiki chenye kutarajia mabadiliko.…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 04/01/2026
Leo Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada...
Ni wachache wanaoweza kufikiria kupona katika ajali ya gari ya kusikitisha iliyogharimu maisha...
Kipa namba moja wa Yanga, Diarra Djigui usiku wa juzi alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Mali...
Wanawake wanaoishi bila wanaume maarufu Single Mothers wamesema licha ya kuishi katika mazingira hayo bado kuna vitu ambavyo vinawakosesha heshima kwa jamii kuwachukulia tofauti. Wanawake hao wamesema kutokana na maisha…