🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 15, 2026
Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imesema inaendelea kuwatambua na kuwakamata vinara wa mashambulizi ya kigaidi hivi karibuni jijini Tehran kwa ushirikiano madhubuti wa wananchi.
Iran imewasilisha malalamiko rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, ikimkemea kwa kutoa vitisho vya kijeshi na kuwachochea waandamanaji kuteka taasisi za serikali.
Baada ya kufariki kwa idadi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza kutokana na baridi kali, Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombzoi wa Palestina, Hamas, imeonya kuhusu kuzidi kuzorota…
Mahakama ya rufaa nchini Tunisia siku ya Jumatano imethibitisha kifungo cha miaka 22 jela dhidi ya Rached Ghannouchi, kiongozi wa Harakati ya Ennahda na aliyekuwa Spika wa Bunge, katika kesi…
Leo ni Alkhamisi tarehe 25 ya mwezi Rajab 1447 Hijria mwafaka na tarehe 15 Januari 2026.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
MOROCCO; Morocco imetinga fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) baada ya kuitoa Nigeria katika mchezo wa nusu fainali kwa penalti 4-2 mchezo uliomalizika muda mfupi…
Kutokana na uchakarikaji na utafutaji alionao @ishamashauzioriginal, Harris Kapiga ametoa ushauri kwa wanaume ambao hawajaoa kutafuta wanawake wapambanaji. #SentroCloudsTv #Clouds26Nyoosha
ZANZIBAR: THE Unguja South Regional Commissioner, Hamida Mussa Shuduma, has expressed her admiration for the various services provided by the Tanzania National Chamber of Commerce (TNCC), saying she was particularly…
Macho na masikio ya wanachama wa ACT Wazalendo yataelekezwa Jumapili Januari 18, 2026 wakati...
MOROCCO;-NI mapumziko Nigeria 0 Morocco 0 mchezo wa nusu fainali michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Morocco. The post Mapumziko Nigeria 0 Morocco 0 first appeared on HabariLeo.
Msanii wa Muziki wa Taarabu @ishamashauzioriginal. #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitvwaye Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja na kuingia katika tawi la benki ya…
Huyu Poena atafanikiwa kulipa kisasi chake?
#INTERNATIONALUPDATE Maafisa zaidi ya 300 wa Jeshi la Polisi wa Jiji la wametangaza kuwa wanachama wa Freemason au "miungano mingine ya aina hiyo" baada ya kikosi hicho kuwataka kufanya hivyo…
Msanii wa Muziki wa Taarabu @ishamashauzioriginal amesema kati ya mambo anatamani ni kuona Maafisa Usafirishaji yaani bodaboda pamoja na Askari au Trafiki wanakuwa marafiki. #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 14, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 14, 2026
Msanii wa Muziki wa Taarabu @ishamashauzioriginal ametoa elimu ya usalama barabarani pamoja na kuzitambulisha tuzo anazotarajia kuwapa Maafisa Usafirishaji. #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
Senegal kiwango bora, matokeo bora. Imekuwa na mechi nzuri ikiutawala zaidi mchezo kwa asilimia kubwa,Misri wakiutafuta kwa tochi fainali za AFCON. Bao pekee la mwamba kabisa, Sadio Mane limetosha kuipeleka…
Ubunifu uliofanywa ndani ya Kilimanjaro IX unaifanya boti hiyo mpya ya Azam Marine kuwa ya kipekee zaidi. Miongoni mwa ubunifu uliomo ni viti vya kisasa na picha za vivutio vya…
Uzalishaji wa parachichi unaofanywa kwa kutumia mbegu ya kisasa aina ya HASS unaelezwa kubadilisha mtazamo wa kilimo cha zao hilo mkoani Kigoma. Uzalishaji huo unaofanyika katika shamba la Kibondo Greem…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na Jeshi la Polisi, Transfora Mussa Ngimbudzi ameondoka nchini leo kwenda Uholanzi kushiriki mashindano ya Montferland Run Half Marathon yatakayofanyika Januari 18, 2026, ikiwa ni…
Ukweli uko wazi sasa, Ila huyu Fidan🙌
Mwili wa Hamisi Nchambi maarufu Ngosha ambaye ni dereva bodaboda umekutwa juu ya kaburi katika...
Kampeni ya Magifti ya Mixx Pesa imechangia kuimarisha hali ya kiuchumi kwa baadhi ya wananchi...
Ndoto ya wakulima wa vijiji vya Ilemba, Sakalilo na Isanga mkoani Rukwa wanaotegemea skimu ya umwagiliaji kwa ajili ya kilimo huenda ikawa 'ndoto iliyopotea' baada ya miundombinu ya skimu hiyo…
Kiwango cha ukosefu wa ajira kidunia kinatajwa kufikia wastani wa asilimia 8.9 huku Tanzania kiwango hicho kikishuka kwa asilimia 0.2 na kufikia 8.7 kwa mwaka 2025. Miongoni mwa hatua zinazoisaidia…
Unamtazama @mtangamtangalile ukiwa wapi? Ni chaneli namba 106 #SinemaZetuHD
Mabadiliko ya tabianchi yameendelea kusababisha mvua zisizotabirika hali inayotishia kilimo na usalama wa chakula kwa ujumla wake huku waathirika wakubwa zaidi wakiwa wakulima. Ripoti ya Faraja Samo inaangazia namna mabadiliko…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 08/01/2026
Serikali kwa kushirikiana na Jamhuri ya Korea imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa kisasa wa...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, ametoa pongezi za kipekee kwa Kamati ya Ukaguzi na Mapokezi ya Vifaa katika Shule ya Msingi Mahuta iliyopo Wilayani Tandahimba kwa…
#PichaYanguSeries | #Shakei @amani_kigoye
#VIDEO: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi taifa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Bw. Fadhili Maganya, ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha viongozi wa Serikali ngazi ya wilaya na halmashauri, kutokuwepo…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 14, 2026 -UWANJA WA NDEGE MSALATO KUKAMILIKA MEI
waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Januari 14, ameelekeza hospitali za Taifa, Rufaa na Mikoa kuweka utaratibu wa wagonjwa kufanya maombi ya kumuona daktari kwa njia ya mtandao ili…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, ametembelea na kukagua ujenzi wa miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani na…
Wasanii gani unatamani wafanye collaboration mwaka huu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @neypova_ @djfantastic255 #TheSparkShow #clouds26nyoosha
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Fabian Mazali (56) umekamilik
#HABARI: Mfugaji mmoja aliyetambulika kwa jina la Robert Ng’washa, mkazi wa Kitongoji cha Mshwamba (A) katika Kijiji cha Lunguza, wilayani Lushoto, amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na kundi la tembo.…
Wananchi wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi kwa Barabara ya...
Kutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza nchini yanayoendelea kuathiri nguvu kazi ya Taifa, Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao badala ya kusubiri mpaka waugue. Mkurugenzo Mtendaji wa Kampuni…
Baadhi ya wanawake Jijini Dar es salaam wameiomba serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa saratani hasa ya mlango wa kizazi inayoongoza nchini na kusababisha vifo vya wanawake zaidi…
WAZIRI Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira zisimamie kikamilifu utekelezaji wa sheria zinazotaka kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania zisifanywe na wageni isipokuwa zile zinazohitaji utaalamu…
Mgomo wa wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha uliokua umeitishwa na Mwenyekiti wa Umoja wa...
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira zisimamie...