Mheshimiwa Dkt
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa agizo hilo alipofungua Kikao cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za Kisekta kujadili fursa za ajira ndani na nje ya…
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa agizo hilo alipofungua Kikao cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za Kisekta kujadili fursa za ajira ndani na nje ya…
Nyumba zaidi ya 52 zimebomoka huku nyingine zikiezuliwa paa kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali katika kijiji cha Makanjiro, wilayani Ruangwa mkoani Lindi. Akizungumza na wananchi wa kijiji hicho,…
Malefu ya raia wa Iran wamejitokeza jijini Tehran kuhudhuria mazishi ya maafisa wa usalama 100 waliouawa wakati wa maandamano, wakati huu serikali ikisema kesi dhidi ya waandamanaji waliokamatwa zitaendelea kwa…
Raia nchini Uganda wanajiandaa kupiga kura kesho Alhamisi katika uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na ushindni mkubwa baina ya upinzani na rais wa muda mrefu Yoweri Museveni. Rais Museveni aliyepo madarakani…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonya kuwa, iwapo Marekani itafanikiwa kuchukua kisiwa cha Greenland kinachomilikiwa na Denmark, hatua hiyo itakuwa na matokeo mabaya. Imechapishwa: 14/01/2026 – 16:10Imehaririwa: 14/01/2026 – 16:57…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO - JANUARI 14, 2026
Soma zaidi hapa...
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, alisema Jumatano kwamba Umoja wa Ulaya (EU) unapanga kugawanya msaada wa kifedha wa euro bilioni 90 uliokubaliwa kuisaidia Ukraine. Kulingana na…
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amemwagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa ndege wa...
Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za uwepo wa zana za kisasa za kilimo zilizoletwa na Serikali ili kuongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao…
Mamlaka nchini Ukraine zimelazimika kusitisha baadhi ya safari za treni kwenye maeneo kadhaa...
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na JKT Tanzania watazitumia kama njia ya kujiweka tayari kwa ajili…
Zaidi ya kaya 52 za wilayani Ruangwa mkoani Lindi zimekosa makazi kufuatia nyumba zao kuathiriwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha kwa muda mfupi jana Januari, 13, 2026. Kwa…
Zaidi ya Shilingi Milioni 196 zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara kwa vikundi 29 vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu, huku makundi hayo yakitakiwa kuachana na…
MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada ya dili lake kwenda Ureno kufanya majaribio kukwama.
BAADA ya kufunga mabao matano katika mechi ya jana dhidi ya Fountain Gate Princess, mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga amevunja rekodi ya msimu uliopita ya kufunga mabao 13.
LIGI Kuu Bara iliyosimama tangu Desemba 7, mwaka jana kupisha michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2025) na Kombe la Mapinduzi 2026, inarejea kesho Ijumaa kwa mechi mbili za…
Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), wanaohifadhiwa kwenye kambi ya Nyarugusu...
Time ya kuishi na Isha, Wakati tukiishi kwenye mapokeo ya kiburudani kwaajili ya kukonga nyoyo zetu, tusisahau kuishi kwani hii zawadi yenye thamani kubwa tuliyopewa na Allah na Juma tano…
Bi Julia anaeleza katika maisha yao ya ndoa imekuwa ni nyakati njema, huku mzee kimiti akiamini katika falsafa yake ya “ta te ti to tu “ @angelamondi Mhariri | @claud_jm…
Kiongozi mstaafu, Paul Kimiti na mkewe Julia Kimiti wanandoa waliounganishwa na upendo, wakishirikiana safari ya maisha kwa miaka mingi wakizeeka pamoja. @angelamondi Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates
Ni wakati wa kuikaribia TV yako kwa karibu, maana Show tamu ya TV The Spark ndani ya Clouds Tv inakaribia kuanza. Tunajua kila mtu ana msanii wake pendwa ambaye angependa…
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Rose Muhando amedai kampuni inayojihusisha na uuzaji na...
"....tunashirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba tunapokuwa na shughuli yoyote....tumeweka utaratibu kwamba katika eneo letu kuna vitu hawapaswi kuonekana wanavifanya....."-Afisa Masoko Fukwe za Pweza – Japhet Lutamigwa.…
"....sasa hivi vijana wengi wanaingia kwenye uasi kwa sababu pengine ya kufuata tamaduni za nje na kudharau za kwao.....ni jukumu ka jamii na sisi wahifadhi kushikamana katika kudumisha utalii wetu…
Majina ya vigogo yamechomoza kwenye kamati hizo huku baadhi ya wabunge wakongwe wakirejea...
Zikiwa zimetimia siku 14 tangu kutokea kwa ajali ya basi na lori na kusababisha vifo vya watu...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka wadau mbalimbali wa elimu wa ndani na nje ya...
DAR ES SALAAM: Airtel has rolled-out a nationwide cashless transactions campaign, highlighting the growing significance of digital payments in everyday life for individuals and businesses, a move that advances country’s…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo, ametaka kutolewa...
Mamilioni ya Iran leo wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
Tangu Ijumaa, Januari 9, Afrika Kusini imekuwa ikiandaa mazoezi makubwa ya majini kama sehemu ya mpango wa BRICS, ambao unaweza kuikasirisha Washington, kutokana na uhusiano ambao tayari ulikuwa mgumu kati…
#MEZAHURU"....lakini si hivyo tu vijana wetu wa Tanzania wamejaliwa kuwa na ubunifu wa sanaa, kwa kutumia mazingira ya ufukweni wanaweza wakatengeneza bidhaa mbalimbali za kitamaduni halafu wakaziuza kwa wageni ambao…
Nchini Chad, jeshi limepelekwa kwa siku kadhaa katika eneo la Moyen-Chari, karibu na mpaka na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Siku ya Jumanne, Januari 13, makabiliano yalianza katika eneo hilo…
Hamad hasira za nini sasa baba 😎
"Tumefurahi sana Simba Queens wamecheza Vizuri , Wamepambana, wakiendelea Kucheza hivi tutashinda Ligi insha'allah" Mlezi wa Simba Queens @fatemagdewji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mchezo wa Simba…
Kumekucha Gonja atoboka kwa Begum, Osman naye anaendelea kupambana na wazushi. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku saa 4:00 #AzamTWO
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Patrobas Katambi amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. George Simbachawene leo Januari 14, 2026, Ofisi za Wizara, Mtumba jijini Dodoma.…
🔴MEZA HURU: ...JANUARI 14, 2025
Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa kampuni inayotegemea maarifa nchini Iran ametangaza uzalishaji wa dawa ya Ofenib kwa mara ya kwanza hapa nchini, ambayo hutumika kwa wagonjwa wenye magonjwa ya…
Hali dhaifu ya kisiasa nchini Yemen inaonekana kudhoofika zaidi, huku kutokuwepo utulivu na vizuizi vya misaada vikizidisha njaa, magonjwa na kuhama kwa mamilioni ya raia, wamesema maafisa wakuu wa Umoja…
Ukraine imechukua hatua madhubuti kuelekea ujenzi wa sera ya makazi ya haki na ya kisasa kwa kupitisha sheria ya "Kanuni za Msingi za Sera ya Makazi." Sheria hiyo, iliyoandaliwa kwa…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka wadau mbalimbali wa elimu wa ndani na nje ya...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani WMO leo limethibitisha kuwa mwaka 2025 ulikuwa miongoni mwa miaka mitatu yenye joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa, licha ya uwepo…
Mfumo wa kubaini mapema homa ya bonde la ufa (RVF) iliyobuniwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO nchini Tanzania imewezesha wizara, wakulima, na madaktari wa…
Baada ya kuhitimu shahada ya udaktari nchini mwake Uganda, huko Afrika Mashariki, Daktari mmoja alibaini kuwa hiyo haitoshi, bali alienda mbali zaidi kubuni kifaa kinachosaidia wajawazito hasa wale wanaoishi maeneo…
Siku ya Jumatatu Trump alichapisha taarifa kwenye Truth Social: "Kuanzia hivi punde, nchi yoyote inayofanya biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italipa ushuru wa 25% kwa biashara yoyote inayofanya…
Wakati zaidi ya Sh100 bilioni zikitarajia kukusanywa kupitia mazao manne ya kimkakati wilayani...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 14, 2025