Turning WhatsApp statuses into money
DAR ES SALAAM: AT just 25 years old, Ms Elizabeth Mboko is making waves in Dar es Salaamâs entrepreneurial scene. Harnessing the power of social media, particularly WhatsApp, she has…
DAR ES SALAAM: AT just 25 years old, Ms Elizabeth Mboko is making waves in Dar es Salaamâs entrepreneurial scene. Harnessing the power of social media, particularly WhatsApp, she has…
Jina la Director Kenny ni maarufu hasa katika Bongofleva kwa sababu amefanya yenye heshima...
Idara ya DCI ilimkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha nne huko Endebess baada ya operesheni ya pamoja ya Kenya na Uganda katika mpaka wa Suam.
đ´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
DODOMA; MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye ameuliza bungeni serikali haioni haja ya kuanza upembuzi wa ujenzi wa reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Kusini kufuatia mradi wa LNG.…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu â Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe. Deus Sangu, amesisitiza umuhimu wa uwepo wa mabaraza ya wafanyakazi, katika Taasisi za Umma…
DODOMA; SERIKALI imesema katika kipindi cha miaka minne jumla ya minara 1,041 imejengwa na inatoa huduma za mawasiliano kwa wananchi. Naibu Waziri wa Mwawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Switbert…
DODOMA; SERIKALI imefanya tathmini na kuainisha vituo vya afya kongwe 532 ambavyo vinahitaji kuongezewa na kukarabatiwa kwa miundombinu yake. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) anayeshughulikia afya, Dk Jafar…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 49 ya…
DODOMA: LOANS for higher learning students in the country are projected to surpass 1tri/- in the next financial year, from current 916.7bn/-. The move reflects the governmentâs efforts to tackle…
COAST REGION: MINISTER of State in the Prime Ministerâs Office responsible for Labour, Employment, Youth and Persons with Disability, Mr Deus Sangu, has called on the Public Service Social Security…
DODOMA: THE National Assembly will today witness a moment that will shape the countryâs future for a generation to come. For the first time since the launch of Vision 2050,…
Mchungaji Robert Lumbasi alidai kuwa alimuoa Rose Muhando lakini alizima madai hayo. Video iliibuka wawili hao wakiwa pamoja wakionekana kupendeza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa ili kukomesha mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
Gazeti la Washington Pos limeripoti kuwa, Iran ina uwezo wa kulenga kambi za kijeshi za Marekani.
Mataifa kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu yameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kukiuka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika taarifa kwamba ana wasiwasi mkubwa kuhusu athari za kuongezeka vurugu na machafuko nchini Sudan Kusini, akiongeza kuwa hali hii itawadhuru zaidi raia…
Siku moja baada ya mfumo uliowekwa na rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa yaliyoitishwa na sehemu ya upinzani na kuhimizwa na washirika kadhaa…
Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari Mosi, 2026…
Imesalia miezi michache kabla ya staa wa Bongofleva, Faustina Mfinang maarufu Nandy, 33...
BRUSSELS: TANZANIA and the European Union (EU) have strengthened their strategic partnership with a renewed focus on practical cooperation in regional peace and security, rules-based trade, investment facilitation and predictable…
Marekani inaashiria kwamba kurejesha demokrasia sio kipaumbele tena na iko tayari kufanya kazi na Burkina Faso, Mali na Niger.
đ´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
TANGU 2017, jina la Gianluigi Donnarumma, 26, halijawa gumzo tu ndani ya viwanja vya soka, bali...
Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tutupie jicho matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
Mwanamuziki nguli, hayati Oliver Mtukudzi kafanya mambo makubwa katika muziki. Mathalani, sanaa...
Nchini Sudan, Benki Kuu inaonya dhidi ya kutumia huduma za kibenki zinazotolewa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika maeneo wanayodhibiti. Wiki chache zilizopita, utawala wa kiraia unaoungwa mkono…
ACHANA na matokeo ya jioni ya leo ugenini dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic amefichua siri…
Chama kikuu cha kisiasa katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia, TPLF, kimebainisha tena kujitolea kwake kwa mchakato wa amani licha ya mashambulizi. Vile vile, mkuu wa utawala wa mpito katika…
Hatua zaidi imechukuliwa kuelekea mahakama ya baadaye nchini Liberia yenye jukumu la kuwahukumu wale waliohusika na ukatili uliofanywa wakati wa vita viwili vya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1989…
đ´KUMEKUCHA KISHINDO:...FEBRUARI 02, 2025
đ´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
Chama cha ODM na UDA chazamia mazungumzo kabla ya 2027, huku uchunguzi wa polisi na juhudi za Gachagua kumteua Kalonzo kuwa kiongozi wa upinzani zikichochea mvutano.
Chini ya mwaka mmoja baada ya ziara yake ya mwisho, GĂŠrald Darmanin anafanya ziara nyingine rasmi nchini Morocco leo Jumatatu, Februari 2 na kesho Jumanne, Februari 3, ili kuimarisha zaidi…
"....hii unatoa utaniwahi lakini nataka nipate muda mzuri kuwafahamisha watu kwamba tufikie sehemu lazima tuseme kwamba hapa panatosha, watu ambao wanajua wanawaudhi watu wengine lazima wakubali kupumzika, mimi bado napata…
Mradi huoI ambao unaitwa Horizon 1000, uliotengenezwa na Wakfu wa Gates na kampuni ya Marekani ya OpenAI kwa ushirikiano na mamlaka ya Rwanda, unalenga kushughulikia uhaba mkubwa wa wataalamu wa…
Baada ya miaka minne ya kutembea bila kujua wanakokwenda, familia ya Kisii imepata makazi Kericho, kutokana na usaidizi wa Mbunge Nelson Koech......
Madagascar ambayo imekumbwa na kimbunga Fytia kwa siku mbili, tangu Jumamosi Januari 31 hadi Jumapili Februari 1, sasa inajaribu kutathmini uharibifu uliosababishwa na kimbunga hicho. Ingawa uharibifu unaweza kuonekana mdogo,…
Zaidi ya watu 300 wanaotambuliwa kama "wafungwa wa kisiasa" wameachiliwa nchini Venezuela ndani ya siku 30 tangu kupinduliwa na kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro na majeshi ya Marekani mwezi mmoja…
đ´KUMEKUCHA MICHEZO : FEBRUARI 02, 2026
Siku moja baada ya mfumo uliowekwa na rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa yaliyoitishwa na sehemu ya upinzani na kuhimizwa na washirika kadhaa…
Gavana Gladys Wanga aliunga mkono ombi la ODM la kutaka asilimia 50 ya serikali katika mazungumzo ya muungano na UDA kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Huku uvumi wa kimataifa kuhusu ongezeko la uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika Mashariki ya Kati, viongozi wa Israel wameendelea kuonesha ukimya usio wa kawaida.
Marekani lazima itathmini upya ushirikiano wake wa usalama na Uganda, Jim Rish kutoka chama cha Republican, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Baraza la Seneti, ametangaza…
đ´KUMEKUCHA: ...... FEBRUARI 02, 2026
Israel imesema itaufunguwa tena mpaka muhimu kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kupitia kituo cha Rafah hivi leo, siku moja baada ya kutangaza kuakhirisha hatua hiyo.
Kutengenezwa kwa Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK)...
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza umuhimu wa kujengeana imani kwa ajili ya mazungumzo na Marekani wakati mataifa hayo mawili yakiwa kwenye mzozo unaotishia vita kamili…
Chama cha Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kinatazamiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa wiki ijayo kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa jioni ya Jumapili (Februari 1).
Licha ya ugunduzi mkubwa ulioibuliwa kwenye kile kiitwacho Nyaraka za Epstein, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Todd Blanche, ameondosha uwezekano wa kufunguwa mashitaka ya uhalifu kwa wale waliotajwa.