Mandelson ajiuzulu Labour kwa kashfa ya Epstein
Mwanasiasa mashuhuri wa Uingereza, Peter Mandelson, amejiuzulu kutoka chama tawala cha Labour kukwepa kile alichokiita "fedheha zaidi" kufuatia kuibuliwa tena taarifa za urafiki wake na Jeffery Epstein.