Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, City, United na Chelsea zamgombea Anderson
Arsenal wanachunguza uwezekano wa kumsajili Elliot Anderson, vilabu kadhaa vya Ligi Kuu vinawania saini ya Aurelien Tchouameni, Manchester United wanamwania Adam Wharton.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, William Lukuvi unatarajiwa ku…
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, William Lukuvi unatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Karimjee jijiini Dar es Salaam Jumamosi…
Kutoka urembo hadi siasa: Safari ya Dorcas Francis isiyoyumba
Wakati wengi wakiamini tasnia ya urembo ni lango la umaarufu na mitindo pekee, kwa Dorcas...
Jeshi la Yemen latangaza utayari wa kujiunga na Iran kupambana na maadui
Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa…
Machi 27 kila mwaka Dunia huadhimisha ‘Siku ya Sanaa za Maonesho Jukwaani’ huku simulizi, utamaduni na mabadiliko katika jamii v…
Machi 27 kila mwaka Dunia huadhimisha 'Siku ya Sanaa za Maonesho Jukwaani' huku simulizi, utamaduni na mabadiliko katika jamii vikitajwa kuathiri maonesho ya jukwaani. Wadau wa sanaa nchini nao wamezugumzia…
Baraza la Haki za Binadamu la UN lalaani kwa kauli moja shambulio la Marekani na Israel dhidi ya shule Minab, Iran
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) limelaani shambulio la Marekani na Israel dhidi ya Shule ya Shajareh Tayyebeh katika mji wa Minab, kusini mwa Iran, ambapo…
Kufuatia ukosefu wa njia rasmi ya kuwasaidia wananchi wanaoishi karibu na Shule ya Sekondari Kayanga wilayani Karagwe kuzifikia …
Kufuatia ukosefu wa njia rasmi ya kuwasaidia wananchi wanaoishi karibu na Shule ya Sekondari Kayanga wilayani Karagwe kuzifikia huduma muhimu za kijamii, kaya zaidi ya 60 zimeanzisha utaratibu wa kutenga…
Araghchi: Mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Minab ni sehemu ndogo tu ya uhalifu wa Marekani na Israel
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Minab yaliyotekelezwa na Marekani na Israel ni “sehemu ndogo tu ,” ya uhalifu wa kivita unaofanywa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 28, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
#FIFASeries Wenyeji wameanzia kwenye ‘4G’, mbele ya ‘Prezidaa’ wao, Paul Kagame
#FIFASeries Wenyeji wameanzia kwenye ‘4G’, mbele ya 'Prezidaa' wao, Paul Kagame. FT: Rwanda 4-0 Grenada Jumapili ni Tanzania vs Macau LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated…
90’ | #FIFASeries
90’ | #FIFASeries Rwanda 4-0 Grenada Iko LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated with FetchRSS)
Madaktari 30 raia wa China kutoa huduma za afya bure Ubungo
DAR ES SALAAM: Madaktari 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.…
75’ | #FIFASeries
75’ | #FIFASeries Rwanda 3-0 Grenada Iko LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Rwanda #Grenada #RwandaGrenada (Feed generated with FetchRSS)
Baadhi ya wadau wa sekta binafsi nchini wameonesha wasiwasi kuhusu utekelezaji wa mpango rasimu ya awamu ya pili ya mpango wa ku…
Baadhi ya wadau wa sekta binafsi nchini wameonesha wasiwasi kuhusu utekelezaji wa mpango rasimu ya awamu ya pili ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji yaani MKUMBI. Joseph…
TET, taasisi kuboresha mitaala wanafunzi wenye mahitaji maalumu
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari, imeanza maboresho ya maudhui ya mitaala ya somo la hesabu…
Mbio zatoa hamasa AFCON 2027
ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Yusuph Singo, ameipongeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa…
MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”
MZIZIMA DERBY: “…hajawahi kufurukuta…tunahitaji kumpiga hata mara tano”. Mashabiki wa Azam FC wanasema mechi yon a Simba wameishamaliza…., wanasema Simba kwao ni kama muembe wa nyumbani…., wanasema wanamuamini kocha wao…
MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”
MZIZIMA DERBY: “…tarehe 5 hatuna msamaha…sasa tuna watu….walitufanya kitu mbaya wakati timu yetu mbovu”. Cheche za mashabiki wa Simba kuelekea Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, Aprili 5; Wenyewe…
‘Maadili ni msingi uongozi bora’
MOROGORO: OFISI ya Rais ,Sekretarieti ya Maasili ya viongozi wa Umma imewataka viongozi kuzingatia misingi ya maadili kwenye utumishi wao kwani huimarisha imani ya wananchi kwa Serikali na taasisi zake…
Filamu yaibua mjadala haki za waafrika
KAMPUNI za Afric Media Group na Genesis Entertainment Agency kutoka Cameroon zimefanya leo onesho la makala fupi iitwayo Universal Justice Without Universality, inayolenga kuangazia masuala ya haki za kimahakama barani…
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt Aneth Komba amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui …
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt Aneth Komba amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui ya Kuhesabu katika “Kalimani App” kwa kutumia mtaala ulioboreshwa…
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu Mkoa wa Tabora, Bunzali Jidola (30), anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi m…
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu Mkoa wa Tabora, Bunzali Jidola (30), anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili kwa kumchinja na kitu chenye ncha kali. Aidha, mwanaume…
Madaktari 30 kutoa huduma bure Ubungo
MADAKTARI 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, mnamo Machi 28…
Wivu wa mapenzi wapelekea mauaji Igunga
MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili,…
Diarra : Afungiwa mechi 3 , faini milioni 4
KIPAwa Young Africans SC, Djigui Diarra, amekumbana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni nne kutokana na utovu wa nidhamu katika mchezo dhidi ya Mtibwa…
Wasira awaonya walioanza mbio za Urais
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akisema muda wa kufanya hivyo bado haujawadia. The post Wasira…
Unavyoweza kumtambua mtoto mwenye usonji
Usonji kitabibu hujulikana kama Autism, ni dosari katika ukuaji wa ubongo ambayo ni sehemu ya...
Glakoma: Adui wa macho anayesababisha upofu
Wakati idadi ya watu wenye matatizo ya macho ikiendelea kuongezeka duniani, wataalamu wa afya...
Umeme: Mkakati mpya kuanza Julai
SERIKALI itaanza utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Ufanisi wa Nishati, Julai Mosi mwaka huu ili kuimarisha matumizi bora ya umeme na kupunguza gharama kwa watumiaji. The post Umeme: Mkakati…
Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Manispaa ya Morogoro, Mkoani Morogoro, imeandika historia mpya baada ya kuibuka kinara wa ufa…
Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Manispaa ya Morogoro, Mkoani Morogoro, imeandika historia mpya baada ya kuibuka kinara wa ufaulu katika shule za kata, kufuatia kupata wastani wa GPA 3.45 kwenye…
Msanii wa Hip Hop aapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Nepal
Mwanamuziki wa zamani wa Hip Hop aliyegeukia siasa, Balen Shah, ameapishwa kuwa Waziri Mkuu...
Mahakama ilivyowabana wanaodaiwa mabilioni ya fedha na Rugemalira
Jitihada za wadaiwa wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited zimegonga ukuta baada...
Jaji ahimiza maboresho ya mifumo ya kisheria kuwavutia wanawake sekta ya usuluhishi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo cha Usuluhishi, Zahra Maruma amesema...
Afya ya baba inavyoweza kuongeza hatari kwa mjamzito
Kwa muda mrefu mjadala wa afya ya ujauzito umejikita zaidi kwa mama, huku baba akionekana...
Tughe Morogoro yaomba watumishi wapya
Serikali imeombwa kuidhinisha vibali vya ajira mpya kwa Idara ya Uhamiaji nchini ili kuondoa...
Winnie Odinga atoa kauli baada ya Oburu kuidhinishwa kuwa kiongozi mpya wa ODM: “With all humility”
ODM ilimthibitisha Oburu Odinga kuwa kiongozi wa chama baada ya kukaimu kwa miezi mitano, huku viongozi wakiahidi umoja na mageuzi kabla ya uchaguzi wa 2027.
Polisi wamkamata kijana kwa mauaji
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Gilbert Edwin Mwabulesi (26), mkazi wa Kijiji cha Ibililo, Wilaya ya Rungwe, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Edwin Mwabulesi (65), kwa…
Mwanaume Mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30) Mkazi wa kata ya mwamakona Wilaya ya Igunga mkoani anadaiwa kumuua …
Mwanaume Mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30) Mkazi wa kata ya mwamakona Wilaya ya Igunga mkoani anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa kike mwenye umri wa miezi miwili…
Wakulima wazuiwa kuuza korosho nje
MKUU wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, amepiga marufuku wakulima wa zao la korosho kuuza mazao yao nje ya mkoa huo, akiwataka kutumia mfumo wa stakabadhi ya ghala pamoja na…
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India. Hatua hii kubwa ya kimkakati siyo tu safari ya mafunzo,…
Uhamiaji yaichapa Black Sailors 2-1
TIMU ya Uhamiaji, imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Black Sailors katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Ijumaa Machi 27, 2026 kwenye Uwanja wa Mao Zedong B, ikiwa…
Wananchi 1,000 waishio mazingira magumu waguswa mkono wa Pasaka Mbeya
Zaidi ya Watu 1, 000, waishio katika mazingira magumu wakiwepo wazee walemavu ,yatima kupatiwa...
Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara
RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mazingira ya biashara nchini Tanzania yameendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kufuatia hatua za serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kikodi vilivyokuwa vikiwakwamisha…
Mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation kuanza Jumamosi
TIMU 20 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, zinatarajiwa kushiriki michuano ya Afrika ya mchezo wa mpira wa kikapu kwa vijana yanayoanza kesho Jumamosi Machi 28, 2026.
Watendaji watajwa kikwazo cha biashara
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amesema juhudi za kuboresha mazingira ya biashara nchini Tanzania zinakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadili mitazamo ya watendaji…
Urais 2030 waanza kuitikisa CCM, Wasira aonya
Mbio za urais mwaka 2030 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) zimeanza kufukuta ndani ya chama...
Tanzania banks on the Economic Freedom Audit Report to drive policy reforms by 2050
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s…
Kimani Ichung’wah Azomewa Kiambu Mbele ya William Ruto wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais
Mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung'wah alipata mapokezi ya chuki alipoandamana na Rais William Ruto katika ziara yake ya kikazi Kaunti ya Kiambu mnamo Ijumaa, Machi 27.
Dk Mwinyi aibua nafasi ya sekta binafsi kufikia uchumi wa juu
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ili Tanzania ifikie uchumi wenye thamani ya dola za...