🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….MACHI 25 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 25 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 25 2026 (Feed generated with FetchRSS)
ZANZIBAR: ZANZIBAR has stepped up efforts to diversify its tourism sector during the first 100 days of the government’s second phase, focusing on new products and international visibility. Acting Minister…
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limetoa wito wa “kujizuia” muda mfupi baada ya Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran kuripoti shambulio lingine, ambalo halikusababisha uharibifu wowote,…
DAR ES SALAAM: HOPES are rising that treatment for Tuberculosis could be shortened to as little as three months, following promising clinical trials underway in Tanzania. Researchers say the current…
Nchini Burkina Faso, wanajeshi wa Burkina Faso na washirika wao (VDP) wamekabiliwa tena na shambulio la wanajihadi kutoka Kundi linalodai kutetea Uislamu na Waislamu (JNIM). Shambulio la hivi karibuni lilitokea…
US owned firm to invest 700bn/- to develop niobium mine MBEYA: THE government has signed a package of agreements with Panda Hill Tanzania Limited, a US -owned company, to accelerate…
Mohamed Salah ataondoka Liverpool akiwa miongoni mwa wachezaji bora wa wakati wote na alama ya Ligi Kuu ya Uingereza, amesema mchambuzi wa soka Phil McNulty.
Soma zaidi hapa...
Kashfa ya kifedha inatikisa serikali ya Kinshasa baada ya kugunduliwa siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita kwa kiasi kikubwa cha pesa. Ingawa mamlaka hapo awali ziliripoti karibu dola milioni mbili…
NAIROBI: FOLLOWING the bold public statements by constitutional lawyer and governance activist Willis Evans Otieno under the slogan “We Refuse to Pay What’s Unlawful,” public debt in Kenya has once…
Wamiliki wa magari jijini Kinshasa nchini DRC, kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita, wanashuhudia uhaba wa mafuta kwenye vituo vya kuuza bidhaa hiyo, huku misururu mirefu ikishuhudiwa hali inayodaiwa kuchangiwa na…
Tangu Machi 22, mapigano makali yameendelea kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na washirika wao katika eneo la Blue Nile kusini-mashariki mwa Sudan. Imechapishwa:…
Jiji la Tanga, linalosifika kwa upepo mwanana wa bahari na mandhari ya minazi, limeendelea...
Waziri wa zamani Raphael Tuju amelazwa katika ICU baada ya polisi kudaiwa kumtendea visivyo. Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka alilaani ukatili dhidi ya Tuju.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 25, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Kauli za pande zote mbili zinapingana, huku Trump akisisitiza kwamba mazungumzo "yanaendelea" kati ya Marekani na Iran na kwmaba Iran inaonyesha utayari mkubwa wa kufikia makubaliano, lakini viongozi wa Tehran…
Nchi ya Eritrea juma hili itamaliza miaka 18 ya kujitenga na Kombe la Mataifa ya Afrika wakati watakapowakaribisha Eswatini katika jiji la Morocco la Meknes kwa ajili ya mechi ya…
Magazeti ya kila siku yanaangazia Matatizo ya kiafya ya Raphael Tuju akiwa chini ya ulinzi wa polisi huku kukiwa na mgogoro wa mal. Pia ufukuaji wa miili 33 Kericho.
Soma zaidi hapa...
Nchini Iraq, mamlaka imetoa “haki ya kulipiza kisasi na kujilinda” siku ya Jumanne jioni kwa Kikosi cha wanamgambo wa zamani cha Hachd Al-Chaabi na vikosi vya usalama ili kukabiliana na…
Mikoa ya Kanda ya Ziwa sambamba na mikoa ya Tabora na Singida kwa pamoja inatajwa kuwa na tishio la ugonjwa wa Polio baada ya tafiti kubaini uwepo wa vimelea vya…
Mchekeshaji mkongwe Flaqo azungumzia uvumi wa kuchumbiana na Cindi, afichua huzuni ya zamani, na kufafanua dhana potofu zinazozunguka maisha yake ya faragha.
Soma zaidi hapa...
Changamoto ya baadhi ya wanafunzi kutembea umbali mrefu katika Kata ya Fukayosi, iliyobainishwa...
Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wametangaza siku ya Jumatano, Machi 25, kwamba wamerusha makombora kuelekea Israel, Kuwait, Bahrain, na Jordan, kulingana na televisheni ya serikali (IRIB). Imechapishwa: 25/03/2026 – 05:28…
Fuatilia mahojiano maalumu Muda huu na aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la utangazaji TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Baraza la nchi wanachama za Umoja wa Mataifa, hivi leo litapiga kura kuhusu azimio lililowasilishwa na Ghana kuhusu kutambua biashara ya utumwa barani Afrika kama ‘uhalifu mkubwa dhidi ya binadamu’,…
Tehran inaeleza kama sharti kwamba “hawashiriki au kuunga mkono vitendo vya uchokozi dhidi ya Iran,” katika taarifa iliyotumwa kwa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Baharini (IMO). Imechapishwa: 25/03/2026 –…
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta imetoa siku 7 kwa familia kuchukua miili 480 ambayo imehifadhiwa hapo kwa muda mrefu, ikionya huenda ikachukua hatua ya kuzika
Wananchi wa vijiji vya Ntinga na Chindi kata ya Msangano mkoani Songwe waliokuwa wakilazimika kuvuka mto Nkana kwa kutumia mitumbwi huku wakitozwa gharama kubwa wameondokana na adha hiyo kufuatia ujenzi…
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu ya White House, Trump alisema Iran inaonesha utayari mkubwa wa kufikia makubaliano, wakati ambapo mashambulizi ya makombora kati ya Iran na Israel yakiendelea.
Nchini Kenya, karibia miili 33 imefukuliwa kutoka katika kaburi la pamoja katika kaunti ya Kericho kwenye mkoa wa bonde la ufa. Watu wawili wakiwa tayari wanashikiliwa na polisi wakuhusishwa na…
Rais William Ruto alizindua miradi ya mabilioni huko Siaya ili kukuza uchumi wa Ziwa Victoria, kuboresha uvuvi, na kuunda ajira, na kuhakikisha maendeleo jumuishi.
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Vuguvugu la vijana Kenya almaarufu "Niko Kadi", linalenga kura 18M kufikia 2027 ili kumtoa Ruto na utawala wake na kuharibu mfumo wa siasa za wanasiasa waliozoeleka.
Safari ya maisha ya mwanadamu ni hadithi inayosisimua na kuleta mchanganyiko wa hisia na unapomuona akiwa mtu mzima au mzee basi tambua ni kweli 'Amekwepa mishale mingi'. Akiwa na miaka…
Miili thelathini na tatu imepatikana katika kaburi la halaiki Kericho, ambapo mamlaka hapo awali ilikuwa imegundua miili 14. 25 ni ya watoto na 8 ni ya watu wazima.
Kiungo wa Newcastle, Sandro Tonali, anataka kurejea Italia licha ya kuvutiwa na klabu za Manchester, Ben White anaweza kuondoka Arsenal, na kocha wa Bournemouth, Andoni Iraola, anatazamwa na klabu nyingine…
Mshambualiaji Mohamed Salah (33), leo Jumanne ametangaza rasmi kuwa ataachana na Liverpool...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mb) leo Machi 24, 2026 amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa…
FIFA SERIES | “….Yusuph Kagoma tumemuacha Dar es Salaam” Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars kimewasili salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda, tayari kwa maandalizi…
ALLY KAMWE: “…. Yanga itarudi kutoa kichapo”. Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amefafanua sababu za kumuongeza Abdihamid Moalin kuwa kocha msaidizi, akiweka wazi kuwa uamuzi huo…
FIFA SERIES | Baadhi ya wanahabari walioko Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya FIFA Series wanaeleza kuridhishwa na mapokezi huku wakitoa tathmin kuhusu vikosi vya timu zao pamoja…
Afya ya waziri wa zamani Raphael Tuju ilizidi kuzorota alipokuwa akipelekwa katika Mahakama ya Kibera kufuatia kukamatwa ghafla. Alikimbizwa Karen Hospital.
FIFA SERIES | Kuelekea michuano ya FIFA Series nchini Rwanda, leo Gift Macha anatupitisha kwenye mambo usiyoyajua kuhusu Uwanja wa Amahoro, ukiwa ni mmoja kati ya viwili vitakavyotumika. ✍️ @amosimasokotz…