Serikali yadhamiria wananchi kupata makazi bora, nafuu
DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Watanzania hususan vijana, wanapata makazi bora na ya gharama nafuu kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa…