Mbunge Ulaya atoa wito wa uchunguzi kuhusu mauaji ya wanafunzi wa shule ya Minab
Mwakilishi wa Bunge la Ulaya ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wasichana wa Shule ya Msingi ya Minab kusini mwa Iran, akisema…