Respect defines Dar derby clash
DAR ES SALAAM: THE Dar Derby takes place today at Major General Isamuhyo Stadium, with both Simba and Young Africans coaches stressing the respect they have for each other ahead…
DAR ES SALAAM: THE Dar Derby takes place today at Major General Isamuhyo Stadium, with both Simba and Young Africans coaches stressing the respect they have for each other ahead…
MTWARA: MIRADI ya maendeleo 7 yenye thamani ya Sh bilioni 2 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2026. Mwenge huo umepokelewa leo Mei 3, 2026…
Baadhi ya akina mama nchini Cameroon wamesema kuwa wameshuhudia maboresho makubwa katika afya za watoto wao baada ya kutolewa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa malaria.
Raia wa Tanzania, Anthony Juma maarufu Kipara, anashikiliwa na vyombo vya dola nchini Kenya...
DAR ES SALAAM: THE President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame, has arrived in the country for a one-day working visit aimed at strengthening bilateral relations between Tanzania and…
DAR ES SALAAM: THE other morning, at a perfectly respectable hour when one ought to be minding one’s tea and pretending to be productive, I received a music video clip…
Wizara ya vita ya Marekani Pentagon imetangaza rasmi kuwa, itawaondoa wanajeshi 5,000 wa nchi hiyo walioko Ujerumani; uamuzi ambao utatekelezwa ndani ya muda wa miezi sita hadi kumi na mbili…
DAR ES SALAAM: PEACE is often seen as a mere absence of conflict, but its true essence goes much deeper. It is the foundation upon which all aspects of a…
KOCHA Mkuu wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema hadi sasa msimu huu timu hiyo iko katika uelekeo mzuri Championship, licha ya ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wao wakubwa, ambao kila…
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kukosekana kwa wiki mbili kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu, nyota huyo ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho, huku…
LICHA ya mwenendo usioridhisha wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, kocha mkuu wa timu hiyo, Ally Salimu Mdoe 'Bai' amesema moja ya rekodi asiyoitaka itokee ni…
BEKI wa kushoto wa Barberian FC, Hamza Shabani amesema licha ya mwenendo mbaya wa timu hiyo msimu huu hadi sasa katika Ligi ya Championship, bado hawajakata tamaa kwa sababu tofauti…
KOCHA Mkuu wa Songea United ya mkoani Ruvuma, Juma Masoud amesema katika mechi sita za timu hiyo zilizobaki kumalizia msimu huu, ni za kuweka pia heshima kwa sababu ni ngumu…
DODOMA: As Tanzania aspires to become a one-trillion-dollar economy within the next 25 years under the ambitious Vision 2050, morality has been identified as a key pillar in achieving that…
Katika jamii nyingi za Nigeria,thamani ya mwanamke bado inahusishwa na uwezo wake wa kuoleka na kuzaa, ila kwa sasa wanawake wengi nchini Nigeria wanachagua kutokuwa na watoto, si kwa sababu…
Katika karne hii ya 21, kumekuwapo na mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.
Katika pitapita yetu mitandaoni, tumeona clips nyingi zinazopotosha hasa kwa wanandoa.
Katika ulimwengu wa sasa, wengi huingia kwenye ndoa au uhusiano, wakiamini kuwa mapenzi ya...
Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya elimu ya mapenzi imekuwa ikitajwa sana katika magazeti,...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahimiza wawekezaji kujitokeza kuwekeza...
Patakuwa hapatoshi Old Trafford pale ambapo vigogo wawili wa soka la England, Manchester United...
Klabu ya Ipswich Town imerejea rasmi katika Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi hapo jana...
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa uamuzi wa Marekani kuondoa wanajeshi 5,000 kutoka nchini humo ulikuwa “unatabirika,” huku muungano wa kijeshi wa NATO ukisema kuwa unatafuta ufafanuzi kutoka Washington.
Mechi ya Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye...
Mechi ya Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye...
Katika zama hizi mwanamuziki au kundi la muziki kujikita kushirikiana na chama cha siasa...
Mkongwe katika Bongo Fleva nchini Joseph Haule ‘Profesa Jay’ amerudi katika majukumu yake, hii...
Wakati takwimu zikionesha wachezaji wa Arsenal wamekosa jumla ya mechi 262 kwa klabu na timu za...
Baada ya kupindua ardhi juu chini na Chemsha Bongo. Hapo akiwa na kundi la Hard Blasters, ikiwa...
Liverpool wametoa ofa ya kumnunua mlinzi wa kati wa Uholanzi, Sam Beukema.
Ninakukaribisha msomaji wangu katika tafakari ya leo inayotukumbusha namna ya kuishi katika...
DODOMA: THE government, through the Information and Communication Technologies Commission (ICTC), is in the final stages of developing a major Swahili Large Language Model aimed at advancing the use of…
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Kenya are set to seal major trade and investment deals at a high-level business forum during President William Ruto’s State visit. The Tanzania-Kenya Business Forum…
MAKAMBAKO: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has warned against attempts to incite unrest, urging citizens to safeguard peace while taking decisive steps to address citizens’ grievances during his visit to…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
DAR ES SALAAM: MAJORITY of Tanzanians believe the country’s media operate freely, according to a new survey by Afrobarometer, which ranks Tanzania as the top performer in Africa on perceived…
DAR ES SALAAM: ANALYSTS have said visits by President Paul Kagame and President William Ruto signal a renewed commitment to regional economic integration, with Tanzania increasingly emerging as a strategic…
Jukwaa la AfroExchange Aprili 30,2026 liliwakutanisha wadau mbalimbali wa tasnia ya muziki...
Bodi ya Utalii nchini (TTB) imesema imeanzisha rasmi utaratibu wa mashindano ya kukimbia kila ifikapo Mei kwa ajili ya kulitangaza eneo la Kitulo ambalo lilishinda Tuzo ya Hifadhi Bora ya…
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu, ikinukuu taarifa ya…
Ndani ya maji ya Ziwa Victoria, mapinduzi ya ufugaji wa samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba yanaendelea kushika kasi, yakichochewa na mikopo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi…
Kajuna FC ya Kigoma imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2026, baada ya leo Jumamosi, Aprili 2, 2026, kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kahama…
Samaki aina ya jodari, maarufu kama tuna, ni kitoweo chenye thamani kubwa kiuchumi na kiafya katika maeneo mengi duniani, huku biashara yake ikiendelea kuwa tegemeo muhimu kwa wavuvi, wachuuzi na…
Naibu waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosoa namna serikali ya Donald Trump inavyosimamia suala la vita dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington haina…
ILE Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam, ambapo Simba itakuwa mwenyeji
Iran imesema kuna uwezekano wa vita kati yake na Marekani na Israel kuanza tena, huku ikisisitiza kuwa iko tayari kikamilifu kwa mapambano na kuchukua hatua mpya. Wakati Iran ikitoa kauli…
Tani 4.8 za bidhaa za maziwa ya watoto aina ya SMA namba 1 zimeteketezwa Zanzibar baada ya kubainika kuwa si salama kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuathiriwa na bakteria.…
Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki Kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani Imedhamiria kuwatumia watanzania wanao ishi ughaibuni hususani nchini Ujerumani kama kete Muhimu ya kujenga…
Kampuni ya Azam Ice Cream imefungua duka jipya katika eneo la Tabata Kimanga, Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kusogeza huduma zake karibu na wateja wake. Duka hilo lenye…
Wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameushambulia msafara wa Sumud wa meli za kimataifa na kuzuia kupelekwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro na utawala wa…