Vijana watangaziwa fursa ya makazi ya bei nafuu
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema vijana walioanza ajira karibuni na wale waliojiajiri...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema vijana walioanza ajira karibuni na wale waliojiajiri...
Watahiniwa 133,655 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa kumaliza kidato cha sita (ACSEE) wa mwaka...
Mwalimu Mkenya Jared Ngere amepepea mitandaoni kufuatia maelezo yake nadhifu ya uhasibu, akiwavutia watu kwa mwandiko wake safi huku akielimisha umma kuhusu biashara
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan said trade and investment cooperation between Tanzania and Rwanda has grown significantly, reaching approximately 644bn/- based on 2025 figures. President Samia made the…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Paul Kagame of Rwanda said his government is in the process of identifying and honouring Tanzanians who provided humanitarian and heroic support during the Rwandan Genocide…
Tanzania na Rwanda zimeapa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kiuchumi, huku Rwanda, kwa...
DAR ES SALAAM: THE University of Dar es Salaam (UDSM) has initiated strategic partnership discussions with Harvard University aimed at strengthening the use of Artificial Intelligence (AI) in education, research,…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S national carrier, Air Tanzania Company Limited, has officially launched direct flights from Dar es Salaam to Seychelles, in an event led by the Minister of Transport,…
MAFINGA: THE Tanzania government has pledged to continue working closely with religious institutions in strengthening moral values, social cohesion, and maintain peace as a foundation for the sustainable national development.…
Mjane wa marehemu seneta Ben Oluoch anapika mandazi kujikumu, na kuzua maswali kuhusu hali yake ya kifedha huku kukiwa na stahili za pensheni na maoni ya umma.
Katika hali iliyozua gumzo miongoni mwa mashabiki na wadau wa soka, kikosi cha Yanga kimetumia...
Kampuni ya Bima ya CRDB Insurance imetangaza kupata faida baada ya kodi ya Sh4.4 bilioni kwa...
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati Kuu...
ARUSHA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ya utalii ikolojia wameanza kuimarisha miundombinu ya utalii na uwekezaji wa kuongeza maeneo ya malazi ili…
Dabi haina kipengele ,uwanja hauna kipengele Nani analia leo? (Feed generated with FetchRSS)
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wananchi wa Wilaya ya Makambako mkoani Njombe na Watanzania kwa ujumla kuilinda na kuithamini miradi ya Umwagiliaji inayotekelezwa na Serikali kwa kuwa ni…
Mkuu wa Maliasili kupitia Ujumbe wa Umoja wa Ulaya, Lamine Diallo (katikati) akizindua rasmi...
Wakati Tanzania na Kenya zikitarajiwa kufanya jukwaa la uwekezaji na biashara kesho Jumatatu...
Kumekuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii nchini, baadhi ya wachangiaji wakihoji hatua ya...
DAR ES SALAAM; MECHI ya Simba dhidi ya Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara itachezwa Jumapili Mei 3, 2026 kuanzia saa 12 jioni, Ilikuwa inaonekana mbali sana. Ipo hivi Mei 3,…
Aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta alifichua kuwa aliugua baada ya safari, jambo lililozua wasiwasi miongoni mwa Wakenya waliomiminika kwenye mitandao wakimuombea.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO limethibitisha Jumapili Mei 03, 2026 kuwa linazo taarifa na linasaidia kushughulikia tukio la afya ya umma kuhusu ugonjwa wa Hantavirus ulioripotiwa…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa onyo kali kupitia ujumbe wake kwa ajili ya maadhimisho ya mwaka huu wa 2026 ya Siku ya…
Mbunge Ruth Odinga alitoa wito wa kuwepo kwa umoja wa ODM akiwataka viongozi wa makanisa kuunganisha makundi yanayozozana kwa mustakabali wa urithi wa Raila Odinga.
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha uwezo wa uongozi katika sekta ya afya kupitia awamu ya...
Historia ya Kenya ya kutumia makundi ya kihalifu yaliyoungwa mkono kisiasa inaanzia miaka ya mapema ya 1990, wakati mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa.
MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya ameweka wazi mafanikio ya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake yanatokana na mipango waliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.
LICHA ya Simba Queens kuendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2025/26, kuna presha ya kuwania ubingwa kwa Yanga Princess na JKT Queens zinazoendelea kukimbiza…
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini...
Watanzania wametakiwa kuwakumbuka watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa...
ALIYEWAHI Kocha wa zamani wa Ruangwa Queens, Mwinyi Zahera amesema ili timu hiyo isalie Ligi Kuu msimu ujao, inapaswa kufanya mambo mawili.
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukutana na Simba Queens na Yanga Princess ni somo kubwa kwa kikosi chake licha ya kupoteza michezo hiyo.
Serikali imesaini mkataba wa mradi wa kimkakati wa uchimbaji na uvunaji wa gesi ya helium kwa...
BAADA ya kuenea tetesi za huenda Kiungo wa Taifa Stars, Alphonce Mabula akaondoka Shamakhi FC ya Ligi Kuu ya Azerbaijan mwishoni mwa msimu, amesema bado anatafakari kuhusu ofa zinazokuja mezani.
Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea katika eneo la Sayyida Zainab mjini Damascus, ambalo limepelekea kuuawa shahidi Sayyid Farhan Hassan Al‑Mansour, mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu na khatibu wa…
Viongozi wa vyama vya upinzani wameitaka Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania...
KUTOKANA na kiwango anachoendelea kuonyesha mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Saudi Arabia, kimeifanya menejimenti yake kutamba.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limelishukuru taifa la Iran kwa kusimama kidete kuilinda nchi na msimamo wake imara wa Kiislamu kupitia maandamano ya kuonyesha umoja na mshikamano…
KIUNGO mshambuliaji wa She Corporate FC ya Ligi Kuu ya Wanawake Uganda, Husna Mpanja amesema mechi mbili zilizosalia kwenye ligi zinawabana na kuwapa presha kubwa kwenye harakati za kuwania ubingwa.
Serikali imekemea tabia ya baadhi ya watumishi kutokujali na kuthamini rasilimali za umma...
KOCHA Msaidizi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, Sabri China amesema ushiriki wao katika Kombe la Muungano umekuwa kipimo kizuri kwa timu hiyo na imerudi kwenye ubora…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye amejigamba kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani limetekeleza operesheni “kama maharamia” katika mzingiro wa…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Sheria na Kimataifa ameweka wazi msimamo rasmi wa Iran kuhusu juhudi zinazoendelea kufanywa kwa ajili ya kufikiwa mapatano…
Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Hamas, Mohammed Nazzal, amesema kuwa ombi la kukabidhiwa silaha za harakati hiyo ni kisingizio kinachotumiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kukwepa utekelezaji…
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.
“Wako wapi?” Ndilo swali linaloendelea kuumiza vichwa vya ndugu na jamaa wa Kareen Marc Didas...