Kajuna mabingwa RCL ikiichapa Kahama Madini
Mabao ya Kajuna katika mchezo wa leo yamefungwa na Yusuph Kakoko katika dakika ya 60 na Abas...
Mabao ya Kajuna katika mchezo wa leo yamefungwa na Yusuph Kakoko katika dakika ya 60 na Abas...
NI wazi kiwango alichokionyesha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello kwenye mechi za hivi karibuni kinaenda kuwapa chalenji mabeki wa Simba. Ni mchezaji ambaye japo hana takwimu nzuri za kufunga…
#HABARI:Mwalimu Geofrey Pascal Paul wa Shule ya Sekondari Hai mkoani Kilimanjaro ameibuka mshindi wa gari aina ya Mazda CX5 kupitia kampeni ya “Mwaka Umenyooka” inayoratibiwa na My Airtel App, na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU MEI 02 , 2026 -MVUA YAVUNJA MADARAJA ARUSHA (Feed generated with FetchRSS)
Dar es Salaam. Changamoto ya ramani duni na ukosefu wa njia rafiki za dharura kwa magari ya...
#HABARI: Mwenyekiti wa Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kuwa mstari wa mbele katika kujenga na kulinda agenda ya amani, umoja na mshikamano wa taifa. Kiliba amesema hayo leo…
MACHO ya mashabiki wa soka kwa sasa nchini, yanaelekezwa Mei 3, 2026, kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, jijini Dar es Salaam, wakati watani wa jadi Simba na Yanga…
Kanali Mtambi amesema kumekuwepo na tabia ya polisi kuchukua hatua baada ya uhalifu kutokea...
Dk Munisi ni Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi ambaye hivi karibuni Rais Samia alimteua...
Amesema barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa eneo hilo na taifa kwa ujumla kutokana na uwepo...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Tabora limefanya zoezi la usafi pamoja na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tabora na maeneo mbalimbali mkoani…
ACROSS Tanzania, a quiet yet significant transformation is unfolding within communities, steadily reshaping livelihoods for youth, women and people with disabilities. What began as a policy mechanism within local government…
Matokeo mazuri katika michezo mitano mfululizo yameonekana kumpa jeuri Kocha Mkuu wa TRA United, Ettiene Ndayiragije, akitamba kuwa hesabu si za nafasi nne tu bali hata ubingwa, ili kuitambulisha rasmi…
Mnyika amesema operesheni itakayofanyika itakuwa na awamu mbili, ambapo ya kwanza itaanza wiki...
Jeshi la Iran, linasema kuna uwezekano vita kati yake na Marekani huenda vikarejea, na Tehran ipo tayari iwapo Washington itaanza mashambulizi mapya. Imechapishwa: 02/05/2026 – 17:58Imehaririwa: 02/05/2026 – 18:00 Dakika…
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limewashtumu maafisa wa usalama nchini Uganda kwa kuwauwa watu 16 kwa kuwapiga risasi huku mamia ya wafuasi wa upinzani…
DAR ES SALAAM: AS Tanzania navigates a rapidly shifting global landscape marked by evolving security dynamics, political realignments and the growing influence of digital communication, a quiet but consequential threat…
Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, kesho Jumapili Mei 3,2026 itakutana kwa dharura kujadili...
DAR ES SALAAM: RECENTLY in Dar es Salaam, a discussion emerged in a meeting between MyLegacy and civil society organisations centered on how best to elevate women’s voices in climate…
GEITA: MKUU wa mkoa wa Geita, Martine Shigela amekemea tabia ya waajiri hususani maofisa utumishi wa ofisi za umma kukwamisha watumishi kubadilisha kada na kupandishwa madaraja. Shigela ametoa kauli hiyo…
Ziara hizo zinakuja wakati mataifa ya Afrika Mashariki yakiongeza juhudi za kuimarisha uhusiano...
NJOMBE: BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema utalii wa michezo umeendelea kuwa nguzo muhimu ya kuongeza mapato kwa jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa, huku wananchi wa maeneo hayo wakinufaika kupitia…
Katika hoja zake, alidai kunyimwa haki ya msingi ya kusikilizwa kwa kuwa hakupatiwa ripoti ya...
DAR ES SALAAM: YOUTH are the backbone of any nation’s development and future progress. They represent energy, creativity, innovation, and the drive to change society for the better. In every…
Kahama. Askofu wa jimbo Katoliki la Kahama Christopher Ndizeye amesema kanisa hilo limedhamiria...
Wadau wa maendeleo nchini wameitaka Serikali kuwachukulia hatua watu wote waliotajwa katika...
TIMU ya Black Sailors, imefanikiwa kupanda daraja kushiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kufikisha pointi 65 katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja.
KOCHA Malale Hamsini, ameweka wazi kuachana na Klabu ya KVZ inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili kuhusu masuala ya kusitisha kimkataba.
MABOSI wa Simba wanaendelea na mchakato wa kuangalia maeneo ya kuboresha kwa ajili ya msimu ujao, ambapo mojawapo linaloangaliwa zaidi ni la beki wa kulia, analocheza nyota wa timu hiyo,…
Jeshi la Polisi imesema msako unaendelea kuwabaini na kuwakamata watu wengine wanaodaiwa...
Amesema taarifa alizonazo zinaonesha kuwa vijana wengi wanaofanya kazi katika viwanda na...
DAR ES SALAAM: ZOOLOGISTS say that Udzungwa Mountains National Park is home to the elusive Udzungwa forest partridge. Scientists describe partridges as medium-sized galliform birds belonging to several genera, with…
DAR ES SALAAM: AGENDA for Environment and Responsible Development (AGENDA) is a Tanzanian civil society organisation established in 1997 following the completion of a project funded by the Danish International…
Kuelekea siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani Mei 3 mwaka huu tunarejelea chapisho la mwezi Agosti mwaka jana la simulizi ya mwandishi wa habari wa Umoja wa Mataifa…
DAR ES SALAAM: THE opening of the China High Tech Fair in Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania, is more than just another trade exhibition. From a trade and economic diplomacy…
Wagombea hao wamechaguliwa kwa kuzingatia sifa mbalimbali zikiwemo ukaribu wao na chama pamoja...
USS Gerald R. Ford, meli kubwa zaidi ya kivita na ya gharama ya juu kuwahi kuundwa na Marekani, imelazimika kujiondoa kutoka ukanda wa Asia Magharibi baada ya siku 309 za…
Malalamiko yameendelea kumiminika baada ya Muisraeli mwenye misimamo mikali kumshambulia mtawa wa kike raia wa Kifaransa, huku Waisraeli Wazayuni wakishadidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu na Wakristo pamoja na maeneo matakatifu…
Meneja wa MRT Sacoss, Bosco Simba amesema walimu hao wakipewa mafunzo ya mara kwa mara...
Amesema uteuzi wa waamuzi wa nje haukutokana na maombi ya klabu yoyote, bali ni sehemu ya...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jeshi la Iran liko katika hali ya utayari kamili kulinda mamlaka na heshima ya taifa dhidi ya…
KOCHA wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema matokeo ya Zanzibar hayahusiani na mechi ya kesho dhidi ya Simba kwani ni mashindano ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesema ukitoa ubora wa wapinzani wao Yanga kwenye eneo la ulinzi, lakini wachezaji kama Pacome Zouzoua na Allan Okello ni hatari katika kushambulia.
OFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda, amesema kuwachagua waamuzi kutoka Morocco kuchezesha Dabi ya Kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga, si pendekezo la klabu,…
DAR ES SALAAM: EARTH Day, marked annually on April 22, is a global event that highlights the importance of protecting the environment. It raises awareness of critical issues such as…
DAR ES SALAAM: IN a political landscape often defined by rivalry and recrimination, Tanzania has offered a rare and instructive moment of collective restraint. In the aftermath of the October…
Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na utekelezaji wa...
DAR ES SALAAM: IN a postgraduate programme in which I am currently involved, there is a course titled ‘Financing Infrastructure Development’, addressing matters related to financing of big infrastructure such…