Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…
Lindi/Mtwara. Licha ya Serikali kujinasibu kuendeleza vituo vya ukuzaji viumbe maji...
Watu hawa wanne ambao walitibiwa kwa mchanganyiko wa viuavijasumu na dawa zingine kana kwamba walikuwa wakiugua malaria, wamefanikiwa kupona ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo na wanawakilisha matumaini katika mapambano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Leo ni Jumatatu 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Juni 2026.
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
Mohammad Baqir Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Iran, kupitia umoja wa kitaifa, inamrudisha nyuma adui katika vita vinavyoacha historia.
Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi…
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku…
Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
Wizara ya Sheria ya Ufaransa imetangaza kwamba idadi ya wafungwa nchini humo imefikia zaidi ya watu 88,600, ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya nchi hiyo.