Nyuma ya pazia kinachofanya Diamond asitoe albamu mpya!
Staa wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz hadi sasa ameachia Extended Playlist...
Staa wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz hadi sasa ameachia Extended Playlist...
DAR ES SALAAM: THE National Planning Commission has endorsed four major frameworks that will guide the implementation of Vision 2050, which officially takes effect on July 1st this year. The…
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Komredi Kenani kihongosi amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja…
DAR ES SALAAM: THE 2026 edition of the GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS was officially launched on Saturday, in Dar es Salaam through a fundraising walk and charity drive, with…
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay...
Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini...
Tofauti na wanamuziki wengi, Aslay alianza kuvuma akiwa bado mdogo kabisa, lakini nyimbo zake...
David Osiany alisafiri hadi Narok kumpa faraja baba aliyezunika baada ya mkasa wa kutisha moto wa Utumishi Girls kukatisha maisha ya bintiye mwenye umri wa miaka 15.
Nchini Sudan Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) halina uwezo. Kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa, zaidi ya 56% ya…
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari…
Mamilioni ya Waethiopia watapiga kura kote nchini lro Jumatatu Juni 1, 2026, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, ambao utatoa nafasi ya kuchaguliwa Waziri Mkuu. Isipokuwa huko Tigray, eneo la…
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…
Lindi/Mtwara. Licha ya Serikali kujinasibu kuendeleza vituo vya ukuzaji viumbe maji...
Watu hawa wanne ambao walitibiwa kwa mchanganyiko wa viuavijasumu na dawa zingine kana kwamba walikuwa wakiugua malaria, wamefanikiwa kupona ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo na wanawakilisha matumaini katika mapambano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Leo ni Jumatatu 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Juni 2026.
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
Mohammad Baqir Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Iran, kupitia umoja wa kitaifa, inamrudisha nyuma adui katika vita vinavyoacha historia.
Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi…
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku…
Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
Wizara ya Sheria ya Ufaransa imetangaza kwamba idadi ya wafungwa nchini humo imefikia zaidi ya watu 88,600, ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya nchi hiyo.