‘Uzingatiaji viwango, ubora si hiari’
DAR ES SALAAM: Serikali imesisitiza kuwa uzingatiaji wa viwango na ubora wa bidhaa na huduma si jambo la hiari bali ni nguzo ya lazima katika kujenga uchumi wa viwanda wenye…
DAR ES SALAAM: Serikali imesisitiza kuwa uzingatiaji wa viwango na ubora wa bidhaa na huduma si jambo la hiari bali ni nguzo ya lazima katika kujenga uchumi wa viwanda wenye…
Chembechembe hizi ndogo za mwanga mwekundu zinaweza kusaidia kuongeza kasi ya uzalishaji wa nishati ndani ya seli, hivyo kuruhusu seli zilizozeeka au zilizoharibika kurekebishwa na kuzalishwa upya, kulingana na urefu…
Magazeti yanaangazia mabadiliko ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027, yakizingatia matarajio ya Edwin Sifuna, machafuko shuleni, na usalama wa usafiri.
Marekani imedai kuzuia mashambulizi ya Iran baada ya kudungua makombora ya balistiki na ndege zisizo na rubani zilizokuwa zikielekea Mlango wa Hormuz pamoja na nchi jirani za Ghuba ya Uajemi.
Itachukua miezi kadhaa kurejesha usambazaji na kujaza tena akiba zilizopungua kufikia viwango vya awali
Real Madrid inapanga kuwasilisha ofa ya pauni milioni 130 kwa winga wa Bayern Munich, Michael Olise. Wakati huo huo, Arne Slot ameikataa ofa ya Fulham baada ya kutimuliwa na Liverpool,…
Jeshi la Iran limetangaza kuwa meli kadhaa za kivita za Marekani katika Bahari ya Oman zimelazimika kuondoka katika eneo hilo baada ya vikosi vya Jeshi la Majini la Iran kufyatua…
Ripoti mpya imefichua nafasi ya mtandao wa satalaiti wa SpaceX wa Starlink katika mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema teknolojia hiyo inayouzwa kama miundombinu ya raia imekuwa…
Ujumbe wa Msaada wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umekana kile ulichokiita "madai" yasiyo ya kweli kuhusu kuwepo mpango wa umoja huo za kuwapa makazi wahamiaji ndani ya Libya,…
Serikali ya Mali imezindua kifurushi kisicho cha kawaida cha hatua za usalama, kikijumuisha zawadi kubwa za kifedha na hatua kali, kama sehemu ya kuzidisha mapambano dhidi ya makundi ya waasi…
DAR ES SALAAM/St. Petersburg: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has firmly dismissed suggestions that Tanzania is operating under sanctions, assuring global leaders and investors that the country remains focused on development…
Leo ni Jumamosi 20 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 6 Juni 2026.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vinawasukuma mamilioni ya watu duniani kuingia katika hali ya…
Wananchi wa Mkoa wa Pwani wanatarajiwa kunufaika na fursa za ajira, ongezeko la kipato na...
With just a few days to go until the start of the 2026 Global Tournament, it’s time to discuss the most intriguing aspects of the competition. The analysis from the…
Katika kile kinachoonekana kama mapinduzi ya kimyakimya kwenye sekta ya uzalishaji na hifadhi...
Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imetumia Maonesho ya Utalii ya Karibu-KiliFair 2026 yanayoendelea...
Kombe la Dunia 2026 litaangazia makipa bora duniani, kama Alisson Becker na Thibaut Courtois, wakicheza nafasi muhimu katika matokeo ya mechi muhimu.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti kimeeleza wasiwasi wake kuhusu...
Ferdinand Omanyala alimaliza wa nane katika mbio za mita 100 za wanaume kwenye Ligi ya Diamond ya Roma, huku Noah Lyles akitwaa ushindi. Gundua zawadi atakazopata.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imejipanga kutumia fursa za mabadiliko ya uchumi wa...
Wafanyabiashara Seleman Said na Betha Laurence wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina sekta tano muhimu ambazo zinaweza kuchochea...
DAR ES SALAAM: Wakulima na wanachama wa vyama vya ushirika nchini wanatarajiwa kunufaika na ongezeko la upatikanaji wa huduma za kidijitali na kifedha kupitia jukwaa la M-Kulima kufuatia Kampuni ya…
Familia huko Narok imezama katika maombolezo baada ya Victor Kibet kugunduliwa amefariki Mombasa. Mwili wake ulilala katika makafani kwa miezi tisa bila kubainika
Watu 117 wamekamatwa kwa makosa mbalimbali mkoani Songwe katika kipindi cha mwezi mmoja...
Wakulima wa zao la miwa katika wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro wamehimizwa kutumia viuatilifu kwa usahihi na kufuata taratibu za usalama ili kujikinga na madhara yanayoweza kuathiri afya…
DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) watazindua rasmi Kituo cha Msaada kwa Wafanyakazi Wahamiaji Tanzania (TUCTA-MWRC) chenye lengo…
Serikali imesema matokeo ya tafiti mbalimbali zinazowasilishwa katika mkutano wa Kwanza wa...
PPRA YAONESHA UTAAYARI WA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) limefanya zoezi la kupima utayari wa kupambana na majanga ya moto, katika Ofisi…
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umetoa mwongozo wa uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa...
Idara ya DCI ilithibitisha kukamatwa kwa mcheshi Eric Omondi katika uwanja wa JKIA kwa madai ya makosa yanayohusiana na maandamano ya mafuta......
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu, vinywaji vya bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni wakituma…
Njoki Murira ni Tiktoker maarufu Kenya mwenye ushabiki mkubwa. Amenehemekewa sana kwa umbo mzuri, na mashabiki wengi wamempongeza kwa figa yake matata.
Mbali na kusaini makubaliano hayo, Vodacom Tanzania imekabidhi kompyuta mpakato (laptop) 35 kwa...
Wakati biashara za kimataifa na matumizi ya teknolojia yakibadili kwa kasi tasnia ya sheria...
Ajali ya matatu Nairobi ilikatiza maisha ya watu sita. Uchunguzi unaonyesha uendeshaji hatari wa aina ya 'nyoka' na matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa madereva
DAR ES SALAAM: TWENTY years ago, Tanzania faced a very different public health landscape. HIV remained a major national challenge, laboratory capacity was limited, and disease surveillance systems were far…
TANZANIA imewahakikishia wajumbe na wageni watakaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuwa imeweka na kuimarisha hatua zote muhimu za usalama na afya kuelekea mkutano huo utakaofanyika…
DAR ES SALAAM: WHEN reports of unusual illness began emerging in north-western Tanzania, health officials faced a familiar question: was it an isolated incident, or the start of something much…
DAR ES SALAAM: TANZANIA will need to invest more of its own resources in public health to sustain gains made over the past two decades, according to the US Centers…
DAR ES SALAAM: Tanzania’s ability to identify dangerous disease outbreaks has improved significantly over the past decade, enabling laboratories to diagnose viruses such as Marburg within hours, according to the…
DAR ES SALAAM: Tanzania has enrolled about 1.5 million people living with HIV on life-saving treatment, a milestone that health officials say has transformed the country’s response to the epidemic.…
MARA: Authorities in Mara region have ordered immediate construction of a fence to prevent destructive wild animals, including elephants from invading crop farms in the villages located near Ikorongo- Grumeti…
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa maagizo 10 kwa wadau wa mazingira, ikiwamo mamlaka za Serikali za Mitaa hususan manispaa na majiji, kuanzisha bustani za kijani na kuhakikisha…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza kwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow kuanzia Julai…
Rais wa Urusi Vladimir Putin leo Ijumaa Juni 5, amepuuzia mbali ugumu wa kiuchumi unaoikabili nchi yake, katika jukwaa kubwa la uwekezaji huko St. Petersburg, akipendelea kusifu “uhuru” wake na…
Wakati Serikali ikieleza dhamira yake kuendelea kuweka mazingira bora kwa Watanzania wanaoishi...