Patrick Analo: Magunia ya Pesa Taslimu Yagundulika Nyumbani kwa Afisa Mkuu wa Kaunti ya Nairobi
Maafisa wa upelelezi kutoka EACC walivamia nyumba ya Afisa Mkuu wa Kaunti ya Nairobi, na kupata pesa taslimu KSh 65.3 milioni huku uchunguzi wa ufisadi ukiendelea.