Pezeshkian: Iran haitasalimu amri kwa matakwa ‘ya kupitilizai’ ya Marekani, inataka kurejeshea haki zake kikamilifu
Rais Masoud Pezeshkian ametangaza kwamba Iran haitasalimu amri kwa mashinikizo ya Marekani na matwa ya kuchupa mipaka ya utawala huo, akisema wapatanishi wa Iran watahakikisha haki za taifa zinarejeshwa kikamilifu…