Lori lililobeba ufuta tani 32 laua dereva Lindi
Lindi. Dereva wa lori lililokuwa limebeba tani 32 za ufuta amefariki dunia, huku watu wawili...
Simba, Azam kusaka heshima Pemba
BAADA ya kushuhudia Yanga ikibeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara ikiziacha Simba na Azam nafasi ya pili na tatu mtawalia, timu hizo zinasaka heshima leo ambapo filimbi ya mwisho itakapopulizwa,…
Mtibwa: Tutarudi na nguvu mpya
TUMEKUBALI. Ni kauli ya Beki na Nahodha wa Mtibwa Sugar, Erick Kyaruzi akielezea matokeo ya timu hiyo baada ya kushuka daraja, akisema wanasubiri mipango ya uongozi kuona wanajipangaje msimu ujao…
Chilambo afichua jambo kwa Ibenge
BEKI wa Azam FC, Nathaniel Chilambo, amempa sifa kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge namna anavyowapa nafasi wachezaji na imekuwa moja ya sababu ya kiwango chake kuwa bora zaidi…
Al Ahly Benghazi yatua kwa Paul Peter
KUNA taarifa za mshambuliaji wa JKT Tanzania, Paul Peter kuhitajika na klabu ya Al Ahly Benghazi, ili kumsajili kwa ajili ya msimu ujao, baada ya kufanya vizuri msimu uliomalizika.
YAS empowers I8 entrepreneurs through Biashara Expo Season 2
DAR ES SALAAM: TELECOMMUNICATIONS company YAS has reaffirmed its commitment to empowering small entrepreneurs through its “Anzia Ulipo Biashara Expo Season 2” campaign at the 50th Dar es Salaam International…
Mashujaa, JKT TZ zafukuzia saini ya Sure Boy
KIUNGO mkabaji aliyemaliza mkataba wake na Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ imeelezwa anatakiwa na timu mbalimbali za Ligi Kuu ya NBC ikiwemo JKT Tanzania na Mashujaa.
Viongozi wa dini watakiwa kuhimiza amani
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Serikali na wananchi kwa kuhamasisha umuhimu wa kudumisha amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa ili kuzuia vitendo vya vurugu vinavyoweza…
Mradi wa maji wa Sh465 milioni Handeni wakamilika
Adha ya kutembea hadi kilomita 10 kutafuta maji kwa wakazi wa Kata ya Kideleko, Halmashauri ya...
Joto kali linavyotesa Ulaya, watu 2,000 wafariki dunia Ufaransa
Ufaransa imeripoti vifo 2,025 katika wiki ya mwisho wa Juni, kufuatia joto kali lililokumba...
Mwendelezo filamu ya Yesu kutoka 2027
Miaka 22 baada ya kuitikisa dunia na kuvuna zaidi ya dola za Marekani milioni 612. Filamu...
Tanzania, Mozambique cement their strategic partnership heading to the 50th DITF opening
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has today, July 3, 2026, held bilateral talks with the President of Mozambique, Daniel Francisco Chapo aimed at strengthening the long-standing strategic partnership…
MZIZIMA DERBY | Kila mmoja anatamba kivyake…huku Shabiki wa Azam FC kule Simba SC
MZIZIMA DERBY | Kila mmoja anatamba kivyake…huku Shabiki wa Azam FC kule Simba SC. Ni hapa katika Dimba la Gombani, Pemba ikiwa ni kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la…
Wananchi baada ya kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League, Jumamosi hii Julai 04, watafanya Parade la Ubingwa
Wananchi baada ya kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League, Jumamosi hii Julai 04, watafanya Parade la Ubingwa Parade hii litaanza saa 4:00 asubuhi na kuruka mubashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi…
Russia yadai kulipiza kisasi Kyiv, mashambulizi yaua karibu 30
Kyiv. Russia imesema mashambulizi makubwa ya anga iliyoyafanya dhidi ya mji mkuu wa Ukraine...
Jaji Mkuu ahimiza OSHA kuendelea kukagua usalama maeneo ya kazi
Jaji Mkuu amesema msingi wa Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ni Katiba ya Jamhuri ya...
Yanga yatozwa faini ya Sh100 milioni kutumia ‘Jumba la Dhahabu’
Aidha, adhabu hiyo inakuja ikiwa Yanga imemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa ubingwa wa Ligi...
Yanga yatozwa faini ya Sh100 milioni kutumia ‘Jumba la Maajabu’
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala…
Kwanini vita vijavyo dhidi ya Iran vinaweza kutokea mapema kuliko inavyofikiriwa – Reuters
Hatua moja ya vita vya Iran imemalizika, lakini ulimwengu unaweza kukosea kusitisha kabla ya uchaguzi kwa ajili ya amani ya kudumu.
Yanga, Simba mguu sawa, CAF yapuliza kipyenga
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi...
Ubaguzi wa rangi bado umetamalaki katika michezo duniani
Ubaguzi wa rangi bado umekita mizizi katika michezo duniani, kuanzia viwanjani hadi kwenye ofisi za uongozi wa taasisi za michezo, wanamichezo na mashabiki kutoka makundi yaliyotengwa wanaendelea kukumbwa na vikwazo,…
Malezi kwa watoto: Jinsi ya kuzungumza na wavulana kuhusu ‘manosphere’ na ushawishi wa mitandao ya kijamii
Wavulana wengi katika dunia ya leo wanatumia saa nyingi mtandaoni wakitafuta ushauri kuhusu maisha, kujiamini, mahusiano na mafanikio. Lakini ndani ya safari hiyo ya kidigitali, baadhi hukutana na kile kinachoitwa…
Mlipuko wa virusi vya Hanta wamalizika; Ebola na Marburg bado ni tishio – WHO
Mlipuko wa Hanta umemalizika Ebola yasambaa zaidi DRC Uganda yaripoti mgonjwa wa Marburg WHO na Ufaransa wazungumzia madhara ya mitandao ya kijamii kwa vijana na watoto
Wagonjwa 1200 kutibiwa macho
ZAIDI ya wagonjwa 1,200, sawa na asilimia 25 ya wagonjwa wanaofika katika Kliniki za Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila, wanatarajiwa kunufaika na vipimo na matibabu ya kibingwa ya macho,…
Cheti cha heshima
MBEYA: Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya, Prof. Henry Mollel akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ys Sekta ya Umma na Binafsi, David…
Faida za waathirika wa ukatili kupata haki chini ya paa moja
Kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia, safari ya kutafuta haki mara nyingi huanza na hofu...
Picha: Wetang’ula, Ichung’wah wapokea makaribisho ya kishujaa Eldoret katika mkutano wa UDA
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula aliongoza mkutano wa chama cha UDA Eldoret, akiwataka wakazi kumuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027.
Iran yaapa kulipiza kisasi kwa Kiongozi Shahidi huku wageni maalum wakimiminika kwa ajili ya mazishi
Rais wa Iran na Spika wa Bunge wametoa kauli tofauti wakiahidi kuwajibisha tawala katili za Marekani na Israel kwa mauaji ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei,…
Tanzania calls for a carefully- structured implementation of SADC Development Fund
HARARE: TANZANIA has called for a carefully structured implementation of the SADC Regional Development Fund, citing financing challenges and the need for member states to align internal procedures before fully…
Tanzania seeks to expand access to affordable infrastructure financing after talks with ShafDB
NAIROBI: TANZANIA has announced a bid to expand access to affordable housing and infrastructure financing following discussions between the Ministry of Finance and Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) on the…
CAF yatoa mkeka kwa Yanga, Simba
SHIRIKISHO la Soka Afrika(CAF) imetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
PM graces the construction of Kizurira Nyerere Hospital for quality healthcare services in Butiama
BUTIAMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has laid the foundation stone for the Kizurira Nyerere Butiama District Hospital, marking a key step in the government’s efforts to expand access to quality…
Mahakama ya Rufaa yahitimisha mgogoro wa Bakwata, Umoja wa Waislamu Arusha
Rufaa hiyo ya madai namba 508/2024 ilikuwa imekatwa na wadhamini hao wa Bakwata dhidi ya...
Paris braces for “siku wa Mswahili” to showcase Tanzanian culture
PARIS: TANZANIAN fashion and culture are set to take a central stage in France as preparations intensify for the “Usiku wa Mswahili” event, where designers will showcase Swahili-inspired creativity at…
Kwa nini Iran inafungamanisha mazungumzo ya amani na usitishaji kamili wa mapigano nchini Lebanon
Katika hali ya sasa ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, suala la Lebanon limeibuka kama moja ya mihimili mikuu na muhimu katika mazungumzo ya kidiplomasia na vyombo vya habari. Katika…
Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala (REA), mhaandisi Advera Mwijage amewaeleza wadau wanaotembelea Maonesho ya …
Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala (REA), mhaandisi Advera Mwijage amewaeleza wadau wanaotembelea Maonesho ya Sabasaba kuwa wakala.hayo inaendelea na utekelezaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia, jadidifu…
Kuchukua sheria mkononi kwaongoza uvunjaji wa haki za binadamu
Tume yasema wananchi wengi hukiuka haki za wengine kutokana na kutokujua sheria na wajibu wao.
TPA bolsters security at Dar and Lake Victoria ports with 6.445m US dollars boats
DAR ES SALAAM: The Tanzania Ports Authority (TPA) has strengthened security operations at the Port of Dar es Salaam and Lake Victoria ports following the acquisition of two modern patrol…
TANROADS pledges to maintain roads infrastructure after named the EAC model in public service
DAR ES SALAAM: THE Tanzania National Roads Agency (TANROADS) has pledged to accelerate construction, rehabilitation and maintenance of road infrastructure across the country following its recognition as the best public…
Russia yashambulia Kyiv kwa mamia ya droni na makombora, watu 30 wauawa
Milipuko ilisikika katika maeneo mbalimbali ya Kyiv usiku huku maelfu ya wakazi wakikimbilia...
Afreximbank advises Africa to industrialize its resources for development priorities
NIGERIA: THE President and Chairman of the Board of Directors of African Export-Import Bank (Afreximbank), Dr George Elombi, has said that Africa’s economic sovereignty will only be achieved when the…
CMSA yahamasisha wananchi kuichangamkia sabasaba
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imewahimiza wananchi kutumia fursa ya Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kujifunza kuhusu…
TARURA scales up rural road maintenance for year-round accessibility
MWANZA: THE Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) is scaling up a community-driven road maintenance programme aimed at improving year-round road accessibility while creating income opportunities for local groups…