Viongozi wa dunia wafika Tehran kutoa heshima kwa Kiongozi Shahidi
Viongozi waandamizi wa Iran, marais na wakuu wa nchi, pamoja na wageni mashuhuri na wajumbe wa ngazi za juu kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamefika Tehran kutoa heshima zao kwa Kiongozi…