Jumanne tarehe 23 Juni 2026
Leo ni Jumanne tarehe 8 Dhulhija 1448 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2026.
Leo ni Jumanne tarehe 8 Dhulhija 1448 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2026.
ARUSHA: CYBERSECURITY and data protection have been identified as key priorities in the implementation of the East African Community (EAC) budget as the region advances towards a digital economy. Contributing…
DODOMA: HUMAN resource officers who failed to process promotions for eligible public servants during the 2025/26 financial year face disciplinary action, while heads of public institutions have been ordered to…
AFRICA: AFRICAN governments are being forced into difficult fiscal decisions as a sharp decline in foreign aid threatens funding for health, education and humanitarian programmes across the continent, according to…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55 - JUNI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama…
DAR ES SALAAM: TANZANIA National Parks (TANAPA) has increased women’s representation in senior leadership positions to 37 percent, up from 22.6 percent five years ago and above the global average…
DAR ES SALAAM: MANY Tanzanians, following the parliamentary debate on the FY2026–2027 budget, continue to question whether it marks the start of the nation’s journey toward its 2050 vision. Some…
Bao la dakika ya 76 lililofungwa na beki Daniel Munos limetosha kuamua mchezo huo ambao...
#HABARI: Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni, kuwa je serikali haioni kwamba kuna haja ya kuweka masharti kwa Wafanyabiashara wanaovuna miti ili wachangie kwenye upandaji wa miti…
Kiungo wa England, Jude Bellingham amesema hakustahili kuwa mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa...
DODOMA: THE government has launched the Government Service Directory (GSD), a digital platform that provides citizens with access to government services through a single gateway, alongside the Ngao cyber-security system…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema jeshi la nchi hiyo “linawapa jeshi la wanamaji silaha za nyuklia”, kulingana na vyombo vya habari vya serikali siku ya Jumatano, na…
ZANZIBAR: ZANZIBAR Police Force has received advanced information and communication technology (ICT) equipment, aimed at strengthening its capacity to combat cybercrime and other technology-related offences. Permanent Secretary in the Union…
Mapendekezo mapya huenda yakafanya wazazi kukabiliwa na ada za juu katika shule za sekondari, KESSHA ikitaja gharama ya maisha imepanda tangu tathmini ya mwisho 2015
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amefutilia mbali tena siku ya Jumanne hoja ya Iran ya kutoza ada za usafiri katika Mlango-Bahari wa Hormuz, jambo ambalo ni…
Hundi ya ufadhili huo ilikabidhiwa na Afisa Mkuu Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi...
Hundi ya ufadhili huo ilikabidhiwa na Afisa Mkuu Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi...
ZANZIBAR: CITIZENS have been encouraged to make full use of institutions that provide legal services, including the Office of the Solicitor General, in order to access justice and resolve legal…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - JUNI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
DODOMA: THE College of Business Education (CBE) has introduced a special training programme for local government officials to help ensure the government’s empowerment initiative achieves its intended objectives. This initiative…
Baraza la Seneti nchini Marekani limepitisha azimio siku ya Jumanne, Juni 23, likiamuru kuondolewa kwa vikosi vya Marekani kwenye mgogoro na Iran. Hili kimsingi ni pigo kubwala kishara kwa Donald…
Rafiki wa karibu amefichua maelezo ya mwisho ya simu ya Elizabeth kabla ya kifo chake cha kutisha, huku familia ikililia haki maswali yakiibuka kumhusu mpenziwe.
DODOMA: As the world continues to experience the effects of climate change, particularly in the agriculture sector, the Tanzania Official Seed Certification Institute (TOSCI) has intensified efforts to promote the…
DODOMA: MINISTER for Works Abdallah Ulega has officially announced six strategic road projects across the country for which, the government has invited private investors under a Public–Private Partnership (PPP) arrangement.…
DAR ES SALAAM: TANZANIA has scaled up measures to combat Non Communicable Diseases (NCDs), rolling out key policy reforms, increasing funding and expanding healthcare access, while placing greater emphasis on…
DODOMA: THE government has announced plans to introduce a new Monitoring and Evaluation (M&E) Policy Framework, aimed at strengthening oversight of national development plans and ensuring that public programmes deliver…
Govt vows strengthening collection Highlights measures for fiscal discipline DODOMA: THE National Assembly has approved the 62.33 tri/- national budget for the 2026/27 financial year, with the government pledging to…
Mauaji ya Elizabeth yamezua hisia kali mtandaoni huku Wakenya wakionyesha huzuni na hasira. Kesi hii inaongeza idadi ya visa vya ukatili wa kijinsia nchini.
Kwa miaka minane iliyopita, mamlaka ya Ubelgiji na Kongo zimekuwa yakifanya kazi kwa bidii katika kurejesha vitu vya sanaa na urithi vilivyochukuliwa na mara nyingi kuporwa wakati wa ukoloni wa…
Wairani katika mji mkuu Tehran, majiji, miji na vijiji vyote nchini usiku wa kuamkia leo walikusanyika misikitini na katika vituo vya kidini na barabarani katika marasimu ya kuadhimisha Tasu'a, siku…
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameishutumu NATO kwa kujiandaa kwa vita dhidi ya Urusi. Ametoa matamshi haya siku ya Jumanne huko Kremlin mbele ya wahitimu kutoka vyuo vikuu vya kijeshi…
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ametamatisha ziara yake ya siku 2 hapo jana jijini Kinshasa ambapo amekutana na mwenyeji wake Felix Tshisekedi.…
Idadi ya watoto ambao elimu yao inavurugwa na migogoro au misukosuko ya hali ya hewa inaendelea kuongezeka duniani kote. Sasa imefikia milioni 258, kulingana na ripoti ya Umoja wa Mataifa…
Pendekezo la kuiruhusu Serikali kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati wa dharura limezua mjadala mkubwa miongoni mwa wachumi, wanasiasa na wadau wa sera za umma.
Ripoti mpya ya umoja wa Mataifa, imeonesha kuwa unyanyasaji wa kingono unazidi kutumika kama “silaha ya vita” nchini Sudan ili kuwatisha raia. Imechapishwa: 24/06/2026 – 06:09 Dakika 1 Wakati wa…
Azimio hilo kwa kiasi kikubwa ni la kiishara, lakini linaongeza shinikizo kwa Ikulu ya White House kumaliza mzozo huo mara moja.
Seneti ya Marekani imepiga kura ya kuidhinisha azimio la kuwaondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vita na Iran, katika hatua ambayo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni kielelezo cha pigo…
Alitumia nafasi hiyo kwa kuwapongeza waandaaji wa TCB Selous Marathon na wadau kama Yas na Mixx...
Utawala wa kijeshi wa Niger, umewasilisha rasmi barua ya kutaka kujitoa kama mwanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita, hatua hii ikija miezi tisa kupita tangu…
Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamebadili mwelekeo wa kimkakati kutoka kwenye ulinzi pekee na kuelekea kwenye mafundisho ya kijeshi ya mashambulizi (offensive military doctrine), huku operesheni za kutangulia…
Miaka 10 iliyopita, nilikuwa ninaishi Kigamboni huku shule yangu ikiwa Upanga. Kutokana na changamoto za usafiri, ilinichukua kati ya saa nne hadi tano kufika shuleni kila siku
Spika wa Bunge la Iran ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo na Marekani, Mohammad Baqer Qalibaf, amekutana na Sultani Haitham bin Tariq wa Oman jijini Muscat, ambapo wamejadili…
Sudan Kusini imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza tarehe 22 Desemba mwaka huu, baada ya miaka mingi ya kuahirishwa mara kwa mara tangu nchi hiyo ilipojitangazia uhuru, zaidi…
Manchester United na Arsenal wanamfuatilia kiungo wa Bournemouth Alex Scott, wakati The Gunners pia wanawasiliana na Leicester City kuhusu dili la kumnunua Jeremy Monga na Aston Villa wakionyesha nia ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kuwa Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyoiwekea Iran kinyume cha sheria, kulingana na mkataba…