Bunge la Marekani laidhinisha mpango wa kusitisha vita na Iran
Azimio hilo kwa kiasi kikubwa ni la kiishara, lakini linaongeza shinikizo kwa Ikulu ya White House kumaliza mzozo huo mara moja.
Azimio hilo kwa kiasi kikubwa ni la kiishara, lakini linaongeza shinikizo kwa Ikulu ya White House kumaliza mzozo huo mara moja.
Seneti ya Marekani imepiga kura ya kuidhinisha azimio la kuwaondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vita na Iran, katika hatua ambayo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni kielelezo cha pigo…
Alitumia nafasi hiyo kwa kuwapongeza waandaaji wa TCB Selous Marathon na wadau kama Yas na Mixx...
Utawala wa kijeshi wa Niger, umewasilisha rasmi barua ya kutaka kujitoa kama mwanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita, hatua hii ikija miezi tisa kupita tangu…
Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamebadili mwelekeo wa kimkakati kutoka kwenye ulinzi pekee na kuelekea kwenye mafundisho ya kijeshi ya mashambulizi (offensive military doctrine), huku operesheni za kutangulia…
Miaka 10 iliyopita, nilikuwa ninaishi Kigamboni huku shule yangu ikiwa Upanga. Kutokana na changamoto za usafiri, ilinichukua kati ya saa nne hadi tano kufika shuleni kila siku
Spika wa Bunge la Iran ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo na Marekani, Mohammad Baqer Qalibaf, amekutana na Sultani Haitham bin Tariq wa Oman jijini Muscat, ambapo wamejadili…
Sudan Kusini imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza tarehe 22 Desemba mwaka huu, baada ya miaka mingi ya kuahirishwa mara kwa mara tangu nchi hiyo ilipojitangazia uhuru, zaidi…
Manchester United na Arsenal wanamfuatilia kiungo wa Bournemouth Alex Scott, wakati The Gunners pia wanawasiliana na Leicester City kuhusu dili la kumnunua Jeremy Monga na Aston Villa wakionyesha nia ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kuwa Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyoiwekea Iran kinyume cha sheria, kulingana na mkataba…
MZUKA WC2026 | Hivi ndivyo @meena_ally alivyofunga na kuwaaga wachambuzi wake ndani ya #MzukaWaKombeLaDunia Hebu msikilize ... Hii ni kuelekea mechi za leo…., ndani ya studio ni @justinekessytz na Dr.…
#KombeLaDunia2026 Tukutane kipindi cha pili. HT: England 0-0 Ghana LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza #FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV #EnglandGhana (Feed generated with FetchRSS)
43' #KombeLaDunia2026 Boli inapigwa hapa..! England 0-0 Ghana LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza #FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV #EnglandGhana (Feed generated with FetchRSS)
MZUKA WC2026 | Msikilize Dkt. Leaky Abdallah akieleza kisa cha Dkt. Suzanne Hii ni #MzukaWaKombeLaDunia kuelekea mechi za leo…., ndani ya studio ni @justinekessytz na Dr. Leaky Abdallah. #MzukaWC2026 #FWC26…
DODOMA: The Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) has become a model in promoting local participation in oil and gas projects being implemented in the country in accordance with national policies…
Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameweka rekodi mbili katika ushindi wa mabao 5-0 ambao timu...
Mwanaume alinaswa akijaribu kuiba vipuri vya magari katikati mwa jiji la Nairobi (CBD). Mbinu yake ya kuhepa mikononi mwa wananchi iliwavunja mbavu wengi
Mahakama Kuu ya Rufaa ya mjini Bloemfontein nchini Afrika Kusini imeridhia ombi la familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, la kuzikwa nchini Afrika Kusini ambako alifariki dunia.…
Wataalamu wa afya wameonya kuwa si salama kutumia jiko la mkaa ndani ya nyumba kutokana na hatari kubwa ya kiafya inayoweza kusababisha, ikiwemo vifo, hasa kwa watoto. Onyo hilo linatolewa…
Hali ya joto kali nchini Ufaransa imeendelea kuathiri maisha ya wananchi, huku ikiripotiwa kusababisha vifo vya watu 40 hadi sasa. Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sébastien Lecornu, amesema joto hilo limefikia…
TIMU ya Taifa ya wanawake ya Uganda chini ya umri wa miaka 17 imeibuka bingwa mpya wa michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa umri huo baada ya kuichapa…
Timu ya Taifa ya wanawake ya Uganda chini ya umri wa miaka 17 imeibuka bingwa mpya wa michuano...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw.Mohamed Salum, amesema kuwa usafiri wa meli ya MV Liemba una umuhimu mkubwa kwa wananchi wanaotegemea huduma za usafiri wa…
Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Jumanne Juni 23, 2026 na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses...
Mumewe Esma Platnumz, Jembe, alinaswa akimbusu mwanamke mwingine kwenye TikTok Live, jambo lililosababisha talaka na maumivu ya kihisia na baadaye kuombana msamaha
Serikali imemuagiza Katibu Mkuu Utumishi kuwachulia hatua za haraka maofisa utumishi...
Chadema ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake Taifa, John Heche, wameendelea na ziara yao mkoani...
Migogoro inayoendelea katika nchi za Mashariki ya mbali, imeziamsha baadhi ya nchi za Afrika...
Aliyekuwa Kaimu Mtendaji wa Kijiji cha Mboliboli, Wilaya ya Iringa, Amini Mwakisambwe, pamoja...
Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa wanane wanaokabiliwa na mashtaka...
Amesema daima alikuwa mtu wa ibada na aliyependa kushirikiana na kila mtu katika hali zote.
Hatua hii inalenga kuharakisha mageuzi ya kidijitali na kuongeza upatikanaji wa huduma za...
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Abdihamid Moallin, amesema ingawa kuna sababu nyingi ambazo zingeweza kutolewa kama visingizio kutokana na mfululizo wa mechi zinazochezwa kwa muda mfupi, lakini yeye anapendelea kuelekeza…
Jamhuri katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara, Rehema Hassan (42), imeieleza...
Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mjini mkoani Mara imeanzisha mfumo maalumu wa kufuatilia...
Moreen anadaiwa kuuawa Juni 21, 2026, majira ya saa 11 jioni, alipokuwa akicheza na watoto...
KOCHA Msaidizi wa Azam, Kassim Liogope, amesema kitendo cha kukutana na Yanga kwa mara tano ndani ya msimu mmoja, kwao inawapa picha halisi ya mpinzani gani wanakwenda kukabiliana naye, hivyo…
CHINA: Balozi wa Tanzania nchini China, Dk. Suleiman Haji Suleiman, amewataka Watanzania wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini humo mwaka 2026, kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kutumia maarifa,…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ameahirisha Baraza la Wawakilishi...