Papa Leo XIV kuzuru Uturuki na Lebanon mwishoni mwa mwezi Novemba kwa ziara yake ya kwanza
Kiongozi wa Kanisa Katolika duniani Papa Leo XIV atazuru Uturuki na kisha Lebanon kutoka Novemba 27 hadi Desemba 2 kwa ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuchaguliwa kwake…