Olukemi Ibikunle kutoka Nigeria atwaa tuzo ya UN ya Muonesha Njia au Trailblazer 2025
Mwaka huu, Tunzo ya Umoja wa Mataifa ya “Muonesha njia” au kwa kiingereza Trailblazer imekwenda kwa Olukemi Ibikunle, afisa wa magereza kutoka Nigeria anayehudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa…