Polisi yajipanga Sikukuu Eid Fitri
JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari…
JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari…
MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema sekta ya misitu ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, akibainisha kuwa sekta hiyo inachangia takribani asilimia 20 ya Pato la Taifa. Dk…
DODOMA: Kaimu Meneja wa Mkoa wa TRA Dodoma, Obrey Sillayo, akiambatana na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Mlipakodi pamoja na maafisa wengine wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wametoa mkono…
MANYARA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (BAWASA) mkoani Manyara imekamilisha mradi wa maji wa Darakuta hadi Minjingu ambao utasaidia kusambaza maji kwa wananchi zaidi ya 35,000 wa…
MANYARA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imekabidhi vyakula na zawadi mbalimbali kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo cha kulelea watoto cha Hosana kilichopo wilaya…
JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika ukumbi wa Gallagher Estate jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi…
DODOMA: MKURUGENZI wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema mamlaka itaendelea kushirikiana na vituo vya malezi ya watoto ili kuhakikisha vijana wanapata ujuzi utakaowawezesha…
DODOMA: TUME ya Utumishi wa Umma inatarajia kutumia takribani wiki mbili kwa ajili ya kujadili na kutoa uamuzi wa rufaa na malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa umma kwa tume hiyo.…
DAR ES SALAAM, Tanzania — Mjadala kuhusu nafasi ya Afrika ndani ya mfumo wa haki wa kimataifa umeibuka upya, huku Tanzania ikijikuta katikati ya hoja pana kuhusu uhalali wa Mahakama…
ZANZIBAR: Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 ndani ya…
DAR ES SALAAM: Equity Bank Group Holdings Plc imetangaza matokeo yake ya mwaka mzima ya mwaka 2025, yakiwa ni ya kihistoria na yenye kuashiria mafanikio makubwa baada ya faida yake…
BUKOBA: Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mutasingwa, ametoa msaada kwa makundi maalumu pamoja na wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Kata ya Kibeta katika kipindi mwezi…
MOROGORO: JUMUIYA ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania imetoa vyakula katikakaya zaidi ya 200 zenye uhitaji zinazoishi Kata ya Kihonda Maghorofani Manispaa ya Morogoro ikiwa ni zawadi ya mkono wa Eid…
LUSAKA: Mamlaka za Zambia zimekamata karibu kilo 550 za pembe za ndovu na kuwakamata watu tisa wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa kimataifa wa magendo ya wanyamapori. Operesheni hiyo ilifanyika Machi…
ARUSHA: Serikali imewataka wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache kuhakikisha uwekezaji huo unaleta matokeo yanayopimika kwa taifa na wananchi. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri…
ARUSHA: Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amewataka wakurugenzi wa bodi na watendaji wakuu wa kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache kuachana na usimamizi wa kawaida na kuelekea kwenye…
ZANZIBAR: Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi amesema ili kupata maelezi bora ya jamii inatokana na malezi bora ya pamoja kwa watoto na vijana katika kujenga misingi…
LINDI: SERIKALI za vijiji vya halmashauri ya Wilaya ya Mtama mkoani Lindi zimepatiwa misaada ya vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya shule, zahanati na kituo cha polisi ambao umegharimu zaidi…
LINDI: SERIKALI imezindua Jukwaa la Majadiliano ya Biashara kwa Biashara (B2B) likiwa na lengo la kuchochea uwekezaji, kuongeza thamani ya rasilimali za misitu na kuimarisha uhifadhi nchini, huku ikisisitiza kuwa…
DAR ES SALAAM; Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola wilayani Ilala, Dar es Salaam wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi, huku wengine wawili wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Kanda…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa nchi. The post ‘Hakuna misaada tukusanye…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itayafanyia uchambuzi wa kina mapendekezo 284 ya maboresho ya mifumo ya kodi nchini kabla ya kuanza…
Dar es Salaam : MTAALAMU wa Saikolojia, Sophia Sanga amesema tafiti zinaonesha kwamba msongo wa mawazo huathiri wanawake karibu mara mbili zaidi kuliko wanaume. Ameanisha kuwa miongoni mwa sababu ni…
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itafanyia uchambuzi wa kina mapendekezo 284 ya maboresho ya mifumo ya kodi nchini kabla ya kuanza utekelezaji wake.…
DAR ES SALAAM: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuharakisha ujenzi wa Mkongo wa Taifa unaounganisha Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Hatua hiyo itarahisisha…
DODOMA: PROGRAMU ya huduma ya msaada wa kisheria ya Samia Legal Aid imeendelea kurejesha matumaini kwa wananchi baada ya kusaidia kuokoa nyumba iliyokuwa ipigwe mnada, kusuluhisha mgogoro wa shamba uliodumu…
DODOMA; Serikali imesisitiza azma yake ya kuendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini, ili kuchochea ukuaji wa sekta za viwanda, kuongeza fursa za ajira, na kukuza mchango…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Serikali ya Italia zimeanza hatua mpya ya kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo kwa lengo la kuongeza thamani ya mazao ya kibiashara, hususan…
DAR ES SALAAM: wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na kuimarisha mshikamano bila kujali tofauti za kidini zilizopo kati yao ili kujenga taifa la…
DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeahidi kuwasilisha bungeni suala la ujenzi wa barabara zinazoingia na kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi…
SHINYANGA: WATOTO wenye umri wa kuanzia miaka 0 hadi 10 mkoani Shinyanga wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Polio ili kuwazuia kupata virusi vya ugonjwa huo nakuweza kuwaepusha na ulemavu wa kudumu…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 4 kuendeleza ujenzi wa jengo la gharofa nne la wodi ya binafsi inayogharimu kiasi cha Sh bilioni 21 Hospitali ya Taifa…
DAR ES SALAAM: MRADI wa ujenzi wa jengo la kitega uchumi la Mzizima Towers unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umefikia asilimia 91 ya utekelezaji na…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu kuunga mkono kwa kutoa fedha ili kukamilisha miradi…
KATAVI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka w Watanzania kushirikiana na taasisi za uhifadhi nchini katika uhifadhi wa misitu kuongeza chachu ya maendeleo endelevu kupitia misitu…
ARUSHA; MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema kuwa katika miaka mitano iliyopita uwekezaji wa serikali katika kampuni umeongezeka kutoka Sh bilioni 821 hadi kufikia Sh trilioni 3.6, huku gawio likiongezeka…
KIGOMA; MKUU wa mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema kupatikana umeme wa uhakika mkoani Kigoma ni kichocheo cha utekelezaji wa mpango mkakati wa serikali kuufanya mkoa huo kuwa wa kimkakati…
DAR ES SALAAM: BENKI ya Maendeleo TIB imesaini hati ya makubaliano (MoU) ya miaka minne na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, kwa lengo la kuimarisha mifumo…
DODOMA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amezindua programu ya Sema na Waziri huku akisisitiza kuwa suala la Katiba Mpya bado ni miongoni mwa vipaumbele vikuu vya serikali…
KUKAMILIKA kwa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema mkoani Katavi, kunatajwa kuwa kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi kwa wananchi wa mikoa inayozunguka Ziwa Tanganyika…
LINDI: VIJIJI vya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi vinaendelea kunufaika na rasilimali za misitu kwa kujipatia mapato ambayo yanachangia katika ujenzi wa shule za msingi, nyumba za walimu,…
MTWARA: WAFANYABIASHARA wa mazao ya misitu Kanda ya Kusini wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kuweka mikakati thabiti ya uhifadhi na ulinzi wa rasiliamali…
DAR ES SALAAM: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeboresha mifumo ya Tehama ambayo itasaidia kufundisha kwa njia ya mtandao ndani na nje ya chuo. Akizungumza leo Machi 16, jijini…
MOROGORO: WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema bila majisafi na salama jamii haiwezi kustawi, uchumi hauwezi kukua na mazingira hayawezi kuendelea. Kufuatia umuhimu huo jamii inalo…
DAR ES SALAAM: Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) limezindua huduma mpya ya intaneti yenye kasi ijulikanayo kama “Faiba Supersonic Experience. Lengo ni kuwapatia Watanzania huduma bora, ya uhakika na gharama…
KIGOMA; Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema mkoa huo utatumia nafasi yake ya kuwa mkoa wa kimkakati kama lango la biashara ya kikanda nchi za maziwa makuu…
JUHUDI za kupanua ujumuishaji wa kifedha nchini Tanzania zinaendelea kuimarika huku serikali na wadau wa sekta ya fedha wakitafuta njia mbalimbali za kuwafikia wananchi wengi zaidi wanaofanya shughuli zao katika…
DAR ES SALAAM : WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kufanya uwekezaji katika kituo cha kimataifa cha biashara (EACLC)…
GEITA: MWENYEKITIi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Subira Mgalu, amesema serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusambaza umeme ili…
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ameonya vituo vya afya na hospitali za serikali kuacha tabia ya kuwaelekeza wananchi kununua dawa katika maduka ya dawa mitaani. Onyo hilo amelitoa wakati alipokuwa…