TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026 (Feed generated with FetchRSS)
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imewataka wadau na wafanyabiashara kutoka taasisi mbalimbali kuweka kipaumbele katika kukuza na kutangaza bidhaa zinazotengenezwa nchini, ili kuimarisha uchumi na kuinua viwanda…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mheshimiwa Ado Shaibu Ado amesema kwamba Tanzania inapaswa kurejesha utamaduni wa siasa safi ambapo wanasiasa wa itikadi tofauti wanaweza kupingana bila kuumizana na kukosoana bila…
#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Royal Love Challenge. Katika shindano hilo, wapendanao wanatakiwa kupakia picha zao kwenye…
#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imefikia hali mbaya huku likiitaja kama dharura kamili ya kibinadamu,…
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI05 2026 SPIKA WA BUNGE AKANUSHA BAADHI YA WABUNGE KUITWA TAKURURU (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulidi, amewataka wananchi kupuuza chokochoko za watu wanaoishi nje ya nchi wanaolenga kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini. Akizungumza katika…
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Geita imefyeka ekari tatu za bangi zilizokuwa zimepandwa kwa siri ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Geita-Lwamgasa. Watu wasiofahamika walivamia hifadhi…
#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakazi wa eneo la Neema kuingia katika barabara kuu inayounganisha…
#HABARI: Maafisa wa kitengo cha kukabiliana na Ugaidi nchini Kenya wamemwasilisha Mahakamani raia mmoja wa kutoka Uturuki kwa tuhuma za kufadhili ugaidi nchini Kenya. Hata hivyo Mahakama ikimwachia mshukiwa huyo…
#HABARI: Mwanaharakati na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Habibu Mchange, ametoa onyo kali kwa viongozi wa Chadema akituhumu kuwepo kwa ubadhirifu wa michango ya umma na usambazaji wa maudhui ya…
#HABARI: Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea mkoani Ruvuma, Mheshimiwa James Karayemaha, amewataka watumishi wa mhimili wa Mahakama, kutekeleza majukumu yao kwa unyenyekevu mkubwa na kuacha tabia ya…
#MEZAHURU: "MITANDAO YA KIJAMII INAWEZA KUCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA KWA KUDHALILISHA UTU WA WATU, JE, WATUMIAJI WANATAMBUA ATHARI HIZI KATIKA JAMII?", 02 FEBRUARI 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
#HABARI:Katika kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu kwa Wananchi wanaozunguka Hifadhi na Mapori tengefu, Serikali imeendelea kubuni na kutumia teknolojia mseto ikiwemo uzio wa umeme ili kuimarisha ulinzi na usalama…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu, amesema kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwaita Mh. Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo na Mhe. Kangi Lugola…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
"Walau tumevuna Pointi 6 ni kitu kikubwa kwetu sote, tuzidi kushikamana, tuzidi kusonga mbele, kama ujuavyo namba zetu katika Afrika ziko juu kwa hiyo tunahitaji kuzilinda" Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam…
#MICHEZO: Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe, amelaani kitendo alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, na Mashabiki baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
#MICHEZO: "Nafasi bado tunayo tofauti yetu ni ndogo ya alama tatu, tunamchezo wa nyumbani bado nafasi ipo, kundi letu mtu yeyote anaweza akasonga mbele" Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam FC Powered…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe. Deus Sangu, amesisitiza umuhimu wa uwepo wa mabaraza ya wafanyakazi, katika Taasisi za Umma…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 49 ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:...FEBRUARI 02, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
"....hii unatoa utaniwahi lakini nataka nipate muda mzuri kuwafahamisha watu kwamba tufikie sehemu lazima tuseme kwamba hapa panatosha, watu ambao wanajua wanawaudhi watu wengine lazima wakubali kupumzika, mimi bado napata…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : FEBRUARI 02, 2026
🔴KUMEKUCHA: ...... FEBRUARI 02, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 02, 2026
#KIPIMAJOTO: Vizuizi maeneo yanapokutana Reli na Barabara. Je, vinazingatiwa ili kudhibiti ajali zinazoendelea kujitokeza
#HABARI: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 mkoani Ruvuma baada ya…
#HABARI: Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Abass Rugwa, amevitaka vyama vya watumishi CWT na TALGWU kuwa kiunganishi cha wafanyakazi na mamlaka zao, ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima…
#HABARI: Taharuki imetanda katika eneo la Kakong, Kaunti ya Turkana, baada ya majangili kuwaua watu sita na kujeruhi wengine wawili katika shambulio la wizi wa mifugo. Kamanda wa Polisi wa…
#HABARI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amewataka viongozi wanaosimamia ilani ya chama kuwashughulikia vikali watu wasio waadilifu na wezi wa mali za…
#sisitumeanza @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI FEBRUARI 01, 2026 - WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewaagiza wakulima mkoani humo kuacha kususia kilimo cha alizeti na badala yake kila mmoja alime angalau hekari mbili ili kukabiliana na upungufu…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi John Mongela amesema ameridhika na hali ya upatikanaji wa dawa katika kituo cha Afya cha Tinde, wilayani Shinyanga, huku akieleza kuchukua changamoto…
#HABARI: Mkoa wa Singida umezindua rasmi kampeni ya upandaji miti kimkoa katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Halima Dendego, huku ukihimiza wananchi kuachana na nishati chafu ya mkaa na kuni…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KAGERA - FEBRUARI 01, 2026
#HABARI: Mwanaume mmoja aliyekuwa akisafirisha gari la IT amefariki dunia kufuatia ajali ya kugongana uso kwa uso na lori la mafuta katika eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro. Tukio…
#HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi kutoka Tanzania wanaoshiriki katika operesheni za ulinzi wa Amani nchini Sudan Kusini wameendelea kuonyesha umahiri mkubwa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hususani kwa…
#HABARI: Mashabiki wa klabu ya Esperance De Tunis kutoka Tunisia wameeleza kuridhishwa kwao na huduma za Reli ya Kisasa (SGR), wakisema imewawezesha kusafiri kwa urahisi na kufurahia utalii nchini Tanzania.…
🔴TAMASHA LA MICHEZO....FEBRUARI 01, 2026
#HABARI: Mwili wa mwanaume mmoja ambaye bado hajafahamika umekutwa juu ya njia ya reli inayounganisha Mkoa wa Tabora na Kigoma, katika maeneo ya Kata ya Malolo, mkoani Tabora. Taarifa za…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Njelu Kasaka, amebainisha kuwa maadhimisho ya miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kielelezo cha mafanikio makubwa ya kimaendeleo yaliyofikiwa nchini…
#HABARI: Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Mtwara unatarajia kusajili bure kaya 38,000 zisizojiweza ili kunufaika na huduma za afya, huku kipaumbele kikielekezwa kwenye kaya laki mbili…