“Changamoto ambayo tunaifanyia kazi ni kujenga uelewa kwa watu wetu, ili waweze kutumia fursa ya sheria hii, kuweza kushiriki kw…
"Changamoto ambayo tunaifanyia kazi ni kujenga uelewa kwa watu wetu, ili waweze kutumia fursa ya sheria hii, kuweza kushiriki kwenye uchumi wa nchi yao"-David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPPC. #DAKIKA45 Powered by…