Dili iliyokufa -27
ILIPOISHIA James akamuuliza yule mkuu wa kituo cha yatima. Mkuu wa kituo hicho alimtazama na kumuuliza: “Kwani wewe ni nani?” “Mimi ndiye niliyechukuliwa na Mchungaji Antony James Hiza kutoka katika…
ILIPOISHIA James akamuuliza yule mkuu wa kituo cha yatima. Mkuu wa kituo hicho alimtazama na kumuuliza: “Kwani wewe ni nani?” “Mimi ndiye niliyechukuliwa na Mchungaji Antony James Hiza kutoka katika…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imezungumzia ushindani mkali katika Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2025-2026 unaokwenda kuhitimishwa Juni 30, 2026 ikisema unatoa taswira ya ujao wa 2026-2027 kuzidi…
TIMU mbili za Kilimanjaro Wonders na Bunda Girls ya Mara zimepanda Ligi Kuu ya Wanawake msimu ujao, baada ya kufanya vizuri katika Michuano ya Ligi Daraja la Kwanza Wanawake (WFDL)…
MSHAMBULIAJI wa KVZ, Michael Joseph aliyeibuka kinara wa ufungaji katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026, amezivutia timu tatu za Ligi Kuu Bara ambazo ni Namungo, Coastal Union na…
MABAHARI wa KMKM, wamefanikiwa kutetea ubingwa wa Kombe la FA Zanzibar baada ya kuitandika Chipukizi mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Juni 27, 2026 kwenye Uwanja Gombani uliopo kisiwani Pemba.
BAADA ya kufanikiwa kupanda daraja kushiriki Ligi Kuu Zanzibar msimu ujao, Raskazone imeendelea kufanya tathmini ya kikosi chake ili kuboresha maeneo yenye changamoto kuhakikisha timu inakuwa ya ushindani zaidi.
WAKATI timu ya Uhamiaji ikiwa miongoni mwa zilizofunga mabao mengi Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, kocha wa timu hiyo, Abdul Saleh amesema safu yake ya beki haikuwa bora kwa…
ALIYEKUWA winga wa Mbeya Kwanza iliyoshiriki Ligi ya Championship msimu wa 2025-2026, Mkongomani Jesus Ducapel Moloko, yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na Klabu ya Primeiro de Maio inayoshiriki…
KIUNGO mkabaji wa Coastal Union, Luician Kilua amewataja viungo Khalid Aucho wa Singida Black Stars na Clatous Chama wa Simba kuwa ni nyota anaowaangalia huku akipata darasa kwa namna wanavyocheza…
VITA ya kuisaka tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2027 kupitia Play-Off, inaanza leo kati ya wenyeji Mbeya Kwanza dhidi ya Polisi Tanzania, itakayopigwa kwenye Uwanja wa…
KUNA baadhi ya watu bado wanajiuliza, ilikuwaje hadi kijana Mtanzania, Barka Seif, akajikuta akisajiliwa na akademi maarufu ya Barcelona, La Masia.
BAADA ya beki wa Taifa Stars, Haji Mnoga kuitumikia misimu miwili Salford City inayoshiriki League Two nchini England, nyota huyo amejiunga na Patro Eisden Maasmechelen inayoshiriki Ligi daraja la pili…
KIUNGO Mtanzania, Alphonce Mabula amesema anazingatia vitu vitatu muhimu ili kuwa na muendelezo wa kiwango bora uwanjani.
ILIPOISHIA “Familia yako ilifikaje hapa Tanga’ “Mimi nilizaliwa Tanga na nilikuwa nikilelewa katika kituo cha watoto yatima kilichoko pale Kwaminchi. Kuna mzungu alikuja kunichukua ili kunilea. Yeye ndiye alinipeleka Zambia…
ILIPOISHIA Wakwetu alipatwa na mshangao. Alielezwa jambo ambalo hakulitarajia. Majaliwa aliendelea: “Kila mara alikuwa akiniambia hivyo. Mwisho nikaona imefika kikomo. Ndipo nikamuahidi nikutane naye kule gesti.” Majaliwa aliposita, Sharifa alimsemea:…
KWA matokeo ya mechi za jana Jumamosi katika raundi ya 29 ya Ligi Kuu Bara, kuna baadhi ya timu hesabu zao hazijakaa sawa, hivyo wanasubiri Juni 30, 2026 siku ya…
Tanzania Prisons imejiweka katika nafasi nzuri ya kupambana kubaki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa Uwanja wa…
PATI la ubingwa wa tano mfululizo wa Yanga wa Ligi Kuu Bara linazidi kunoga baada ya nyota wa timu hiyo, Allan Okello, kufunga mabao matatu (hat -trick) katika ushindi wa…
PATI la ubingwa wa tano mfululizo wa Yanga wa Ligi Kuu Bara linazidi kunoga baada ya nyota wa timu hiyo, Allan Okello, kufunga mabao matatu (hat -trick) katika ushindi wa…
Simba imeendelea na harakati yake ya kuusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa leo, Jumamosi, Juni 28, 2026 kwenye…
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo ana hesabu kali za mechi mbili zilizosalia kumaliza msimu huu, akisisitiza timu hiyo inahitaji kushinda zote ili kukusanya pointi sita zitakazoamua kama itacheza…
KIUNGO wa Charles M’Mombwa wa Taifa Stars ametambulishwa kwenye kikosi cha Zabbar St. Patrick inayoshiriki Ligi Kuu Malta baada ya kuachana na Floriana aliyoisaidia kutwaa ubingwa, lakini uhamisho wake umeingia…
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa, Salum Kihimbwa ni kati ya wachezaji wanaotajwa kufanya mazungumzo na viongozi wa Simba kwa ajili ya kuongezwa katika kikosi hicho msimu ujao wa 2026/27.
ILIPOISHIA “Kweli mama Kwa hiyo nirudi leo?” “Subiri kwanza. Nataka niuelewe msimamo wake vizuri” “Mpaka lini?” “Nitakwambia” “Sawa” Sharifa akakata simu. Majaliwa alikwenda kwa wakala wa kuweka na kutoa pesa…
ILIPOISHIA Sharifa akagutuka. “Nibaki uchi kabisa” “Ndio uganga wenyewe mama” “Mh!” Sharifa akaguna. “Umesema unataka uwahi kurudi, mbona unasita sita au tuache?’ “Tusiache, nilikuwa nawaza tu” “Unawaza nini?” “Kitu chenyewe…
ILIPOISHIA Wakwetu alimrudishia simu Sharifa bila kumuuliza chochote zaidi. Akaingia chumbani akiwa amekunja uso. Sharifa alipobaki peke yake aliketi na kuanza kuwaza. Alijua kuwa mume wake alikuwa ameudhika na alikuwa…
ILIPOISHIA Wakwetu alilipa faini ya makosa mawili. Kosa la kuendesha kwa uzembe lilitozwa shilingi laki mbili na kosa la kusababisha ajali lilitozwa shilingi laki tatu. Upande wa mashtaka uliahidi kumfikisha…
ILIPOISHIA Maneno ya Wakwetu yalimfariji James akashusha pumzi. “Sasa itabaki kesi ya kugonga mtu” alisema. “Kesi za trafiki ni za faini. Nitalipa kiasi chochote kitakachotakiwa. Usiwe na wasiwasi. Ila mtu…
ILIPOISHIA “Una kisa gani na yule kijana” “Kijana huyo sijawahi kumuona” “Kesho asubuhi tutafanya gwaride la utambulisho. Wale watumishi wa gesti waliokuona watakuja kukutambua hapa na kesho hiyo hiyo tutakufkisha…
ILIPOISHIA “Tuombee tumkute mzima. Mimi niko tayari kugharamia matibabu yake hata kama atapelekwa nje ya nchi” “Unadhani ni kwanini dereva wako alimshambulia yule kijana” “Sijui. Na mpaka sasa sina hakika…
MAKUBALIANO ya pamoja kati ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC), Serikali ya Tanzania na uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) yamewarejesha wagombea wanne akiwemo Anthony Mtaka, waliokuwa wameenguliwa…
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Mossi Nduwumwe ameendelea kuandika historia ndani ya kikosi hicho baada ya kuvunja rekodi iliyowekwa na mshambuliaji wa Ghana, Jonathan Sowah, kufuatia kufikisha mabao 14…
MABAO matatu (Hat-Trick), aliyofunga mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani Fabrice Ngoy katika ushindi wa timu hiyo wa 3-2, dhidi ya KMC FC, umempa mzuka baada ya kupitia kipindi kigumu cha…
KIUNGO mkabaji wa Simba,Yusuf Kagoma amefichua jambo lililojicha nyuma ya tuzo ya mchezaji bora wa mechi aliyopata baada ya timu hiyo kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
UONGOZI wa Azam FC, umeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya winga wake Idd Seleman 'Nado' wakati huu wa sasa kufikia ukomo mwishoni mwa msimu, huku akihusishwa kutakiwa Yanga na Simba.
NAHODHA wa Serengeti Girls, Elizabeth John amesema hawajui nini hasa kilitokea hadi kushindwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa fainali ya Michuano ya CECAFA U-17 dhidi ya Uganda akikiri walicheza…
SIMBA iko kwenye moto sana, inapiga inavyotaka. Ni timu mbili pekee ambazo hazijaonja kipigo kutoka kwa wekundu hao kwenye ligi lakini moja inajua machungu ya kipigo hicho, ikionyesha ubora mkubwa…
TAARIFA kutokea visiwani hapa zinabainisha kwamba, kuna timu mbili kutokea Tanzania Bara, zimevuka maji kumfuata mshambuliaji Abdallah Iddi 'Pina' kwa ajili ya kutaka huduma yake kuelekea msimu ujao.
MAKIPA Hussein Masalanga wa Yanga na Aaron Kalambo wa Transit Camp FC wameamua kuweka nguvu zao katika kuendeleza makipa chipukizi kufikia ndoto zao.