Santos aanza mazoezi ya viungo baada ya kupona
KINDA wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya Ceu Ciutat Meridiana ya Hispania, Fahmar Santos ameanza mazoezi mepesi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kurejea uwanjani baada ya jeraha la goti.
KINDA wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya Ceu Ciutat Meridiana ya Hispania, Fahmar Santos ameanza mazoezi mepesi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kurejea uwanjani baada ya jeraha la goti.
Herminie anawakilisha chama cha United Seychelles, ambacho kiliongoza nchi hiyo kwa miongo minne kabla ya kupoteza mamlaka mwaka wa 2020. Kilikuwa chama tawala kutoka 1977 hadi 2020.
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Omary Mnandi, mwenye umri wa miaka 30, ambaye alikuwa askari polisi mkazi wa Jiji la Arusha.…
#HABARI: Serikali wilayani Kakonko mkoani Kigoma, imepiga hatua katika masomo ya Sayansi hasa kwa wanafunzi wa kike baada ya kuanzisha shule ya sekondari ya wasichana na kusaidia kunusuru wasichana wengi…
Ndege iliyobeba timu ya Nigeria kutoka Afrika Kusini kuelekea Uyo kwa mechi yao ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Dunia ililazimika kutua kwa dharura nchini Angola siku ya Jumamosi.
Kikosi cha wanajeshi waasi kimetangaza kuwa kinadhibiti vikosi vyote vya kijeshi vya Madagascar, huku Rais Andry Rajoelina akisema "jaribio la kunyakua mamlaka kinyume cha sheria" linaendelea nchini humo.
Mkutano wa kilele kuhusu amani ya Gaza utafanyika siku ya Jumatatu kwenye mji wa pwani wa Sharm el-Sheikh, nchini Misri.
China imeishutumu Marekani kwa undumilakuwili baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa ziada wa hadi asilimia 100 kuzitoza bidhaa za China zinazoingia Marekani.
Wananchi wa Cameroon wamepiga kura Jumapili (12.20.2025) katika uchaguzi mkuu utakaoamua hatma ya Rais Paul Biya mwenye miaka 92.
Mamlaka nchini Mexico imesema watu wapatao 41 wamekufa kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi kwenye eneo la kusini mashariki la nchi hiyo.
🔴TAMASHA LA MICHEZO.. 12 OKTOBA 2025
Mataifa ya Ulaya Jumapili (12,10.2025) yameanzisha mfumo mpya wa Kuingia na Kutoka kwa wasafiri ambao sio raia wa Ulaya.
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani kitendo alichokiita ni cha uchokozi kutoka kwa nchi jirani ya Afghanistan.
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeitaka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kuhakikisha inaendelea kuboresha mikakati ya mtangamano wa kikanda, hasa katika maeneo ya mipakani, ili…
Wapinzani wa Biya ni pamoja na msemaji wa zamani wa serikali Issa Tchiroma, 76, ambaye amevuta umati mkubwa wa watu akitaka kusitishwa kwa uongozi wa muda mrefu wa kiongozi huyo…
BAADA ya Mbeya Kwanza kuanza msimu wa 2025-2026 kwa kuchapwa mabao 4-0, dhidi ya Mbuni, kocha mkuu wa kikosi hicho, Maka Mwalwisi amesema licha ya kichapo hicho kikubwa ila bado…
KOCHA Mkuu wa Gunners ya Dodoma, Juma Ikaba amesema mojawapo ya vipaumbele vyake kwa timu hiyo msimu huu, ni kuhakikisha kikosi hicho kinapanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, japo…
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kutumia nafasi yao ya kusafirisha abiria kuhamasisha kura kwa wagombea wa CCM, akiwemo mgombea urais…
KIPA wa Transit Camp, Aaron Kalambo amesema ni muda sahihi wa kurejesha kiwango chake na timu hiyo ya maafande, baada ya nyota huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu, akitokea…
ALIYEKUWA Kocha wa KenGold, Omary Kapilima amesema kwa sasa amejiweka kando na timu hiyo iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu Bara hadi Ligi ya Championship, baada ya kukifundisha kikosi hicho cha…
BAADA ya Mbuni kuanza vyema Ligi ya Championship kwa msimu wa 2025-2026, kwa kuifunga Mbeya Kwanza mabao 4-0, Oktoba 10, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, timu hiyo…
Picha zinaonyesha wafungwa wa Kipalestina wakiwa wamefungwa mikono nyuma ya migongo yao, wakilazimishwa kutembea kwenye mstari, wakiwa wamefumba macho, na kuinamisha vichwa vyao chini.
#HABARI: Wakulima na wakazi wa Kijiji cha Kasanda wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wamesema ujenzi wa ghala la kuhifadhia chakula katika kijiji hicho utawanufaisha kwa kiasi kikubwa na kuwasaidia kuongeza thamani…
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ), Angellah Kairuki amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo hilo, atahakikisha huduma ya maji pamoja na afya…
Rais Andry Rajoelina anashutumu vikosi hasimu kwa kujaribu kunyakua mamlaka "kinyume cha sheria na kwa nguvu" baada ya wanajeshi kujiunga na maandamano ya kuipinga serikali katika mji mkuu wa Madagascar.
Misri inasema mkutano huo wa amani utawaleta pamoja viongozi kutoka zaidi ya nchi 20.
Ripoti ya televisheni iliyotolewa na vyombo vya habari vya ndani ilionyesha kwamba baadhi ya askari walikuwa wametoka kwenye kambi zao ili kuwaongoza waandamanaji kwenye Uwanja wa May 13, ambao ni…
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma(SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo…
Côte d'Ivoire, taifa lenye watu milioni 32, linatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais baada ya wiki mbili.
Erdogan anatumai makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande mbili yatapelekea amani ya kudumu, utulivu, usalama huko Gaza na maeneo mengine ya Palestina.
Serikali imesema itaendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kuboresha ustawi wao na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Jijini Dar…
Hosptali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni imetangaza siku tano za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa, ikiwa ni mwendelezo wa mpango wa kila robo ya mwaka kuendesha zoezi…
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake kuanza mfungo maalum wa kuombea amani ya Tanzania kuanzia Alhamisi, Oktoba 23, 2025, hadi matokeo ya Uchaguzi…
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kinyang'anyiro cha Urais wa Tanzania katika mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt.Balozi Emmanuel Nchimbi leo ananya ziara ya siku mbili…
Wanadiplomasia watatu wa Qatar wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya gari karibu na kituo cha mapumziko cha Misri cha Sharm el-Sheikh, ambapo mkutano muhimu wa amani wa Gaza…
Afisa mkuu wa Hamas ameliambia shirika la habari la Agence France-Presse(AFP) siku ya Jumamosi kwamba zoezi la kuachiliwa kwa mateka 48, wengi wao wakiwa Waisraeli wanaoshikiliwa huko Gaza litaanza Jumatatu…
Kiongozi wa upinzani Patrick Herminie ameshinda uchaguzi wa urais nchini Ushelisheli kwa asilimia 52.7 ya kura, Tume ya Uchaguzi ya Ushelisheli imetangaza leo Jumapili, Oktoba 12. Imechapishwa: 12/10/2025 – 06:30…
Wapiga kura milioni nane wanapiga kura kumchagua rais wao mpya katika uchaguzi wa duru moja. Kulingana na Elecam, chombo kinachosimamia kuandaa uchaguzi, baadhi ya vituo 31,000 vimepangwa kufunguliwa saa 2:00…
🔴KUMEKUCHA: ...OKTOBA 12 2025
🔴MAGAZETI: SAMIA ASISITIZA NCHI IKO SALAMA.. 12 OKTOBA 2025
Elimu Kwa mpiga kura, Je, inawafikia wananchi Kwa wakati kuwawezesha kujitokeza kupiga kura Kwa usahihi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 12, 2025
Mgombea ubunge wa jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM, Emmanuel Cherehani amemuomba mgombea Urais wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania aliyepo madarakani kuzisaidia kata 11 na…
#HABARI: Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake imeendelea kutumia njia mbalimbali kufikisha elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi ambapo safari hii elimu hiyo inatolewa katika Maadhimisho ya…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Bw.Kisare Makori, ameitaka jamii kuacha dhana potofu kuhusu unywaji wa Kahawa na kujenga utamaduni wa kunywa Kahawa inayolimwa ndani ya nchi ili…
Mwamko wa jamii kuwapa nafasi na kipaumbele watoto wa kike kwenye eneo la elimu na taaluma umeendelea kuongezeka huku baadhi ya wazazi mkoani Kilimanjaro wakijikita katika kuwandaa kitaaluma kwa fani…
Mgombea Urais kupitia chama cha MAKINI, Coaster Kibonde ameahidi kugawa vifaa vya shule bure kwa wanafunzi wote ili kuwapunguzia wazazi mzigo wa gharama za elimu iwapo atafanikiwa kuunda serikali. Kibonde…
Huenda una mtoto wa kike ambaye ana ndoto kubwa na tayari ameanza kuweka mipango na mikakati ya kufikia ndoto hiyo lakini kuna vikwazo vinampa changamoto. Rebeca Mbembela amezungumza na binti…
Mgombea Urais wa Zanzibar, Ameir Hassan Ameir wa chama cha MAKINI ameahidi kuimarisha miundombinu ya bandari ya majahazi iliyopo Malindi ili kuongeza ufanisi wa shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa na…
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wakulima wa mwani visiwani humo kupanda kwa bei ya zao hilo kufikia Shilingi 1,000 iwapo atapata nafasi ya…